Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1)

Watu wamejitoa ufahamu, hawataki hata kuangalia kwa undani kwamba ni kitengo cha Sisiemu ndiyo kimehamia ukawa.

Na pesa zote walizotumia kule sisiemu na walizotumia kuinunua ukawa, ni kweli dalili njema. Watu wamekuwa wakicheza mchezo mchafu ndani ya chama chao sasa wanasambaza uozo huko upinzani. Nimeamini mamvi ni mpiga filimbi wa hamelin. Hawa jamaa walitakiwa wabaki huko huko na sisiemu yao.

Niseme tu kwamba uwingi wa watu si ushahidi wa kwamba yeye ni kiongozi bora, au wengine wanavyokufuru 'chaguo la Mungu." Tulipata kuwasikia hata maaskofu wakati fulani wakikufuru namna hiyohiyo. Tunaugulia tu matokeo ya hilo chaguo. Ni dhihaka na ufedhuli mbele ya Mungu.

I believe upinzani wameipisha Sisiemu ijitanue huko. Unfortunately, wanaomfuata pied piper of hamelin wamejitoa ufahamu kiasi kwamba yeyote anayempinga mteule wao ni automatically sisiemu. To whom do we owe this kind of polar outlook? There is no room for arguments and thinking. Mtu anasoma hata habari ya 2011 leo ambayo ilitabiri mambo yaliyokuja kutokea, badala ya kutoa hoja na kusema kwa nini anafikiri maelezo si sahihi, anakurupuka na kusema "unatumiwa kufanya propaganda."

Watanzania tutakuja kujutia kuwaendekeza masisiemu kila yanakoenda.
 
hii baada ya uchaguzi nahisi tutapata muendelezo nafarijika kuona kuwa bado tuna watu makini wanao fatilia taifa hili mchana na usiku bila kuchoka waki tahadharisha viongozi wetu juu ya mambo ambayo wao ni ngumu kuyajua
 
hii baada ya uchaguzi nahisi tutapata muendelezo nafarijika kuona kuwa bado tuna watu makini wanao fatilia taifa hili mchana na usiku bila kuchoka waki tahadharisha viongozi wetu juu ya mambo ambayo wao ni ngumu kuyajua


Mwendelezo tafadhali...
 

this was one of the best comment of this year before uchaguzi
 
Huyu si ndio yule aliyeshindwa Ubunge na ana kesi ya Mtandao jamani sometime Maisha yanakubadilikia fasta... yaani unatoka Uzao wa Baba wa Taifa and then unakuwa MP and then unapoteza vyote mwishowe unaishia kwenye Lupango duh!

Jason Bourne AKA Y.Nye....
 

Mwendelezo vipi hapa. hutakiunaacha?
 
Dah huyu hutaki unaacha sijui yuko wapi siku hizi,, mkuu popote ulipo tunamiss hizi habari zako za kiuchunguzi ambazo hakuna mwandishi wa habari wa tanzania anayeweza kuziandika au kuzijua... Hiyo ni habari ya 2011, lakini yametokea 2015, na jamaa alimuonya mpaka JK baada ya urais nini kitafuata baada ya kucheza karata zake vizuri, tunaona episode inaendelea kwa JK na maadui zake...
 
Vipi bado anamtisha nyau??? Unganisha dots ya mzee moyo na jussa
 
Asee many things you feared have been in your place for years " (deleted people:
 
Sijui ndivyo viwanda vya uongo tulivyoelezwa? Maana haieleeki ni michezo gani ilichezwa mpaka kutoonyesha dalili ya kile alichoeleza mleta mada kwenye post namba moja!
 
Hzo story za long time,sahz yupo comrade MAGUFUR mitandao yote kaivunjilia mbali imebaki kibiti
 
Hahahaha hizi posts zilitufanya tukeshe JF miaka hiyo, kumbe zilikuwa porojo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…