The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,900
- 18,751
trachomatis, mbona una haraka wewe?, subiri basi apitishwe, utaisoma ilani yake, kwa kukusaidia tuu, sera ya habari, nui uhuru usio mipaka, kima cha chini cha waandishi ni milioni, kwa vile wananchi wana kui ya habari, serikali yake itagharimia magazeti yote hivyo yatatolewa bure!. Kila mkoa kuwa na TV kituo chake cha TV kutangaza maendeleo yake. Wakulima watanunuliwa matreckta, kima cha chini laki tano. Elimu ya lazima ni mpaka kidato cha sita, halafu elimu mpaka chuo kikuu bure, huduma za afya bure, yaani hospitali zote bure, serikali itazipa ruzuku hospitali zote ili kina yakhe tukatibiwe bure!.
Angalizo:, nawaombeni msinibeze, pigine bdebe la Lowassa mpate mambo mazuri!.
Kwa mtaji gani?..Mjinga zungulukutu pekee ndio ataamini mambo haya!..(on the other hand.... Mnnnnh! mbona JK kapita mara 2 kwa uongozo huo huo alofundishwa na EL)trachomatis, mbona una haraka wewe?, subiri basi apitishwe, utaisoma ilani yake, kwa kukusaidia tuu, sera ya habari, nui uhuru usio mipaka, kima cha chini cha waandishi ni milioni, kwa vile wananchi wana kui ya habari, serikali yake itagharimia magazeti yote hivyo yatatolewa bure!. Kila mkoa kuwa na TV kituo chake cha TV kutangaza maendeleo yake. Wakulima watanunuliwa matreckta, kima cha chini laki tano. Elimu ya lazima ni mpaka kidato cha sita, halafu elimu mpaka chuo kikuu bure, huduma za afya bure, yaani hospitali zote bure, serikali itazipa ruzuku hospitali zote ili kina yakhe tukatibiwe bure!.
Angalizo:, nawaombeni msinibeze, pigine bdebe la Lowassa mpate mambo mazuri!.
Pasco,
Pamoja. Nimekupata. Tulitulize kisha tuanze tena karibu na uchaguzi wa chama, pending na matokeo....yakiwa kama tulivopanga basi tuendelee kumpigia debe 2014 Mungu akipenda.
Inshallah!
Ngoja niadjust kiti nilala ELairline. (Edson najua utasema tu!)
Mkuu Idimi, hilo la tuhuma za Nyerere nilishalijibu humu humu kama utasisitiza nitajibu tena.Mkuu Pasco,
Katiba inakuruhusu kuwa na msimamo huo, na uko sahihi. Unaweza kutupa mwanga kidogo kuhusu hoja za Kasori juu ya mgombea wetu mtarajiwa? Kwa nini hakwenda Msasani 'Kusafishwa' alipoitwa? Aliomba msaada wa Nyerere kusafishwa, je juhidi hizi zilifia wapi?
Mh. I smell something here. Hujaahidiwa kuteuliwa kweli?[FONT=arial, Calibri, Verdana, Geneva, sans-serif]
[/FONT]
Nyarandu nae yupo kundi gani wakuu? Maana nasikia nae anautaka urais.
Mkuu Mkandara, mbona Watanzania wengi tuu, tuu wajinga zungulukutu! Kama 2005 tuliambiwa "maisha bora kwa kila Mtanzania" na tukaipa CCM ushindi wa kishindo, baada ya miaka 5, hakuna cha maisha bora, hakuna chochote wala lolote!. Mwaka 2010 tukawachagua tena!, sasa huu kama sio ujinga uzumbukutu ni nini?!. Kuna any stock taking ahadi zipi zilitimizwa?. Siasa za bongo, ni kuahidi mpaka kuishusha pepo, muda ukifika, unaomba miaka mitano mingine ya kuishusha pepo!Kwa mtaji gani?..Mjinga zungulukutu pekee ndio ataamini mambo haya!..(on the other hand.... Mnnnnh! mbona JK kapita mara 2 kwa uongozo huo huo alofundishwa na EL)
Mkuu Idimi, hilo la tuhuma za Nyerere nilishalijibu humu humu kama utasisitiza nitajibu tena.
Hili la kuahidiwa kuteuliwa!?, niahidiwe niteuliwe ili niwe nani?.Kwa vile humu tunatumia pen names, laiti tungelijuana maisha yetu in reality, dhana nyingi potofu zingetoweka. Kuna watu wanaona kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ni heshima sana!. Amini usiamini kuna watu masikini jeuri, ambao kwao ukuu wa wilaya si lolote, si chochote, na bado wako happy kwenye lindi la umasikini wao uliotopea!. Mimi ni mmoja wao!. Namtetea Lowassa kwa mapenzi yangu kwa nchi yangu, nothing more, nothing less!
Mr. Zero, hakuna mazingaombwe yoyote, mleta mada hutaki unaacha, alileta mada ili kututahadharisha jinsi Edward Lowassa alivyo hatari, lengo ni kummaliza Lowassa ili Part 2 ilikuwa ni kumleta mgombea wakePasco,
Kweli umeamua. Jana niliposema kuwa hii thread ni mazingaombwe matupu na imeletwa kwa nia fulani akina Edson na Mushi wakanijia juu. Sasa mleta thread kaingia mtini (kama hatumii identity nyingine kama ninavyodhania), mtoahabari naye kaishia sasa tumebaki kumpigia na kumkandia EL!!
Nakubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa... na nakupata vizuri isipokuwa inanishinda hadi wewe unayejua una maradhi haya, na unajua fika EL sio dawa bali anakutia chunvi ktk kidonda bado uko radhi kuikabiri chunvi ambayo unajua fika itaongeza ukubwa wa kidonda?..Mkuu Mkandara, mbona Watanzania wengi tuu, tuu wajinga zungulukutu! Kama 2005 tuliambiwa "maisha bora kwa kila Mtanzania" na tukaipa CCM ushindi wa kishindo, baada ya miaka 5, hakuna cha maisha bora, hakuna chochote wala lolote!. Mwaka 2010 tukawachagua tena!, sasa huu kama sio ujinga uzumbukutu ni nini?!. Kuna any stock taking ahadi zipi zilitimizwa?. Siasa za bongo, ni kuahidi mpaka kuishusha pepo, muda ukifika, unaomba miaka mitano mingine ya kuishusha pepo!
Nasisitiza tumpigie debe Lowassa, ana uwezo mkubwa hadi alileta wataalamu wa kututengenezea mpaka mvua!. Ukimuondoa Mungu Baba aliye mbinguni, kwa Tanzania anafuatia Edward Ngoyai Lowassa ndiye mkombozi pekee na wa kweli wa nchi hii ya wajinga mazumbukutu!.
Wengi mnapojadili mada mnamjadili Lowasa, mimi nafikiri kabla ya kuanza kumsifia mngesema kwanini anafaa kuwa rais , kwa kuzingatia changamoto zilizopo hapa nchini,
1.Umasikini
2.Elimu duni
3.Maosipitali yasiyo na dawa
4.Serekali isiyojali wananchi wake
5.Kupanda kwa gharama za maisha kila siku
6.Wakulima wasio na nyenzo na wamekata tamaa.
7.Ubadhirifu na matumizi mabaya ya mali na ofisi za serikali kwa wenye dhamana, mf: Jairo, Luhanjo, Spika wa Bunge.
8.Katiba isiyokidhi matakwa ya Watanzania.
Ongeza halafu Pasco na FairPlay, EngineerMtolera na wapambe wote wa EL tumieni mposho yenu.
Mkuu Mkandara, we are facing two choices only! hawa jamaa waendelee kutawala milele, au tuamke tufanye mabadiliko ya kweli!Nakubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa... na nakupata vizuri isipokuwa inanishinda hadi wewe unayejua una maradhi haya, na unajua fika EL sio dawa bali anakutia chunvi ktk kidonda bado uko radhi kuikabiri chunvi ambayo unajua fika itaongeza ukubwa wa kidonda?..
Hivi kweli akijitokeza mtu muungwana na unajua sii mlarushwa akaja hapa JF na kuomba wanahabari wote wazalendo pasipo malipo kumpa support yenu watashindwa kufanya hivyo kama walivyofanya kwa Dr.Slaa?.. Hivi kweli ndani ya CCM hakuna kabisa mtu ambaye anastahili nafasi hiyo isipokuwa EL ambaye kwa uongo ule ule unakubali yaishe?..Kitaifa nina hakika EL hatashinda hilo amini maneno yangu maana huko nimesha tazama ktk bao langu!
Na mwisho hivi kweli wewe hapo ulipo huna mtu pendekezo lako ambaye unaweza kumuuza kwa wananchi kama Mzalendo safi isipokuwa EL hata kama nia yako ni kutujuza hali ya hewa mbaya ijayo ili tukimbilie milimani?
Most welcome!Ukimsoma huyu Pasco wa JF between the lines utamuelewa.
trachomatis, mbona una haraka wewe?, subiri basi apitishwe, utaisoma ilani yake, kwa kukusaidia tuu, sera ya habari, nui uhuru usio mipaka, kima cha chini cha waandishi ni milioni, kwa vile wananchi wana kui ya habari, serikali yake itagharimia magazeti yote hivyo yatatolewa bure!. Kila mkoa kuwa na TV kituo chake cha TV kutangaza maendeleo yake. Wakulima watanunuliwa matreckta, kima cha chini laki tano. Elimu ya lazima ni mpaka kidato cha sita, halafu elimu mpaka chuo kikuu bure, huduma za afya bure, yaani hospitali zote bure, serikali itazipa ruzuku hospitali zote ili kina yakhe tukatibiwe bure!.
Angalizo:, nawaombeni msinibeze, pigine bdebe la Lowassa mpate mambo mazuri!.
Mkuu Mkandara, we are facing two choices only! hawa jamaa waendelee kutawala milele, au tuamke tufanye mabadiliko ya kweli!
Mkiamua waendelee kututawala milele, tuleteeni Dr. Shein, na wale sportless wao kama Nahodha au Dr. Mwinyi. Lakini kama tunataka mabadiliko ya kweli, we have one and only choice, Lowassa ateuliwe mgombea wa CCM!. Kwa uzoefu wangu wa siasa za bongo, CCM itamteua mtu anaeuzika kirahisi, Lowassa atafishwa na atateuliwa ili kutuletea ukombozi wa kweli! Mtu anayeuzika kwa wananchi kwa urahisi ni Lowassa tuu maana track record yake ipo, alitaka kutengeneza hadi mvua!
Mkuu Mkandara kama na uko uko for the changes, join our team tumsafishe Lowassa apitishwe!bk
trachomatis, join the team Lowassa awe mgombea wa CCM alete mabadiliko ya kweli, tena nilikuwa sijakuambia, kodi ya VAT ataipunguza mpaka 15% serikali itaendeshwa kwa tozo za madini na gesi asilia, yaani within the first five years, uchumi wetu utapaa kama tiger countries ambazo tulipata nazo uhuru kipindi kimoja, they had nothing and we had everything, now they have everything, we have nothing!.Mbona unanivutiavutia Pasco?!