daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,127
- 3,062
Mawaziri, wakuu wa mikoa /wilayamaprofesa (namkumbuka mmoja UDSM zoology), madaktari nk walipata kikombe cha babu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio rahisiMwacheni apumzike!
[emoji28][emoji28][emoji28]
It's neither a misconception nor a lie brother, Sangara, dagaa na sato wana DHA ya kutosha which is a precursor for building a smart Brain, hiyo tu article nimekutumia na ni tafiti imefanywa na wazungu across different countries, wameongelea Nile perch (sangara) na sardines (dagaa) wa ziwa Victoria.
You cannot dismiss the role of DHA in building a smart brain, nimekwambia ndio maana ulaya wamepitisha sheria ni lazima (a must) makampuni yanayozalisha maziwa ya watoto waweke DHA, I know you're intelligent enough, ask yourself why? Kwann hawakusema a must kwenye micronutrients yoyote except DHA? And so it happens sangara na dagaa wana DHA ya kutosha,. Kuna tafiti ntakutumia wamefanya hao wazungu Lake Victoria wanasema maziwa ya mama wa mfangano Island (breast milk) surpassed a global average of DHA (0.3 vs 0.7), na wanakula hao samaki na dagaa.
Moreover, tafiti mbalimbali zinasema maziwa ya mama yenye DHA 0.7 yako linked with higher IQ, bado unaona hizo ni coincidence? [emoji847]
There's a lot of causality, Mimi sio muhaya au mkerewe ila hawa watu wana IQ kubwa na watu wengi tu Kanda ya ziwa na mwambao wa ziwa Victoria Hadi Kenya. And Luo pia nimesoma tafiti hizo hizo za wazungu.
Minofu ya Sangara inaenda Japan, Israel,. Europe, ask yourself why,? Anyways ntakutumia tafiti Leo usiku uta confirm nachokwambia, ukibishana na tafiti can't beat ignorance, can I? Kama haupendi samaki wa ziwa Victoria, pia kuna Usipa Lake Nyasa wana DHA comparatively to wild salmon. Hopefully you can't dispute scientific studies on salmon and brain development!!
Note: (I) issue sio sangara au dagaa wa Lake Victoria, issue ni content ya hao samaki, study Moja pia Lake Nyasa imekuta hicho hicho maziwa ya wa mama wanaokula Usipa yana DHA nyingi above global norms.
(Ii) Genetics inatengeneza foundation, nutrition inamalizia, usije kuja na hoja kwamba kila mtu anaekula dagaa na sangara anatakiwa kuwa Einstein [emoji23][emoji23][emoji23]...kwamba Kuna mazwazwa kibao unawajua wamekula hao samaki na bado wana akili za kiazi, kwenye genetics kuna kitu kinaitwa assortative mating ni muhimu sana pia, ni wide subject unaweza soma but that's what has kept Ashkenazi Jews smarter for generations, a smart mother and father have the best chance of having intelligent offsprings and vice versa.
Sio tu minofu ya Samaki inayowekenda Ulaya, hata madini, pamba na Kahawa vinakwenda Ulaya.[emoji28][emoji28][emoji28]

Nafikili hoja yangu haujaelewa, and not saying here watu wa kanda ya ziwa intellectually are better than other tribes as you have mentioned, that is yet to be proven, and has not been the focus of our discussion from the onset.Mpaka sasa umeshindwa kusema unatumia kipimo gani kupima akili kubwa au smart Brain. Kipimo gani tukitumie kupima akili kubwa za watu wa kanda ya ziwa tofauti na Wakinga, wazaramo, wachaga, Wamasai, Wanyakyusa n.k?
What are you implying? Unajua kuna watu huwa wana chuki hadi anakuwa blinded anapotengeza hoja, ni sawa sawa mwingine anaweza mchukia Samia just bcz ni. Mwanamke au muislam bila kuwa na sababu zozote za msingi, wengine independent thinkers atampinga sababu anaendekeza kukopa, au anafanya poor decisions kwenye national resources, corruption etc. If you're an intellectual person you'll skip the former,Sio tu minofu ya Samaki inayowekenda Ulaya, hata madini, pamba na Kahawa vinakwenda Ulaya.
