Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

"Faint hearts never win decisive Battles", so said Malcom X.

Sisi Watanzania tunatakiwa kuchukua hatua za kuinusuru nchi yetu kwa kadri tunavyoweza. Nakubali kuwa hawa watu ni very powerful. The struggle will be long, hard and many will fall on the way. Lakini nani atutuondolewa watu hawa kama sio sisi wenyewe?

Historia ina mifano mingi sana ya hali kama ya kwetu. Cuba, Vietnam, South Africa, etc. Lakini walishindwa vibaya huko. Ili kutatua tatizo ni lazima kwanza ujue kiini chake. Once you have a correct statement of a problem, that problem is 50% solved.

Inshallah, Mungu yuko na waja wake. This country will one day belong to its people. It can be 5 years , 50 years, 100 yrs. At the end the people will emerge victorious. The struggle will continue. That is the way life is. That is the way societies evolve. Look at Europe in the 18th and 19th Century.

GOOD LUCK TANZANIANS. Kazi kweli kweli.
 

wewe unachanganya mambo na wewe...mimi sipo responsible kwako au kwa "kaka mkuu" yeyote yule wa hapa! ninachofanya ni kujaribu kuhoji hili na lile kutokana na contradictions zilizopo kwenye machapisho yake kwa mimi nilivyoziona,wewe kama hujaziona hizo contradictions muamini jamaa wala sikakukatazi nongwa inatoka wapi?but don't try to shut down questioning!unaweza kwenda angle nyingine si lazima unifuate mimi unless kama labda wewe ndio mleta thread mwenyewe,una haki ya kujibishana na mimi kwa style hiyo,otherwise usinizuie kuhoji hili na lile kwa kuwa tu wewe umechagua kuamini na yeyote anayehoji wewe una mtaka na yeye aje na hadithi ya kutaja majina na tarehe,na kuhusu kukubaliana na mimi au kutokubaliana i'm no looking for that here,mi siko hapa kumridhisha ama kumfurahisha mtu na ninajua sivunji sheria za jf ndio mana sipigwi ban na mamlaka husika.
 

benefit of doubt!
 
Nilikwisha sema Mungu atusamehe kwa vile hatujui tuendako,Kumbe sasa napata picha halisi kuwa hata Daudi Balali yu hai huko ughibuni kwenye visiwa vya Malta.

Ndo maana Bush anakuja ni project nyingine kumbe lengo ni kusimamia mikakati na malengo yao wanayoyaita millenium challenge.

Watanzania tunaelekea wapi? Tukianza na Mkapa yeye ni mmakuwa toka Msumbiji,Karume Mnyasa toka Malawi,Rostam Burushi toka Irak bado tuna waita wazalendo wa nchi hii? Lowasa Mmasai toka kenya,tena inasemekana na estate kubwa sana sehemu za Thika Company yake inaitwa Monoban Farming Estate inayosimamiwa na Mollel.

Kwanini hatustuki,mwishowe mapera yataisha kwenye shamba la bibi matokeo yake tupate laaana tukiwa kwenye makaburi toka kwa new generation.

Saa ya ukombozi ni sasa
 
Ndugu si unajua lakini kuwa Davis alikuwa JWTZ kabla ya kwenda JKT,kwa hiyo sio kuwa ni mtu wa JKT moja kwa moja,wanadamu hugeuka ndugu
 

Lowassa ni Mmeru, hana chembe ya umasai ndani yake. hata hiyo lugha haijui
 
Wala sio Junior kihivyo.....ni mtu mkubwa huyu......and if you read between the lines you can precisely reveal who he is!
Inkoskaz, hata mimi niliwahi kudhania kama unavyodhania wewe, haswa kwa kuwategea members fulani fulani wangekula nae sambamba!. Ule ukimya wao ukapelekea mimi kudhania labda ndio hao wamekuja na ID mpya, nikakuta sio!. HU na MH wote ni wapya kuikweli. HU ni mtu wa TISS anatupatia zile kali kabisa za jikoni kule kunako!.
 
Mkuu Mkandara, its very unfortunately beggars cannot be choosers!. He who pays the piper may call the tune!. Do we have choice?. No!. Lets just dance to the tune, EL is the Piper!. Oh poor Tanzania!.
Plays the pipe..kanjanja ww!!
 
Mkuu Mkandara, its very unfortunately beggars cannot be choosers!. He who pays the piper may call the tune!. Do we have choice?. No!. Lets just dance to the tune, EL is the Piper!. Oh poor Tanzania!.
Samahani kanjanja njaa..nilisahau hii.
 
Pasco na wewe unakuwa mbishi sana, utafikiri ni bonge la Mwana Sayansi hapa Tanzania....... Unajuwa wewe ni nani?

Einstein, Newton and Pascal decide to play hide and seek. Einstein is it, closes his eyes, counts to 10 then opens them.

Pascal is no where to be seen.

Newton is sitting right in front of Einstein, with a piece of chalk in his hand. He's sitting in a box drawn on the ground, a meter to a side.

Einstein says "Newton, you're terrible, I've found you!"

Newton says "No no, Einy. You've found one Newton per square meter. You've found Pascal!"




TUENDELEE NA MJADALA JAMANI. ILIKUWA NI KUPUNGUZA TU PRESSURE BAADA YA KUSOMA PAGE KIBAO....
 

..acheni ukora kuwatisha watz! hakuna ukweli kwny habari hiyo, tatizo members wengi wa jf na watz wengi ni wavivu wa kufikiri ie kufanya critical thinking..wanapenda vitu vya kuletewa km hivi! la wangejua CIA inavyooperate wangejua haiwezi kupoteza muda na issue za Tz!
rostam is no body!!!!!!!!!!!!!!!!!! bahati mbaya sana uwt umekuwa genge la kufanikisha uporaji wa rasilimali zetu, then wanakuja na staili ya maelezo km haya..cjui rostam ni cia, mara ooh wana njama fulani.. habari ndeeeefu lengo kuwajengea watz taswira ya woga ili wasiwe hata na ujasiri wa kukabiliana na uhalifu unaoratibiwa na uwt!! au hata kufikiria kufanya mabadiliko ya uongozi kwa njia ya KURA vile tu wametajwa kina bush, cia cjui nani...! basi ili mradi waone kwamba si rahisi kufanya mabadiliko! this is a RAT TRAPE!!!!! uwt wameishiwa!! but one thing will stand...ipo siku nayo yaja muda si mrefu wote hawa wanaotunga habari za uongo THEY WILL END THEIR LIFE BEEHIND THE BARS!!!!remember this words, if you heard what happened to gadafi..
 

...with these comments! pasco you r SO FOOLISH!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…