Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1)

Kwa mtandao huu unaotajwa, maombi yangu kila siku ni kuomba wafanikiwe ku'lobby hadi hatimaye EL apendekezwe kuwa mgombea pekee!

Hapo hakika mbingu zitakuwa zimefunguka, na Mungu kusikia sala za wanyonge!

Huyu mtu hata kama ana fedha kiasi gani, hata kama ana uwezo wa kumhonga kila Mtanzania milioni 50, bado hawezi kununua fikara za Watanzania, japo si wote!

Mungu atujalie uhai, somewhere in 2014 ataamua kukatiza safari yake hiyo na kujikita kumsaidia mtu fulani, ambapo pia itakuwa ni aibu tupu, mbinu zake zitadhihirika!
 
Huna Address ya Magogoni? Kikwete huwa hachungulii huku akipita anaweza kufa kwa presha za humu JF.
MKUU, Si yeye tu, hata mimi nimeanza kusikia roho ikiuma. Mtoa hoja amalizie yale mengine anayoyajua ili tuone jinsi ya kuokoa jahazi mapema. Kama ukitoboa jahazi au ukimwona abiria mwenzako anatoba jahazi ulilomo na wewe ukanyamaza basi bila shaka umeridhia kuzama nalo.
 
CHADEMA wanajidanganya. Nakubali ndio watashinda kula za urais, hilo halina ubishi, ila EL ndiye atakayeapishwa kuwa rais.
Wasichojua ni kwamba, unaweza kulinda kura za udiwani na ubunge, lakini za Uraisi ni ngumu sana.

kama haya kweli yanaweza kufanyika, then kwa nini tuingie gharama za kufanya uchaguzi every five years? all in all, it is high time wasanii wetu wajitokeze kuandaa tamthiliya kali spanning over a number of generations (kama Godfather vile) based on these machiavellian gimmics
 
Lakin nawe upo kwenye mtandao
 
Siamini kama huu ni udaku, ila hata udaku huwa na kweli.

Naamini Mengi ni kweli, Maana UWT huwa wanapenda kuongeza chumvi ili story isomeke mpaka mwisho...
 
CHADEMA wanajidanganya. Nakubali ndio watashinda kula za urais, hilo halina ubishi, ila EL ndiye atakayeapishwa kuwa rais.
Wasichojua ni kwamba, unaweza kulinda kura za udiwani na ubunge, lakini za Uraisi ni ngumu sana.
Na ndio juhudi zinafanyika ili wanajeshi, askari, usalama wa taifa na wengine wote walio sehemu nyeti wapate elimu ya kutosha na kuacha kupokea amri ovu hata kama akili zao zinaona hivyo.

Hilo somo ndio kwanza limeanza na litakuwa more structured as time unfolds. Ikifika 2015 hamtawadanganya tena na hapo ndipo akina Pasco na kundi lake la mafisadi hawataamini. Ni kama mvua zilizoleta maafa Dar, mabadiliko hayazuiliwi!!
 

Pasco ana tactics za kitoto sana, eti anatutajia majina anayodhani ni makubwa JF kuwa wapo na Lowasa, anafikiri JF ni ya kufuata mkumbo kama alivyo yeye.

Personally naitaka Tanzania yenye neema and i do not see kwamba neema italetwa na wezi akina Lowasa et al. Ntabaki peke yangu na Mungu wangu napingana na uovu wao, na mimi na Mungu wangu tutashinda. Mark these words.
 
UPUPU wa kutaka kumchafua Lowassa na Rostam.

Hata mkifanyaje tunawajua wala hatushikiki. Good story telling though.
Hao walishajichafua wenyewe. Hakuna mtanzania anayeweza kupoteza muda kuwachafua zaid mana uchafu walionao unatosha kbs, sana sana ukitaka kuwachafua kwa uchafu walionao unaweza kuta na wewe unajipaka uchafu wao.
 

Wewe kweli ni Great Thinker !
 
We ndio ulipost kitu kama hiki kuhusu MEMBE!!!!!!!!!!!!!!!
 

Mdau inaonyesha wewe humu JF ujui lolote!!!!!!!!!!!!!!! .Kwa kuwa mtoa mada kalenga kutuongezea ufahamu wetu yale tunayojua wenyewe halisia tukachanganya na mbayuwayu wa JK jibu tunalo tunasubilia part tu tunendeleze kupigia mstari na kusubilia bomu liwapasukie wahusika watanzania yetu macho.

Hivyo wewe kaa kushoto otherwise wewe u mmoja wa wahusika,zako ziko jikoni wanakukaangia zikichemka utapewa,.
 
Pasco Unataka kusema bomu la kumlazimisha JK asujudie kumsimamisha EL kuwa Rais ni lipi ilo ambalo Watanzania wa Chini wasilojua mchezo wa Richmond ilikuwa ni BLACKMAIL.
Tafuta hoja nyingine kuwahalalishia wanajamii forum nguvu za EL, wabongo mpaka wa mitaani kwenye vijiwe wanajua mmoja ALiBRACKMAIL mwenzie.Ndio maana limekuwa ni kaa linalochoma kila siku.sema jingine tusilojua.
 
God, grant me the serenity to accept the things I cannot change

Courage to change the things I can...

And wisdom to know the difference...
 
Hilo somo ndio kwanza limeanza na litakuwa more structured as time unfolds. Ikifika 2015 hamtawadanganya tena na hapo ndipo akina Pasco na kundi lake la mafisadi hawataamini. Ni kama mvua zilizoleta maafa Dar, mabadiliko hayazuiliwi!!
Chesty, mimi nakiri wazi, kuwatetea mafisadi kwa nguvu zangu zote, wengi wasionielewa vizuri, wanaamini utetezi wangu kwa Lowassa ni utekelezaji wa kazi niliyotumwa na mtandao wake, tena naifanya kwa ujira, hivyo hao mafisadi wakishatinga ikulu, angalau na mimi nikumbukwe kama alivyofanya Salva na ile kazi yake nzuri pale Mtanzania mwaka, 2005!. Kama hivi ndivyo nawe unavyoamini, sawa mimi na mafisadi dam dam!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…