Kikwete: Kwanza wachawi walishakufa

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2023
Posts
707
Reaction score
2,572
Je, Kikwete ametupa dongo kwenye familia ya Magufuli na Mkapa?

Akitetea hoja ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM kuhusu kumpitisha Rais Samia awe Mgombea 2025, Rais mustaafu Kikwete amenukuliwa pamoja na mambo mengine akitamka;

"...kwanza wachawi walishakufa." Mwisho wa kunukuu.

Je, ni nani hao wachawi wafu aliomaanisha Kikwete?

Mama JANETH MAGUFULI ENDELEA KUWA NA MOYO MAMA.

Your browser is not able to display this video.
 
VIswahili vya pwani usivipe umuhimu sana.
 
Huyu alikosa kabisa hekima na akili. Huwa hajui hata kuongea. Hana akili. Amwache Samia aongoze nchi
 



Yeye Mwenyewe ndiye Mchawi. Kitendo cha yeye kubebeshwa zigo la kumfagilia Maza apitishwe bila kufuata katiba kwa kudai kuwa Mkutano Mkuu wana huo uwezo unamfanya awe ni Mchawi.
 
Alivyo itamka tu hii kauli hata Mimi mzuka wa kumsikiliza ulikata kimtindo ni kama alijishtukia kurekebisha akabezi kwenye mada ya kumtangaza mgombea ajae wa chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…