Sijui asilimia ya maprofesa wa Kihaya na Ukerewe nchi hii kulinganisha na makabila mengine hivyo sina uhakika haya unayosema kama ni kweli.Nafikili hoja yangu haujaelewa, and not saying here watu wa kanda ya ziwa intellectually are better than other tribes as you have mentioned, that is yet to be proven, and has not been the focus of our discussion from the onset.
Kuna anecdotal evidence watu waliosoma wa kanda ya ziwa kama hao wahaya na wakerewe wametengeza ma Prof wengi tu nchi, na usitake kusema hiyo haiko linked na intelligence quotient..
Jamii yetu ingekuwa Ina elimu bora na almost kila mtoto anasoma then we could have been in a position to measure that, sababu nakuhakikishia inawezekana as we argue here kuna genius analima kwa jembe somewhere simply bcz he didn't get the chance. Labda jiulize kwann wahaya na wakerewe wana portion or at least had a greater number ya ma Prof nchi hii na nje? That's food for thought and probably a research question!!
Kwa anecdotal evidence zilizopo + scientific research zinazo support I strongly believe watu wa kanda ya ziwa wanaweza kuwa na the highest IQ, it's an opinion , based on scientific and intelligent guess.
Hiyo historia naijua ya missionary, it's not a new topic, variation iko hapa kwa wahaya, ukitaka kuiona utaiona, katika hao walioletewa hizo facilities including wanyakyusa pia, wahaya ndio walitengeneza ma Prof wengi sana, na ukimwi uliwafyeka wengi sana, hii variation sio coincidence,. there's a scientific reason sababu waliokuwa wanachukuliwa udsm by then walikuwa waliofanya vizuri tu na ilikuwa some sort of privilege, why not other tribes? Kama haujui ndio nakwambia wahaya walikuwa wengi sana vyuoni. Suala la ku verify nachokwambia ni lako ukipenda. Sasa hiyo variation watu huwa wanaifanyia tafiti!!Sijui asilimia ya maprofesa wa Kihaya na Ukerewe nchi hii kulinganisha na makabila mengine hivyo sina uhakika haya unayosema kama ni kweli.
Ngoja nikupe darasa;
Watu wengi kutoka jamii fulani kusoma kwa wingi na elimu kubwa ni suala la uwepo, upatikanaji na uwezekano wa kuifikia fursa hiyo. Wakoloni wa kizungu walipofika Tanganyika waliweka vituo vyao vingi(shule, seminary, vituo vya afya na makanisa)baadhi ya maeneo ikiwemo kanda ya kaskazini na Bukoba na hiyo iliwapa fursa watu wengi wa maeneo hayo kuweza kupata elimu kwa urahisi, hiyo itapelekea wengi wao kufika vyuo vikuu na inawezekana ikapelekea wengi wao pia kuwa maprofesa lakini hiyo haimaanishi hao watu wana IQ kubwa kuliko wenzao waliokosa fursa hiyo ya elimu kuanzia hatua za msingi.
Wewe unatumia opinions ambazo ni fallacies, myths, na misconceptions kujaribu kuzilazimisha kama facts. Mpaka sasa umeshindwa kuleta kipimo au ushahidi wowote ambao ni fact kutuaminisha watu wa kanda ya ziwa wana akili sana kuliko maeno mengine.What are you implying? Unajua kuna watu huwa wana chuki hadi anakuwa blinded anapotengeza hoja, ni sawa sawa mwingine anaweza mchukia Samia just bcz ni. Mwanamke au muislam bila kuwa na sababu zozote za msingi, wengine independent thinkers atampinga sababu anaendekeza kukopa, au anafanya poor decisions kwenye national resources, corruption etc. If you're an intellectual person you'll skip the former,
Labda una bifu na watu wa kanda ya ziwa? Facts are facts wengi walioenda shule wakapata elimu bora are good upstairs. Nimesoma one of the special school nchi hii nimekutana nao wapo vizuri sana, na kitu Cha ajabu karibu nusu ya darasa letu waliokuwa wanatoka huko...chunguza ma daktari wengi wanatoka wapi etc...au nenda college of engineering udsm utapata data, at least kipindi nasoma walikuwa wengi.
Kwa kuwa umependa kuelimishwa, nichangie kwa kutoa maoni haya;😂😂😂Hasira ipo wapi?Rudi darasani ukajifunze matumizi ya alama ya uandishi '!' ukatoe ujinga uelimike.Mimi nimeweka msisitizo!Unachojua ni kuwa '!' inamaanisha ukali wa kauli?
