Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ningependa kujua ugomvi wake na Jenerali ulikuwa kuhusu personal issues au political issues?????
Ugomvi wa kisiasa, mizizi yake ikiwa harakati za mtandao kukamata nchi mwaka 2005, ambapo walihakikisha kwamba yeyote aliyekuwa anapingana na ndoto yao, anasulubiwa. Hizi ni tetesi, zithibitishe, kisha zifanyie kazi.
hiyo ndio mitego sasa,ulipoongea mwanzo about jenerari na huo upuuzi wa kina lowassa kwake hiyo miaka ya nyuma nilidhani unazungumza jambo unalolijua pengine nalo ni kutoka kwenye corridor za uwt kumbe hata we mwenyewe huna uhakika,ndio ile niliozumngumza kumwambia mchangiaji mmoja huko nyuma kwamba kitu unaweza kukianzisha mwenyewe tena kwa kauli ya kilevi tu baada kikazunguka kikaja kukufikia wewe mwenyewe ila this time ukiwa hauna pombe kichwani na wewe ukakiamini na kukishikia bango kumbe ulikianzisha mwenyewe katika ulevi tu!leo kututaka tena sisi tusithibitishe habari unazotoa wewe i inawezakuonekana ni kioja cha kufunguliwa mwaka 2012!
Nadhani huu ni wasaa mzuri kwa mtoa mada kuja kumalizia kipande chake kama alivyoahidi, kwani tumeiteka mada yake. Naomba sasa nibakie mtazamaji kwa muda kidogo, lakini nina ahidi kwamba sitapotea kama baadhi yetu walivyo hint humu. Nitaendelea kuwepo, hadi pale ushindi dhidi ya Genge la ENL, utakapopatikana. The Romantic, ne wengine wote wenye hofu na genge hili, ondoeni shaka, pamoja na nguvu yake yote ambayo kuna nyakati inakatisha tamaa wapiganaji, Lowassa hatoweza kukamata madaraka ya Urais wa nchi hii, mapambano yatakuwa makubwa na marefu, lakini hatofanikiwa kwasababu moja tu: Mwenyezi Mungu na wanae (UMMA), ndio walinzi wa taifa hili, sio Usalama wa Taifa. Alamsiki.
Kwahiyo kumbe ni kweli wana viherehere?Hata kulipwa hawalipwi?Toyota Hiace iwaletee mabinti wa boarding sekondari, lakini sana sana mabinti wa vyuo vyetu vikuu, kisha muwachezee watoto wa watu, huku mkiwa mnatembea uchi wa mnyama na vilevi vyenu mikononi, mkibadilishana binti kwa binti na kusisitiza sera ya uwazi, sio sera ya wivu, huku pia mkiwalazimisha watoto wa watu wafanye ngono wao kwa wao nyie mkipiga makofi na miluzi, mkiongozwa na 'prince to be', Fred Edward Ngoyai Lowassa na kundi lake, kisha kuwarudisha watoto wa watu kabla ya jua kuchomoza, kwa hiace mliyokodi, wakiwa wamelewa, na wachovu, bila ya senti, kwa ahadi kwamba mtawarudia tena, kwani nyinyi ndio wenye nchi.
Imebidi nirudi haraka kuweka hili sawa. napenda kutumia neno tetesi ili kutoa nafasi kwa watu kwenda kuthibitisha iwapo hawaridhiki na taarifa zangu. Vinginevyo, Mzee wetu mpendwa, Jenerali Ulimwengu alifanyiwa umafia na watu waliokodishwa na genge la Lowassa, na kuugua kwa muda mrefu sana. Waulize kina mwapachu, Balozi Mpungwe, kwani wanalijua hilo kwasababu wanaukaribu na mke wa Mzee Ulimwengu ambae ni mtumishi mkubwa tu wa umoja wa mataifa katika nchi za huko kusini mwa afrika ambapo Mpungwe na Mwapachu mdogo wamefanikiwa sana kijasiriamali. Ni hayo tu kwa sasa.
