smaki
JF-Expert Member
- Jan 23, 2019
- 4,976
- 3,098
Kikwete jamani awe Mwizi sasa aibe nini cha maana ndani ya Bongo Humo!!??....mijitu ya mbagala inalishwa misaada km mitoto ndo inasema kikwete mwizi!! kazi haifanyi, uchawi tyuuu!! na kupigana miti usiku kucha!!!.....ohoo! kikwete anakula kona tuuu!!...ndiyo si anaalikwa?
kutokana na kile kilichomo ndani ya kichwa chake!! wanakitaka awape na wao!! ajabu nyie masikini wa akili mnaponda!! ngoja wanao jua wamtumie dhahabu adimu ile mjue?? ....... mnaichezea tuuu!! masihara meeengi!!
pia yaya alikuwa na ushawishi kwa wenye pesa! mpaka leo anapata mialiko ya kimataifa! Km Nyerere, Oliver tambo, Thabo mbeki, Mandelank, huyu jamaa yuko kundi hili!! tena wanaalikwa kwa hela zao hao waalikaji, hotel zao, magari yao!!...posho zao...
ili tu akatamke Busara zake huko mbele!! sasa badala ya kujifunza kutoka kwake wanamuita majina ya hovyo eti Vasco dagama kwakuwa hawakusoma wanadhani vasco dagama alikuwa anakula kona kujifurahisha kuuuumbe mvumbuzi yule!
wanampaisha kisaikorojia bila wao kujua yaani majitu meusi adhabu mbaya sana!! tena wachawi wananuna mbaya! mfyuuuxcvvbn!! yeye alichuma ili hayo hayo madomokaya yale!
na haya yoote ni kutokana na alivo na akili mingi!!! utu, kuijali Dunia na Africa km ilivo!! kusimamia ukweli, usafi wa moyo!! na hii ni tangu akiwa Waziri wa mambo ya nje! .... hata msipotambua kwa kiburi chenu tu!! Dunia na Mungu wa smaki wanamtambua ivo!
sasa leo hii watu wanataka kunywa sumu eti ni mwizi jamani mweee!! Jizi ni lile lililo wafinyanga watoto wa wakulima na kuwaita fake!! likafa kabisa kwa jinsi Mungu alivo kasirika!! ajabu lilivokuwa na kiburi hata halikukumbuka kutubu!!
sasa km mtu hakutubu mnaijua wazi adhabu yake!! kwa mujibu wa Biblia na Quran!!....achilia mbali ujinga wa sayansi za kishetani amabazo zinawafunga akili!!...hakuna aliye wahi kuwa Rais Bora km kikwete kwenye safu ya ubora!! watake wasitake!