Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,711
- 1,914
The Boss jamaa wakikusikia watakuwa mbogo, lakini ukweli utabaki kuwa ukweli hivi wanafanya kazi kwa maslahi ya nani?matatizo yetu yotee humu utaona yanaanzia TISS....... sio JK, wala RA wala EL, wala nani....................
Ni kama vile watu wa TISS hawajui haswa nafasi yao kwenye taifa hili........wamepwaya vibaya mno....... hawako ahead na mambo. Wanatumika na watu individuals.... hata sicilliam mafia kuna discipline ambayo TISS hakuna.........
haijulikani their 'values' and their 'taboos'........ hawajui 'their noble cause' ni nini........ wapo tu wanapokea order............
Nakwambia hivi jeshini heshima ni lazima na kufuta command au order kama hutaki unapewa adhabu, demotion, extra duty, ultimately kufukuzwa jeshi, au compulsory retirement kama unavyo shuhudia wakati mwingine.kwa sababu unaona watu wanapiga saluti basi ndiyo unahisi hakuna dharau. Hivi Makame Rashid alikuwa anaheshimiwa?
TISS bwana kuna wakati tuliambiwa eti Pasi iliwasha moto Ikulu. Juzi kijana mmoja kaenda kwao kuaga na kuwaambia amechaguliwa kujiunga na TISS. Zamani hata kuoa ilikuwa ni lazima desk officer wako ajue na kama huyo mwanamke ataonekana mapepe hata kama umempenda vipi huoi. Nsa Kaisi alii Practice hii kwa moyo wake wote.The Boss jamaa wakikusikia watakuwa mbogo, lakini ukweli utabaki kuwa ukweli hivi wanafanya kazi kwa maslahi ya nani?
Kuna tofauti kati ya kutii amri na heshima. Unaweza kutii amri ya mtu hata kama humheshimu!Nakwambia hivi jeshini heshima ni lazima na kufuta command au order kama hutaki unapewa adhabu, demotion, extra duty, ultimately kufukuzwa jeshi, au compulsory retirement kama unavyo shuhudia wakati mwingine!!!!!!!!
Hapo tumeelewana kuwa hata kama mtu humuheshimu lakini wewe utatii amri iliyo tolewa basi full stop na ndio maana ya jeshi obey the command follow the order. Hayo mambo ya heshima ni baadae kazi imeisha fanyika sawa!Kuna tofauti kati ya kutii amri na heshima. Unaweza kutii amri ya mtu hata kama humheshimu!
sijui ni Promo la aina gani hili? Hapa hatumfagilii RA bali tunaonyesha udhaifu wa TISS!!Bonge la "promo" kwa RA, ENL,...
Kwani ilikuwaje kati ya Osama na Marekani. Tusishangae siku tukisikia Rostam anatangazwa gaidi namba moja duniani...
Tatizo la vijana wengi si kufanya "mabadiliko au ujitolea kwa ajili ya mabadiliko hayo. Tatizo mabadiliko yakija kunatakiwa kuwe na watu watakaoaminiwa kutunga sheria zitakazoyatunza mabadiliko hayo. Ndivyo ilivyotokea Marekani, Ufaransa na hata Uingereza, wao baada ya "mabadiliko" walitunga sheria (Katiba) ambazo zimeweza kuyalinda mabadiliko hayo mpaka sasa!Vijana, sisi tunaondoka. Lakini natoa wito kwa vijana kama nyie mliokuwa na upeo kuliko wenzenu wa mitaani na vijijini, waongozeni wenzenu kupigania nchi yenu. Lakini hadi sasa, ni wao huko Mbeya, Arusha, ndio wanaowangoza nyie, na kuwapa fikra kwamba ‘kumbe inawezekana', wakati suala hili lilitakiwa liwe kinyume, kwa nyie kuwaongoza. Ebu jaribuni kuwaza – iwapo vijana hawa wa Mbeya, Arusha na kwingineko watapata mwongozo na ushirikiano kidogo tu kutoka miongoni mwenu, si tutakuwa tunaongea majina ya RA, EL , kama ni historia? Lakini mjiandae kupoteza maisha ya baadhi miongoni mwenu, lakini hilo lisiwe kikwazo na lisiwatie hofu, kwani hiyo nayo ni sehemu ya mapambano. Vinginevyo, pamoja na ukweli kwamba JF inatikisa mpaka chumbani ikulu, na ina watu waliopewa kazi maalum kuifuatilia kila siku, na wapo kwenye pay roll za Ikulu kwa Salva Rweyemamu, TISS, na Ofisi ndogo ya CCM Lumumba kwa kazi hiyo tu. Vinginevyo furaha kubwa ya watawala wetu ni pale JF na nguvu yake kubwa, itakapoendelea kubakia kuwa ni kijiwe cha Soga, na sio jukwaa la vitendo vyenye lengo la kuleta mabadiliko.
