I got my data from Visual Economics. An American organization unraveling complexities in financial data.
...."The top recipient of developmental aid is Iraq, with $9.115 billion in donations. Number two is Afghanistan, with $3.951 billion in donations received. Number three is Tanzania, with $2.811 billion received in donations"
The top DONOR of development AID to Tanzania according to this organization is the USA.
As for Tanzania being the 3rd leading gold producer in africa, true will correct that.
But wanted to mention Barrick gold as the TOP gold producer in the world.
I.Identity II.Supremacy III.UltimatumPart three mkuu!
kama umenifuatilia mimi nimekua nikimchallenge huyu jama yenu azitolee ufafanuzi contradictions zilizopo kwenye maandishi yake yeye mwenyewe kutokana na makala zake tatu alizozibandika hapa,lakini bahati mbaya sana yeye hasemi chochote mnamsemea nyie,there are so many unanswered questions kwenye haya machapisho yake,but tukijaribu kuuliza u guyz u alwayz try to shut down questioning kwa kisingizio chenu kile maarufu but very weak "ur not a great thinker/this is not ur forum etc.." jamaa anakua ni kama mwalimu wa chekechea,anafundisha bila kuulizwa maswali,na watu wanatakiwa ku copy notice zake tuuuu basi!bahati mbaya sana mimi sio mwanafunzi wa hivyo,lakini sikukatazi wewe kufanya kinyume changu,mi huwa sijali kama namfurahisha mtu ama la cuz i didn't come here to win applause...
Ogah, mwanzo nilipigania sana Lowassa awe mgombea wa CCM!. Baada ya kuisoma hii kitu na kujua where real powers lies!. Sasa nimeamua kujinyamazia kwanza and watch how this man, King Maker, plays our mind away!. Hivyo kama haya humu ni kweli!, then JK is nothing!, CCM is nothing!, na sisi Watanzania wote we are nothing!.
The only thing that is something, according to this, then its the "King Maker"!. Ndiye aliyemuweka JK na VP wake!, akamuweka Spika!, akamuweka CJ. Hii ndio mihimili yenyewe ya dola!. Akaja kumuweka CDF!, IGP! na Chief wa TISS!, where true powers lies, usikute hata Hosea na kina DPP wanawajibika kwake!. Sasa who are we kukataa chaguo lake?!.
Kama ni kweli chaguo lake ni Lowassa, sasa kazi nitakayoianza kipindi kifupi kijacho, ni kuwahamasisha wapinzani kama EL ndiye atasimamishwa kuwa mgombea wa CCM, wasithubutu kuchukua fomu za urais!, wamuache apite bila kupingwa ili Tanzania iwe ile nchi ya ahadi!. Nchi ya maziwa na asali!. Mabomba yatatoa maji, maziwa na asali nchi nzima!. Kumpinga ni wastage of time and money!.
Then Yes Indeed, for 2015, Lowassa is The One and Only!.
Mpenda Kwao, kiukweli simpiganii Lowassa kwa maslahi binafsi bali nimeweka mbele maslahi ya taifa!. Sijaahidiwa chochote na hata ikitokea ikawa kweli, mimi Pasco wa jf sipokea chochote!.Mkuu Pasco,
Umeahidiwa kupewa kazi ya Salva kama EL ataingia magogoni nini? Nguvu unayotumia ya ushawishi ni kubwa sana.
Both au we unao niaje?Huyu Hutaki Unaacha ni prophet au ni lunatic?
Pukudu, hata Galileo Galilei alipogundua dunia ni duara na kutangaza, aliuwawa kwa kumkashifu Mungu eti aliumba dunia bapa yenye pembe nne!.Both au we unao niaje?
Kigarama, watu hao ni madhalimu, wametuwekea serikali dhalimu yenye utawala dhalimu na 2015 wanatubadilishia tuu kutoka dhalimu mmoja kwenda dhalimu mwingine huku sisi Watanzanzia tuki mu watch him play our minds away like a congregation waiting for their priest longed to hear him pray!.Hawa watu wanaotajwa humu kwenye huu UZI hawatishi bali uovu wao ndiyo unatisha!!
Ndugu yangu Bilabaye umetoka bilabila?. HU amekuwekea dhana ujaze mwenyewe na jina lake ni caveat, hutaki si unaacha!.Nitajuaje kama unazungumza ukweli. Nadhani ungetoa vithibitisho ingekuwa vizuri zaidi...
Nitajuaje kama unazungumza ukweli. Nadhani ungetoa vithibitisho ingekuwa vizuri zaidi...
