Sina taarifa za kina juu ya hilo mbali ya kuwa na taarifa kwamba Mbowe na kina ENL, RA, wana ukaribu sana, na miaka ya nyuma walikuwa wanakunywa bia pamoja. Vilevile ENL, RA, wamefanikiwa kumteka Zitto. Homa kubwa waliyonayo ni kwa watu kama Lissu. Hata Mkuu wa nchi aliwahi sikika akitamka wakati wa kampeni za Urais mwaka jana kwamba ni mara mia kuwa na Slaa Ikulu kuliko kuwa na Lissu bungeni. Natumaini nimekuwa angalau maoni yangu kwa wewe kuyatafakari.
habari za mbowe kupewa bilioni tatu za maandalizi hukupata?
mwaka 2005????
nilikuuliza kuhusu TISS yenye wafuasi wa Kitine/Nyerere
wamekubali EL awe Rais?
na Mwambulukutu je kasamehe??????
Mhn!Jambo limezua jambo...
Mhn! mtoahabari you're kind of Arrogant lolBwana Nderingosha,
Umma hautafanikiwa kumzuia ENL kupitia sanduku la KURA, bali kwa njia ya maandamano na mgomo wa UMMA kama huko Libya, Tunisia na Misri na kwingineko ulipopataja.
Mhn! mtoahabari you're kind of Arrogant lol
BTW i am more interested on that..
Mkuu kwani sehemu hiyo ndogo haina maana hiyo iliyoko kwenye sehemu hiyo?Natumaini lakini pia kwamba umeelewa mtiririko mzima wa majibu yangu kwa Nderingosha, kwani ulichokinukuu hapo juu ni sehemu ndogo tu ya majibu yangu kwake.
Mkuu nimekuelewa sana! Lakini kwa complication hizi,nguvu zimeisha! Sijui tutoke vipi!Pamoja na umuhimu wa mjadala huu kwetu kama vijana, lakini ni dhahiri kabisa kwamba wanasiasa wote hawa miaka 15 - 20 ijayo watakuwa wastaafu wakipumzika na familia zao, huku vijana wengi humu tukiwa bado hata kufikisha miaka 50, na wengine wengi tu chini ya miaka 40. Kwa mtazamo wangu ambao unaweza kuwa hafifu sana, ni muhimu tujikite katika mjadala huu huku tukitambua hilo, na muhimu zaidi, kwa vision ya miaka 15 - 20 kutoka sasa, ambapo na sisi tutakuwa mbioni kuwaachia watoto wetu na wajukuu zetu taifa lililo imara. Ni muhimu sana kwa vijana sasahivi, kuchagua upande sahihi wa historia ya nchi hii 2011 and beyond, kuliko kuja juta na kusaga meno baadae kwa kujikuta walichagua the wrong side kwa uzembe, tamaa, ama uwoga.
Jukumu la kuamua upande upi ndio upande ndio the right side of history ni wa kijana mwenyewe, mmoja mmoja, bila ya kuingiliwa na mtu yoyote kwani huo ni uhuru na haki ya kila mtu. Zaidi ya hivyo, ni kukumbushana tu kwamba, unlike safari ya hawa wanasiasa tunaowataja taja humu ambao safari yao kisiasa itafikia ukiongoni miaka sio mingi kutoka sasa, wakiwa wastaafu HAI au HOI, safari yetu sisi kama vijana bado ni ndefu sana, na ile ya watoto na wajukuu wetu ndio ndefu zaidi, na itategemea tunafanya maamuzi gani leo i.e. between 2012 and 2015.