Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Yn kunyimwa kugombea ndio unasema kufanyiwa ubaya? Kwahy ww unaona kusaidiwa ni haki yako?Mbona uliomtaja hakuwa active siasani muda mrefu sana na isitoshe yeye ndiye alietendwa 'ubaya' 2015?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yn kunyimwa kugombea ndio unasema kufanyiwa ubaya? Kwahy ww unaona kusaidiwa ni haki yako?Mbona uliomtaja hakuwa active siasani muda mrefu sana na isitoshe yeye ndiye alietendwa 'ubaya' 2015?
Hatujawahi kuwa na kiongozi hooovyo kama huuuyuAkitetea hoja ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM kuhusu kumpitisha Rais Samia awe Mgombea 2025, Rais mustaafu Kikwete amenukuliwa pamoja na mambo mengine akitamka;
"...kwanza wachawi walishakufa." Mwisho wa kunukuu.
Je, ni nani hao wachawi wafu aliomaanisha Kikwete?
Mama JANETH MAGUFULI ENDELEA KUWA NA MOYO MAMA.
CCM Na Kauli Zao Kama Hii. Watu Wema HawafiiBado Yeye!!
Hapo ajenda ni kubwa sana ila sijajua nini kinaendelea ila watu wamekwazika sana na kauli kama hizi hasa watu wa Magufuli.Sukuma Gang wananyanyapaliwa sana huko CCM.
Aione. lucas mwashambwaYeye Mwenyewe ndiye Mchawi. Kitendo cha yeye kubebeshwa zigo la kumfagilia Maza apitishwe bila kufuata katiba kwa kudai kuwa Mkutano Mkuu wana huo uwezo unamfanya awe ni Mchawi.
CCM haitegemei kura kushinda chaguzi wewe sema Kanda ziwa mwishoe mtajiita Kanda za matakoYote maisha Kanda ya Ziwa twende na Chadema
Mzee tunajua umemweka Ima pale kulinda mali zako ulizochuma kwa njia zisizofaa. Na ndio sababu ya unaowaita wachawi kutokuwepo duniani.Akitetea hoja ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM kuhusu kumpitisha Rais Samia awe Mgombea 2025, Rais mustaafu Kikwete amenukuliwa pamoja na mambo mengine akitamka;
"...kwanza wachawi walishakufa." Mwisho wa kunukuu.
Je, ni nani hao wachawi wafu aliomaanisha Kikwete?
Mama JANETH MAGUFULI ENDELEA KUWA NA MOYO MAMA.
Njia inayokwenda Bumbuli inapita Msoga.Akitetea hoja ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM kuhusu kumpitisha Rais Samia awe Mgombea 2025, Rais mustaafu Kikwete amenukuliwa pamoja na mambo mengine akitamka;
"...kwanza wachawi walishakufa." Mwisho wa kunukuu.
Je, ni nani hao wachawi wafu aliomaanisha Kikwete?
Mama JANETH MAGUFULI ENDELEA KUWA NA MOYO MAMA.
Na nkapa Mkuu.Nadhani alimaanisha kifo cha Ngosha na Mmasai, hao ndio walikuwa nuksi kwa king wa msoga
Ni kama ile ya Yusuf Makamba kuwa watu wazuri hawafi. Wanawadharau sana watu wa kanda ya ziwa. Na dharau hizi ni kwa vile hawategemei ushindi kutokana na kura vinginevyo tungeheshimiana tu.Hapo ajenda ni kubwa sana ila sijajua nini kinaendelea ila watu wamekwazika sana na kauli kama hizi hasa watu wa Magufuli.
Ama kweli JF kuna kila aina ya takataka ww unaweza kumzidi Hekima na akili mzee wa Msoga kweli.Huyu alikosa kabisa hekima na akili. Huwa hajui hata kuongea. Hana akili. Amwache Samia aongoze nchi
Watu wema hawafi ndio, wema wao unaishi milele. Mara nyingi tu wafuasi wa JPM wanasema aliyoyafanya yataishi vizazi na vizazi, hapa wanakubaliana na Makamba.CCM Na Kauli Zao Kama Hii. Watu Wema Hawafii
By Senior Makamba
Ila JF kweli ina beba hadi makapi ya chakula baada ya kuwa processed tumboni. Yaani huyo unaweza sema ana hekima? Inawezekana kwenu nyie ni watu wa hovyo na maskini sana. Wewe unayeshinda kufanya usafi chumbani kwa dada yako na shemeji yako unamwona hivyo?🤣Ama kweli JF kuna kila aina ya takataka ww unaweza kumzidi Hekima na akili mzee wa Msoga kweli.
UNayeshinda kwenye Masofa ya Baba apo kwenu.