Haya tufanye mimi ni mjinga naomba unielimishe.Ila kwanza ya yote yapasa kujua sijazunguka na wala sijapata kigugumizi.Nasubiri hoja zako sasa maana haujaleta hoja!!!Mimi kusema mkamfufue ni hoja kwa mtu anayeamini kumsema marehemu siyo hekima bali ni ujinga!!!
LETE HOJA MAANA WEWE NDIYO UNAYETAKA KUZUNGUKA!!!
😂😂😂Hasira ipo wapi?Rudi darasani ukajifunze matumizi ya alama ya uandishi '!' ukatoe ujinga uelimike.Mimi nimeweka msisitizo!Unachojua ni kuwa '!' inamaanisha ukali wa kauli?

Hiyo historia naijua ya missionary, it's not a new topic, variation iko hapa kwa wahaya, ukitaka kuiona utaiona, katika hao walioletewa hizo facilities including wanyakyusa pia, wahaya ndio walitengeneza ma Prof wengi sana, na ukimwi uliwafyeka wengi sana, hii variation sio coincidence,. there's a scientific reason sababu waliokuwa wanachukuliwa udsm by the walikuwa waliofanya vizuri tu na ilikuwa some sort of privilege, why not other tribes? Kama haujui ndio nakwambia wahaya walikuwa wengi sana vyuoni. Suala la ku verify nachokwambia ni lako ukipenda. Sasa hiyo variation watu huwa wanaifanyia tafitiSijui asilimia ya maprofesa wa Kihaya na Ukerewe nchi hii kulinganisha na makabila mengine hivyo sina uhakika haya unayosema kama ni kweli.
Ngoja nikupe darasa;
Watu wengi kutoka jamii fulani kusoma kwa wingi na elimu kubwa ni suala la uwepo, upatikanaji na uwezekano wa kuifikia fursa hiyo. Wakoloni wa kizungu walipofika Tanganyika waliweka vituo vyao vingi(shule, seminary, vituo vya afya na makanisa)baadhi ya maeneo ikiwemo kanda ya kaskazini na Bukoba na hiyo iliwapa fursa watu wengi wa maeneo hayo kuweza kupata elimu kwa urahisi, hiyo itapelekea wengi wao kufika vyuo vikuu na inawezekana ikapelekea wengi wao pia kuwa maprofesa lakini hiyo haimaanishi hao watu wana IQ kubwa kuliko wenzao waliokosa fursa hiyo ya elimu kuanzia hatua za msingi.
Haya bana ngoja nikuache, ila ujue tofauti ya anecdotal na scientific facts, sehemu nikiposema kuna scientific facts zipo, nikiposema anecdotal I meant that.Wewe unatumia opinions ambazo ni fallacies, myths, na misconceptions kujaribu kuzilazimisha kama facts. Mpaka sasa umeshindwa kuleta kipimo au ushahidi wowote ambao ni fact kutuaminisha watu wa kanda ya ziwa wana akili sana kuliko maeno mengine.
Huwezi kutumia nusu ya darasa lako katika utafiti usio na chembe ya sayansi kutuaminisha maoni yako, mwingine pia anaweza kuja na kusema nusu ya darasa lake waliokuwa na ufaulu mzuri walikuwa Wakinga hivyo nao ni smart sana.
Sijui kama kuna ukweli wowote madaktari wengi nchi wametoka kanda ya ziwa, hata kama hiyo ni kweli inawezekana ni wengi kwa idadi kwa sababu kanda ya ziwa ina wakazi wengi zaidi hivyo pia unaweza kukuta wamachinga wengi, madereva bodaboda wengi, vibaka wengi n.k wanatoka pia kanda hiyo.
Asante kwa elimu.Mimi niliitumia '!' kuonyesha msisitizo pasipo kujua mtachukulia ni hasira.Kueni na amani 😋.Kwa kuwa umependa kuelimishwa, nichangie kwa kutoa maoni haya;
1. Kujadiliwa, kusemwa au kufanya/kufanywa rejea kwa marehemu aliyekwisha zikwa na msiba wake kuwa umeisha haikuwahi kuwa na haitakuwa kosa, kukosa busara au hekima katika utamaduni wowote wa kitanzania na hata Afrika na zaidi hata katika imani za dini zote . Mifano ipo mingi Sana kwa kila mkitadha ama uwe wa mabaya au mazuri. Naamini Ume soma vitabu vingi vya kitanzania, Afrika na vile vya imani vilivyo na rejea mbalimbali za watu wengi waliokufa kwa kuyataja mazuri yao au mabaya yao.