hasa vijana wenye uelewa mpana na weledi wa kutosha wanashabikia mambo ya ajabu kabisa....wanamsifu mwizi na kuona yeye ndo anafaa kuongoza taifa hili....kuna safari ndefu sana....Vijana, sisi tunaondoka. Lakini natoa wito kwa vijana kama nyie mliokuwa na upeo kuliko wenzenu wa mitaani na vijijini, waongozeni wenzenu kupigania nchi yenu. Lakini hadi sasa, ni wao huko Mbeya, Arusha, ndio wanaowangoza nyie, na kuwapa fikra kwamba ‘kumbe inawezekana', wakati suala hili lilitakiwa liwe kinyume, kwa nyie kuwaongoza. Ebu jaribuni kuwaza – iwapo vijana hawa wa Mbeya, Arusha na kwingineko watapata mwongozo na ushirikiano kidogo tu kutoka miongoni mwenu, si tutakuwa tunaongea majina ya RA, EL , kama ni historia? Lakini mjiandae kupoteza maisha ya baadhi miongoni mwenu, lakini hilo lisiwe kikwazo na lisiwatie hofu, kwani hiyo nayo ni sehemu ya mapambano. Vinginevyo, pamoja na ukweli kwamba JF inatikisa mpaka chumbani ikulu, na ina watu waliopewa kazi maalum kuifuatilia kila siku, na wapo kwenye pay roll za Ikulu kwa Salva Rweyemamu, TISS, na Ofisi ndogo ya CCM Lumumba kwa kazi hiyo tu. Vinginevyo furaha kubwa ya watawala wetu ni pale JF na nguvu yake kubwa, itakapoendelea kubakia kuwa ni kijiwe cha Soga, na sio jukwaa la vitendo vyenye lengo la kuleta mabadiliko.
Tatizo la vijana wengi si kufanya "mabadiliko au ujitolea kwa ajili ya mabadiliko hayo. Tatizo mabadiliko yakija kunatakiwa kuwe na watu watakaoaminiwa kutunga sheria zitakazoyatunza mabadiliko hayo. Ndivyo ilivyotokea Marekani, Ufaransa na hata Uingereza, wao baada ya "mabadiliko" walitunga sheria (Katiba) ambazo zimeweza kuyalinda mabadiliko hayo mpaka sasa!
Umenigusa mkuu!!Wana JF, hakuna haja ya kuwa na hofu yoyote juu ya CIA na RA, kwani hata wao CIA wana heshimu sana UMMA. CIA huwa wanakuwa na jeuri pale tu wanapopata vibaraka wa kuwapandikiza kwenye their strategic interest areas, haswa pale vibaraka hao wanapofanikiwa kuufanya UMMA ufyate kwa hofu. Vinginevyo, kwa miaka mingi sana, CIA walimlinda Mubarak pale Misri kwa sababu ya strategic interest ya Israel, lakini UMMA wa Misri ulipoamka, CIA ikamshauri Mubarak angatuke. Pia huko Afganistan, ni juzi tu CIA wamemshauri Kazai kumaliza tofauti zao na Taliban, huku Marekani ikisaidia kufanikisha hilo, baada ya CIA kugundua kwamba UMMA wa Taliban will only retreat, but will never surrender. MIfano ipo mingi sana.
