Kikwete: Kwanza wachawi walishakufa

Kikwete: Kwanza wachawi walishakufa

Yeye Mwenyewe ndiye Mchawi. Kitendo cha yeye kubebeshwa zigo la kumfagilia Maza apitishwe bila kufuata katiba kwa kudai kuwa Mkutano Mkuu wana huo uwezo unamfanya awe ni Mchawi.
ukiona hivyo ujue ananufaika nae kwa kumnyooshea madili yake au makamu mteuliwa ni mtu wake na hajateuliwa hapo bahati mbaya huwezi jua labda kuna plan ya kuja kufanya reverse huko mbele ya safari kuna hesabu zishapigwa hapo.!
 
Nimemiss kuzisikia msemo za nape, huyu bwana anakua na msemo fulani ya kichokozi yeye na mwenzake january😅
 
Back
Top Bottom