2. Matumizi ya alama hii ! Maana yake ni kuonesha hisia mbalimbali ambazo zaweza kuwa hasi au Chanya. Hivyo unapotumia alama hii msomaji anaweza kuitafsiri ktk Hali Chanya au Hasi kutokana na mtiririko wa mawazo na mantiki inayo wasilishwa,
Alama ! Huonesha hisia ya hasira, furaha, mshangao, chuki, nk. Kwa maana hiyo rejea mantiki ya mstari/ aya yako ya kwanza uliyoweka hizo alama tatu (!!!) Utona kuwa inawakilisha hasira japo kwa mantiki halisi ya sentesi haupaswa kuziweka tatu. Ahsante.
Mzee inaonekana ni mtu unapenda maarifa ila pia ni Mtu unapenda kubisha un intelligently, unfortunately siwezi beba mzigo wa ignorance yako, you're capable of reading and exploring, plse do then uwe unakuja na alternative thinking then we can have meaningful discussion, kwa mfano kama unaona samaki hawana mchango kwenye IQ nipe alternative explanation, the Brain is made up of lipids (DHA, ALA, ARA, cholesterol, ) hivi vitu mtoto akikosa esp kuanzia 2&3 trimester and the first 3 years of life hata kama genetically is predisposed kuwa na higher IQ it'll lower his or her IQ significantly.
The brain won't function at optimal levels na kuna papers kibao...hata uki google unapata, ila kama unataka serious papers and journals nenda kwenye hii site www.sciencedirect.com utapata maarifa sana ya unachotaka kujua
Ofcourse ila visiwani I guess una maanisha visiwa vya ziwa Victoria!!Ndio sababu ya watu wa visiwani kuwa na akili sana au IQ kubwa ??!!
100%Ofcourse ila visiwani I guess una maanisha visiwa vya ziwa Victoria!!
Yeah, no doubt wana uwezo mkubwa tu na tafiti zinahusisha na ulaji wa samaki na dagaa, sio mambo ya ku guess tu, tafiti zipo.100%
Naomba kufahamishwa tu ! He ni nchi gani zilizoendelea sana katika hii dunia ambazo hazikutawaliwa na madikteta kwanza ??!! ( je )Marehemu kuongelewa ni ujinga!!!
Tena cha ajabu mnauliza maswali aliyoyapasa kujibu yeye!!!
Nendeni kaburini mkamfufue basi awajibu!!!
Unaandika ujinga mtupu kuhusu Adolf Hitler.Hao mataifa mengine ya ulaya kama Uingereza wanamsengenya marehemu kwa kuwa aliwaumiza wao na kudondosha uchumi wao!!!
Wakati Adolf Hitler anaazisha vita Ujerumani ilikua poor na wananchi walikua na hali mbaya sasa nieleze Wajerumani walipata hasara gani!!!
Kumbuka Adolf Hitler alianzisha WII baada ya GED niambie alileta hasara gani Ujerumani wakati tayari kulikua na hasara.
Ukiongelea Udikteta hata China imeyapitia,Russia,North Korea,Japan.
Hivi unajua hata white house ya USA imejengwa na watumwa.
Kuna tofauti gani kati ya utumwa na Udikteta.
UTAJUA HUJUI!!! HAMNA VISION KABISA KAZI KUULIZA MASWALI WA KUJIBU HAKUNA CHA AJABU MNASUBIRIA MJIBIWE NA VIONGOZI WA SASA WENYE CHUKI ZAO BINAFSI NA JPM PAMOJA NA DEVELOPED COUNTRIES.
Kuna msemo kijiji chenye wazee hakipungukiwi busara.Mbona Mbeki aliondolewa madarakani wakati ni mzee? Pia Zuma amefungwa pamoja na uzee wake.
Kwa nini sio Unguja na Pemba alikotoka Abdularazak Gurnah mshindi wa Nobel na Salim Ahmed Salim?Ofcourse ila visiwani I guess una maanisha visiwa vya ziwa Victoria!!