Balali is dead. Hiyo ni utoto kwa aliefungua account ya TwitterHuyu bwana Daudi Balali yasemekana amesha kufa,lakini kinacho endelea ktk twitter kinaonyesha kumweka hai mzee huyu,bado siamini kama bado yupo hai huko Jersey Island ama kuna mtu anatuchezea ili kupata habari za udadisi juu ya hisia za watu kwa mzee wetu Balali?
ebu angalia hili
Daudi Balali
@daudibalali Jersey Island
Tweeting From Jersey Island For Tanzanians Around The World. Nitasema Kweli Daima. (Secrets That Will Break A Nation).
Mkuu mbona sasa unaji contradict? Kwenye uzi huu huu (ukusara fulani) umeandika kwamba ENL kuchukua nchi hii ni lazima na ni kama count down ya new year,, sasa mbona unakuja kivingine tena?? Unaanza kunitia mashakaNadhani huu ni wasaa mzuri kwa mtoa mada kuja kumalizia kipande chake kama alivyoahidi, kwani tumeiteka mada yake. Naomba sasa nibakie mtazamaji kwa muda kidogo, lakini nina ahidi kwamba sitapotea kama baadhi yetu walivyo hint humu. Nitaendelea kuwepo, hadi pale ushindi dhidi ya Genge la ENL, utakapopatikana. The Romantic, ne wengine wote wenye hofu na genge hili, ondoeni shaka, pamoja na nguvu yake yote ambayo kuna nyakati inakatisha tamaa wapiganaji, Lowassa hatoweza kukamata madaraka ya Urais wa nchi hii, mapambano yatakuwa makubwa na marefu, lakini hatofanikiwa kwasababu moja tu: Mwenyezi Mungu na wanae (UMMA), ndio walinzi wa taifa hili, sio Usalama wa Taifa. Alamsiki.
Hapo sasa. MtoaHabari, nadhani utakuwa umemshawishi FairPlayer vya kutosha sasa kuhusu genge hili la "BERLUSCONI" wetu wa Tanzania.Hatuna haja ya kufika huko kwani wapo wenye akili timamu humu wenye ufahamu fika kwamba Lowassa ni mchafu na hafai kuliongoza taifa hili. Wanaomwona anafaa wanafuata haiba (personality) ya Lowassa ambayo itaondoka nae akienda kaburini hata kesho, hawafuati dira au itikadi ambayo itasimama hata pale atakapotoweka duniani, kwani haipo. Ushabiki wa Lowassa ni wa mchezaji kama David Beckham, wanahama nae, iwe china, Marekani, Hispania, n.k. Sio timu pamoja na historia na utamaduni wa timu husika. Mimi ni shabiki wa timu, wachezaji wanakuja baadae, sishabiki golikipa Juma Pondamali ambae alikuwa Pan African na Baadae kuhamia Yanga, nashabikia Yanga, hata ikimsajili Issa Michuzi kama beki namba tatu. Vinginevyo, mwenye mashaka na maandiko yangu ni wewe tu, ambae hata kauli zako juu ya hiyo club ni haiba/personality za mtu mmoja mmoja, sio utashi wao kwa pamoja katika jamii. Na hicho ndio kiini cha wewe kutilia mashaka utoaji wangu wa taarifa.
Unamwondoaje Lowasa kwenye genge lake mwenyewe tena mwanae akiwemo? FP, nikiwafahamu marafiki zako wa karibu inatosha kukufahamu wewe ni nani.Mtoa habari,
Kuhusu G8 kujirusha na Totoz, Mtoa habari umesema kweli. Sometimes inafanyika mahotelini na sometimes kwenye majumba ya kukodi.
Hili la Totoz lilishafanya watu kukosana wenyewe kwa wenyewe maana walichukuliana. Alipochukuliwa mtoto wa mmiliki wa kampuni ya Sign boards kidogo Rose Garden ifungwe. Mengine ni tetesi sipendi kuandika hapa hasa kuhusu kale kaugonjwa ketu.
Ila unapokosea na kuhusisha uchafu wa watu wengine na Lowassa. Hapo ndo nakataa na kukupinga. Kwasababu wewe na wenzio mnajua wazi hili suala kwanini hamlifanyii kazi?, hata nyinyi mnamuogopa Lowassa ambaye ni mbunge tu?