Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,100
- 1,955
Jamani hii nchi bora nipewe mimi
Kuna tofauti kati ya kutii amri na heshima. Unaweza kutii amri ya mtu hata kama humheshimu!
Nchi ipewe mapaja!
Sasa kama chadema watachukua nchi 2015 hali itakuwaje? Hawa jamaa wataenda wapi?
ukija kupitia huu uzi naomba ufafanue hapo juu