Ogah, mwanzo nilipigania sana Lowassa awe mgombea wa CCM!. Baada ya kuisoma hii kitu na kujua where real powers lies!. Sasa nimeamua kujinyamazia kwanza and watch how this man, King Maker, plays our mind away!. Hivyo kama haya humu ni kweli!, then JK is nothing!, CCM is nothing!, na sisi Watanzania wote we are nothing!.
The only thing that is something, according to this, then its the "King Maker"!. Ndiye aliyemuweka JK na VP wake!, akamuweka Spika!, akamuweka CJ. Hii ndio mihimili yenyewe ya dola!. Akaja kumuweka CDF!, IGP! na Chief wa TISS!, where true powers lies, usikute hata Hosea na kina DPP wanawajibika kwake!. Sasa who are we kukataa chaguo lake?!.
Kama ni kweli chaguo lake ni Lowassa, sasa kazi nitakayoianza kipindi kifupi kijacho, ni kuwahamasisha wapinzani kama EL ndiye atasimamishwa kuwa mgombea wa CCM, wasithubutu kuchukua fomu za urais!, wamuache apite bila kupingwa ili Tanzania iwe ile nchi ya ahadi!. Nchi ya maziwa na asali!. Mabomba yatatoa maji, maziwa na asali nchi nzima!. Kumpinga ni wastage of time and money!.
Then Yes Indeed, for 2015, Lowassa is The One and Only!.
Mkuu Mkandara, its very unfortunately beggars cannot be choosers!. He who pays the piper may call the tune!. Do we have choice?. No!. Lets just dance to the tune, EL is the Piper!. Oh poor Tanzania!.Pasco,
Kifupi kama utaisoma Historia ya nchi za East Africa utajua vizuri nguvu ya CIA ktk mataifa. Tunajidanganya sana kufikiria kwamba demokrasia ni sisi watu huchagua chama au viongozi tunaowataka lakini ukweli ni kwamba vitu vingi vinapangwa na kama ukikataa wanakuwekea vikwazo ambavyo unabidi uvikubali.. Nadhani unakumbuka Nyerere na maswala ya Zanzibar walimshtua kidogo tu na kuasi kwa Jeshi mwenyewe alirudi na kuwageuka kila Abraham Babu..
Tazama Zaire. Liberia, Kenya, Zambia, Libya, Iraq, Syria kote wanacheza na tawala kuhakikishia wanamweka mtu wao na lengo ni nini KULINDA MASLAHI ya AMERIKA... just imagine hawa watu wanalinda maslahi yao nje ya mipaka yao lakini sisi hatuwezi linda maslahi yetu hata ndani ya mipaka yetu!...Kabila leo katangazwa rais japokuwa ameshindwa uchaguzi, kila Mkongo analijua hili lakini hawana uwezo..Yule Kagame ana bahati ya kutetewa na Ufaransa japokuwa Waamerika waliitaka sana nchi yake hivyo wamewaachia Wafaransa na jana tu kasafishwa ati Wahutu extremist ndio waliomuua Habyalimana sio Kagame na Watutsi..
Isipokuwa kwetu sisi sasa ni kutazama what in real term uwekezaji wa hawa watu katika nchi hizo unavyoharibu amani ndani. They don't care as long as wanachukua utajiri wenu haraka na kwa nguvu zote huku wakisimika nguvu za tawala hawajali mtakufa wangapi au watapoteza maisha wangapi - Capitalism Principal - utapanda kwenda juu kwa kukanyaga wengine chini ukiwafanya ngazi!
Hivyo kama Lowassa ndiye teule la CIA kupitia Kingmaker itakuwa hivyo na pengine ni wakati muafaka wa kumpata CHE na mapambano yaanze mapema sio fikra za kupitia ballotbox...maana tunajidanganya sana kufikiria kama tunaweza kumshinda CCM kupitia sanduku la kura wakati mifano yote tumeisha iona na wazi kabisa..Au tuombe Mungu tumpate Kagame, Saadam au Nyerere anayekubali kuwekwa kisha anawageuka mbele ya safari..
Wenzako wanaamini nalipwa au naumendea uSalva!.am deeply in love with your sense of humour, pasco!
Hilo halina ubishi lakini naamini kabisa soon atatokea - CHE na atawatingisha sana CIA kama Abrahman Babu!...Mkuu Mkandara, its very unfortunately beggars cannot be choosers!. He who pays the piper may call the tune!. Do we have choice?. No!. Lets just dance to the tune, EL is the Piper!. Oh poor Tanzania!.