ukiona hivyo ujue ananufaika nae kwa kumnyooshea madili yake au makamu mteuliwa ni mtu wake na hajateuliwa hapo bahati mbaya huwezi jua labda kuna plan ya kuja kufanya reverse huko mbele ya safari kuna hesabu zishapigwa hapo.!Yeye Mwenyewe ndiye Mchawi. Kitendo cha yeye kubebeshwa zigo la kumfagilia Maza apitishwe bila kufuata katiba kwa kudai kuwa Mkutano Mkuu wana huo uwezo unamfanya awe ni Mchawi.