mtoahabari
Member
- Dec 27, 2011
- 76
- 223
Goooooood !!!!!!!!!! To me nimekukubali HU siitaji tena ushuhuda manake hii ndiyo iliyokuwa inaniumiza kichwa sasa umeifumua nimepigia mstari kamanda nasalute.GOD BLESS YOU HAKIKA NA MWENYE MASIKIO NA MACHO UJUMBE NDIO HUO.
Na iwapo tetesi hizi zina ukweli, ni lazima tukubali kwamba kelele za Serikali ya Tanzania kupinga misaada ya wahisani inayokuja na masharti ya ushoga sio suala la kudumu. Isitoshe, wahisani wote, Benki Ya Dunia, IMF, balozi mbalimbali - marekani, uingereza, Israel etc, nchini Tanzania wanalalamika nchi haina dira na wanapendelea EL akamate uongozi, kwa madai kwamba, uongozi wa EL utakuwa very favourable kwa mitaji kutoka nje.