Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)


Nimekusoma sana MTAZAMO...!
 
Duh! thread hii ni kweli kabisa,na inasisimua sana,fanya haraka part 3.
 
Hamna kitu humu,hoja Ipi hasa,hizo he said she said inaita hoja! Ni stori tu za vijiweni zilizopangiliwa vizuri
 
Hutaki unaacha ni tapeli tu kama matapeli wengine,kuna mtu alimlipa kwa kazi hii,huyo bwana wake alipohisi kupata alichotaka akasitisha malipo,hutaki unaacha akafa kifo cha kawaida tu,ndio maana mnalilia porojo zake for years now bila mafanikio,hamtamuona tena nawahakikishia
 

Mkuu samahani.

Hapo ina maana kila kitu ni porojo? Hamna ukwelihata kidogo?
 
Kwaiyo uyu jamaa kafa au? Kama c kweli ajitokeze na kujibu tuuma hizi
 
Duh! thread hii ni kweli kabisa,na inasisimua sana,fanya haraka part 3.


Mkuu samahani.

Hapo ina maana kila kitu ni porojo? Hamna ukwelihata kidogo?

Kwaiyo uyu jamaa kafa au? Kama c kweli ajitokeze na kujibu tuuma hizi

Hutaki Unaacha, jamaa kashaumbuliwa na ID zake zote ziko nje nje kwa kuandika vitu asivyokuwa na uthibitisho wake!

aka Star wa Bourne Trilogy.
 
Sumba-Wanga akili ya kuambiwa changanya na yako,hutaki unaacha alifanya kazi aliyopewa akalipwa chake na aliemtuma na kusepa,kumbuka bandiko hili lilikuja wakati ccm ikiwa ktk harakati za kujivua magamba na kuelekea uchaguzi wa ndani wa ccm,so lilibandikwa hapa purposely,now hata mlie na kusaga meno hutaki unaacha harudi ng'o,kiufupi he is not exist at all
 
Last edited by a moderator:
Ushauri na ufafanuzi mzito(kama yana ukweli)nchi imeuzwa jamani tujiandae
 

atumie third eye??? cjui kama atakua ameelewa!!!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…