Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1)

Goooooood !!!!!!!!!! To me nimekukubali HU siitaji tena ushuhuda manake hii ndiyo iliyokuwa inaniumiza kichwa sasa umeifumua nimepigia mstari kamanda nasalute.GOD BLESS YOU HAKIKA NA MWENYE MASIKIO NA MACHO UJUMBE NDIO HUO.

Na iwapo tetesi hizi zina ukweli, ni lazima tukubali kwamba kelele za Serikali ya Tanzania kupinga misaada ya wahisani inayokuja na masharti ya ushoga sio suala la kudumu. Isitoshe, wahisani wote, Benki Ya Dunia, IMF, balozi mbalimbali - marekani, uingereza, Israel etc, nchini Tanzania wanalalamika nchi haina dira na wanapendelea EL akamate uongozi, kwa madai kwamba, uongozi wa EL utakuwa very favourable kwa mitaji kutoka nje.
 
Hii ni kweli,huyo kijana nae ni member mwenzetu pale club japo huwa sipendi ku urge nae....

Bar unayoizungumzia ni ile Bar yetu pale legend, karibia na jumba la sanaa ambako Kamanda Mbowe na wenzake (wakiwa katika magwanda yao), hujumuika na wafuasi wa EL, wakiongozwa na Mheshimiwa Mwanae, Fred, kwa shampeni nyakati za jioni?
 
kuna uongo mwingi sana hapa zaidi ya ukweli.............very interesting to read..........kwa wale waliokuwepo hapa JF muda mrefu watanielewa............the good thing ni kuwa.........."ONLY TIME WILL TELL"

uongo mwingi na bado unatoa ''like'' kwa kila post ya members!!!!
 

Duh nimekuaminia lakini kuna mahala ulisema munakuwa nao club club gani hiyo
 

ha ha haaa mzee uko very technical kukuelewa inabidi kichwa cha juu kifanye kazi zaidi ya uwezo wake wa kawaida ule wa kusoma na kuandika!
 
Mtoa habari sio bar ya salender bridge kaka! Pink cocunut? Au mie ndo nipo outdated? Ngoja Romantic kama atathubutu aseme! Lol
 
Mtoa habari, sio kila tetesi ni kweli zingine ni uwongo!.

Hoteli yao wote hao ni DD, nami hufikia hoteli hiyo hiyo, nature ya hoteli yenyewe inatoa fursa watu kujiachia maana lounge, garden, swimming pools, dinning, restaurant na bar zote ziko mahali pamoja, mtu akitoka pool na swim suit akaa garden anaweza kukutana na watu waliokuja formal dinner hapo hapo garden, hivyo sio ajabu mtu kukatisha from one place to another akiwa na boxer shot!.

Siamini hata kama ni kweli wana mahusiano yasiyo ya kawaida, hawawezi kufanya upuuzi huo hapo DD hotel, wale wasukuma, Cheyo, Chenge, Ndasa na Kikula wa UDOM, counter ndio sebuleni kwao na mpaka wachoke ndipo bar ifungwe!, nani afanye upuuzi huo open place kama pale!, I don't buy this!
 
Mtoa habari sio bar ya salender bridge kaka! Pink cocunut? Au mie ndo nipo outdated? Ngoja Romantic kama atathubutu aseme! Lol

Hapana, sio salender, naongelea Legend, imejificha sana na ni kwa members peke yake. Ipo upande wa kushoto, barabara kuu,kama unatokea palm beach kuelekea mjini. Ipo upande wa kushoto, ukishavuka Jengo la Zamani la TCRA/Las vegas Casino, kama mita 70 hivi kutoka kwenye kona/mataa ya kuingilia Mtaa wa Ohio/Movenpick.
 
Pasco ahat mimi niliwahi au nakutana na mzee Chenge hapo DD!
 
Ndio maana nimeweka msisitizo wa neno "TETESI."
 
uongo mwingi na bado unatoa ''like'' kwa kila post ya members!!!!

interesting to read!...........usanii ni kazi au ulikuwa hujui.......usipotee njia kwa kuona "Ogah" ame-like............utaingia choo ambacho sicho mazee........hahaha
 
Mtoa habari sio kabla ya kuingia Ohio? Ukumbi ambao pia harusi zinafanyikia hapo? Kushoto ya kuingia serena ukitokea salender?
 
Bar unayoizungumzia ni ile Bar yetu pale legend, karibia na jumba la sanaa ambako Kamanda Mbowe na wenzake (wakiwa katika magwanda yao), hujumuika na wafuasi wa EL, wakiongozwa na Mheshimiwa Mwanae, Fred, kwa shampeni nyakati za jioni?
Asante, niliwahi kufika pale kwa mwaliko maalum, the other day nimekwenda, nikajukuta out of place, nikajiishia zangu na kujirudia hivi vibaa vyetu vya uswazi!
 
Asante, niliwahi kufika pale kwa mwaliko maalum, the other day nimekwenda, nikajukuta out of place, nikajiishia zangu na kujirudia hivi vibaa vyetu vya uswazi!
What happened mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…