Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Hata yeye atakufa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu hamfichi mnafiki. Inaonekana walifurahia sana Kifo cha JPMDuuh, Sijaamini kama ni JK amesema hivyo, kwa jinsi ambavyo huwa namkubali kwa Hekima na Busara
Mungu kaamua kumuumbuaJk huwa ni smart sana kuongea, sijui leo amekutwa na nini aiseee
kwani hao wastaafu walikuwa wachawi? sasa tatizo lako niniJana wakati anatetea suala la kupitisha jina la mgombea urahis kabla ya wakati wake, alisema, nanukuu "wachawi wote wameishakufa"
Hao anaowaita wachawi ni akina nani? Marais wote wastaafu wameishakufa kwahiyo ndo walikuwa wachawi? Mchakato wa urahis 2015 ulikuwa na changamoto ya team Lowassa na Team Bernard Membe na wote pia wameishakufa! Huyu mzee kama hana hoja ya kuongea si bora anyamaze?
Tatizo ni mtu mkubwa kama Kikwete kupata fursa ya kuongea katika hadhara adhimu akakosa cha kuongea na kuokoteza maneno?kwani hao wastaafu walikuwa wachawi? sasa tatizo lako nini
Kweli hata ndani ya vibonde kuna kibonde mwerevu!Huyu Mzee ana akili kubwa kwa vipimo vya Pwani!
ngemuuliza mwenyewe sasa sisi humu unauliza kuna wake zake humu?Jana wakati anatetea suala la kupitisha jina la mgombea urahis kabla ya wakati wake, alisema, nanukuu "wachawi wote wameishakufa"
Hao anaowaita wachawi ni akina nani? Marais wote wastaafu wameishakufa kwahiyo ndo walikuwa wachawi? Mchakato wa urahis 2015 ulikuwa na changamoto ya team Lowassa na Team Bernard Membe na wote pia wameishakufa! Huyu mzee kama hana hoja ya kuongea si bora anyamaze?
kuokoteza? maneno yake yamekuumiza sababu ya mtazamo wako na jinsi ulivyoyapokeaTatizo ni mtu mkubwa kama Kikwete kupata fursa ya kuongea katika hadhara adhimu akakosa cha kuongea na kuokoteza maneno?
Kipindi cha jiwe utakuwa ulikuwa bado hujazaliwaHatujawahi kuwa na kiongozi hooovyo kama huuuyu
Sasa mbona Dr Nchimbi na Kimbisa na yule kaka yao Aziz ndio wako matawi ya Juu kabisa 😂Nadhani alimaanisha kifo cha Ngosha na Mmasai, hao ndio walikuwa nuksi kwa king wa msoga
Wanaishi kimazoea hawa. Siku zao zinahesabika. Amani inafanya watu wanabweteka sana..Yeye Mwenyewe ndiye Mchawi. Kitendo cha yeye kubebeshwa zigo la kumfagilia Maza apitishwe bila kufuata katiba kwa kudai kuwa Mkutano Mkuu wana huo uwezo unamfanya awe ni Mchawi.