Vijana, sisi tunaondoka. Lakini natoa wito kwa vijana kama nyie mliokuwa na upeo kuliko wenzenu wa mitaani na vijijini, waongozeni wenzenu kupigania nchi yenu. Lakini hadi sasa, ni wao huko Mbeya, Arusha, ndio wanaowangoza nyie, na kuwapa fikra kwamba kumbe inawezekana, wakati suala hili lilitakiwa liwe kinyume, kwa nyie kuwaongoza. Ebu jaribuni kuwaza iwapo vijana hawa wa Mbeya, Arusha na kwingineko watapata mwongozo na ushirikiano kidogo tu kutoka miongoni mwenu, si tutakuwa tunaongea majina ya RA, EL , kama ni historia? Lakini mjiandae kupoteza maisha ya baadhi miongoni mwenu, lakini hilo lisiwe kikwazo na lisiwatie hofu, kwani hiyo nayo ni sehemu ya mapambano. Vinginevyo, pamoja na ukweli kwamba JF inatikisa mpaka chumbani ikulu, na ina watu waliopewa kazi maalum kuifuatilia kila siku, na wapo kwenye pay roll za Ikulu kwa Salva Rweyemamu, TISS, na Ofisi ndogo ya CCM Lumumba kwa kazi hiyo tu. Vinginevyo furaha kubwa ya watawala wetu ni pale JF na nguvu yake kubwa, itakapoendelea kubakia kuwa ni kijiwe cha Soga, na sio jukwaa la vitendo vyenye lengo la kuleta mabadiliko.
Wana JF, hakuna haja ya kuwa na hofu yoyote juu ya CIA na RA, kwani hata wao CIA wana heshimu sana UMMA. CIA huwa wanakuwa na jeuri pale tu wanapopata vibaraka wa kuwapandikiza kwenye their strategic interest areas, haswa pale vibaraka hao wanapofanikiwa kuufanya UMMA ufyate kwa hofu. Vinginevyo, kwa miaka mingi sana, CIA walimlinda Mubarak pale Misri kwa sababu ya strategic interest ya Israel, lakini UMMA wa Misri ulipoamka, CIA ikamshauri Mubarak angatuke. Pia huko Afganistan, ni juzi tu CIA wamemshauri Kazai kumaliza tofauti zao na Taliban, huku Marekani ikisaidia kufanikisha hilo, baada ya CIA kugundua kwamba UMMA wa Taliban will only retreat, but will never surrender. MIfano ipo mingi sana.
Vijana, sisi tunaondoka. Lakini natoa wito kwa vijana kama nyie mliokuwa na upeo kuliko wenzenu wa mitaani na vijijini, waongozeni wenzenu kupigania nchi yenu. Lakini hadi sasa, ni wao huko Mbeya, Arusha, ndio wanaowangoza nyie, na kuwapa fikra kwamba kumbe inawezekana, wakati suala hili lilitakiwa liwe kinyume, kwa nyie kuwaongoza. Ebu jaribuni kuwaza iwapo vijana hawa wa Mbeya, Arusha na kwingineko watapata mwongozo na ushirikiano kidogo tu kutoka miongoni mwenu, si tutakuwa tunaongea majina ya RA, EL , kama ni historia? Lakini mjiandae kupoteza maisha ya baadhi miongoni mwenu, lakini hilo lisiwe kikwazo na lisiwatie hofu, kwani hiyo nayo ni sehemu ya mapambano. Vinginevyo, pamoja na ukweli kwamba JF inatikisa mpaka chumbani ikulu, na ina watu waliopewa kazi maalum kuifuatilia kila siku, na wapo kwenye pay roll za Ikulu kwa Salva Rweyemamu, TISS, na Ofisi ndogo ya CCM Lumumba kwa kazi hiyo tu. Vinginevyo furaha kubwa ya watawala wetu ni pale JF na nguvu yake kubwa, itakapoendelea kubakia kuwa ni kijiwe cha Soga, na sio jukwaa la vitendo vyenye lengo la kuleta mabadiliko.
Gen Davis Mwamunyange JKT ilikuwa kazi kama kazi zingine za kijeshi, yeye Davis ni wa JWTZ toka kitengo nyeti, na jeshini hakuna dharau kwa mkubwa mengine ni uzushi tuu!!!!!!!!!!
Kwa imani yako hiyo hakika yatatimia,ila nimepata shida unaposema wanatuongoza Mbeya na Arusha ni kweli au umetaja ikawa coincidence tu mikoa hiyo.ebu HU jaribu kufafanua pointi hiyo ulimaanisha nini kwenye hizo red?