Kikwete: Kwanza wachawi walishakufa

Kikwete: Kwanza wachawi walishakufa

Mbona uliomtaja hakuwa active siasani muda mrefu sana na isitoshe yeye ndiye alietendwa 'ubaya' 2015?
Yn kunyimwa kugombea ndio unasema kufanyiwa ubaya? Kwahy ww unaona kusaidiwa ni haki yako?
 
Akitetea hoja ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM kuhusu kumpitisha Rais Samia awe Mgombea 2025, Rais mustaafu Kikwete amenukuliwa pamoja na mambo mengine akitamka;

"...kwanza wachawi walishakufa." Mwisho wa kunukuu.

Je, ni nani hao wachawi wafu aliomaanisha Kikwete?

Mama JANETH MAGUFULI ENDELEA KUWA NA MOYO MAMA.

Hatujawahi kuwa na kiongozi hooovyo kama huuuyu
 
Akitetea hoja ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM kuhusu kumpitisha Rais Samia awe Mgombea 2025, Rais mustaafu Kikwete amenukuliwa pamoja na mambo mengine akitamka;

"...kwanza wachawi walishakufa." Mwisho wa kunukuu.

Je, ni nani hao wachawi wafu aliomaanisha Kikwete?

Mama JANETH MAGUFULI ENDELEA KUWA NA MOYO MAMA.

Mzee tunajua umemweka Ima pale kulinda mali zako ulizochuma kwa njia zisizofaa. Na ndio sababu ya unaowaita wachawi kutokuwepo duniani.
 
Akitetea hoja ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM kuhusu kumpitisha Rais Samia awe Mgombea 2025, Rais mustaafu Kikwete amenukuliwa pamoja na mambo mengine akitamka;

"...kwanza wachawi walishakufa." Mwisho wa kunukuu.

Je, ni nani hao wachawi wafu aliomaanisha Kikwete?

Mama JANETH MAGUFULI ENDELEA KUWA NA MOYO MAMA.

Njia inayokwenda Bumbuli inapita Msoga.
Ipo siku yatajianika
 
Hapo ajenda ni kubwa sana ila sijajua nini kinaendelea ila watu wamekwazika sana na kauli kama hizi hasa watu wa Magufuli.
Ni kama ile ya Yusuf Makamba kuwa watu wazuri hawafi. Wanawadharau sana watu wa kanda ya ziwa. Na dharau hizi ni kwa vile hawategemei ushindi kutokana na kura vinginevyo tungeheshimiana tu.
 
Huyu alikosa kabisa hekima na akili. Huwa hajui hata kuongea. Hana akili. Amwache Samia aongoze nchi
Ama kweli JF kuna kila aina ya takataka ww unaweza kumzidi Hekima na akili mzee wa Msoga kweli.
UNayeshinda kwenye Masofa ya Baba apo kwenu.
 
huyu mwamba kuna roho inamwita hata membe aliropoka hakuchukua round.
 
CCM Na Kauli Zao Kama Hii. Watu Wema Hawafii
By Senior Makamba
Watu wema hawafi ndio, wema wao unaishi milele. Mara nyingi tu wafuasi wa JPM wanasema aliyoyafanya yataishi vizazi na vizazi, hapa wanakubaliana na Makamba.
 
Ama kweli JF kuna kila aina ya takataka ww unaweza kumzidi Hekima na akili mzee wa Msoga kweli.
UNayeshinda kwenye Masofa ya Baba apo kwenu.
Ila JF kweli ina beba hadi makapi ya chakula baada ya kuwa processed tumboni. Yaani huyo unaweza sema ana hekima? Inawezekana kwenu nyie ni watu wa hovyo na maskini sana. Wewe unayeshinda kufanya usafi chumbani kwa dada yako na shemeji yako unamwona hivyo?🤣
 
Back
Top Bottom