Elections 2010 Kikwete Live on Power Breakfast (Clouds FM)

CLOUDS FM POLENI KWA KULAZIMIKA KUZOA MATAPISHI YA KIKWETE HAPO STUDIO MAANA AMETAPIKA MNO....HARUFU MBAYA IMESIKIKA MPAKA KWENYE RADIO ZETU.

Loh! mi naona kama wakati mwingine napoteza muda kumjadili huyu chizi..namwona kama punguani wa akili huyu, ok nichambue kidogo matapishi yake katika Clouds FM....ati Foleni kuongezeka Dar ndio maendeleo..kwamba wananchi sasa wanamudu magari, kwamba nyumba zimeongezeka Dar... Loh! haya maendeleo ya kikwete na CCM kweli matapishi.

Hizo nyumba zilizoongezeka ndio hizo za bonde la msasani na jangwani? ambazo hazina vyoo bali matundu wanayochimba kwa shs.2,000/= unawalipa mateja wanakuchimbia japo bagamoyo kwa JK halmashauri ingeyachimba kwa shs. milioni 700?

Nani asiyejua kuwa magari yaliyojaa Dar es Salaam ni ya serikali, hesabu magari yanayopita barabarani sasa hivi, mangapi STK, STJ, SU, DFP, SM na mangapi japo yako kwenye T000ZZZ lakini bado ni ya serikali kwa sababu Magufuli na sera zake wamepumzishwa kwenye mtungi..tuliiii. Uwiano ukoje??? Sasa kwa mtindo huu aliyeendelea nani? au Ofisi ya Katibu mkuu wa wizara imekuwa baba wa watanzania wote??? Au wanaokaa kwenye nyumba za tembe ndio wanaoyamiliki.

Hivi hata wapiganaji wenzangu mlioko Clouds FM, ni wote mna magari yenu binafsi na angalieni wangapi mpaka leo mnakatwa mishahara na kubaki na 'salary slip' tupu kwa kulipia magari ambayo hata hivyo yameshachakaa na hamyaendeshi tena isipokuwa kwenye 'party' na mitoko ili kuinua hadhi maana 'maintenance' yake ni balaa. Je na nyinyi mlindwe na PPRA kutonunua mitumba? Kwa mishahara hiyo ambayo michango miwili tu ya msiba( maana CCM inatuua njaa na sumu za mafuta ya transformer kwenye chipsi) kwishaaa!!!!????? Bado ada Mafuta je ya kuweka kwenye hayo magari..mishahara yenu inawapa ruhusa na fursa hiyo?????

Haya magari ya 'wabongo' ya mikopo tunajua yalivyo na uadui mkubwa na 'ozone layer' ?? yaani kujaza mitumba yenye kuharibu mazingira duniani ndio tuite maendeleo....mtanzania gani au ni wangapi wasio mafisadi wanaonunua gari mpya??????

Maendeleo kwa mujibu wa Dr. Slaa na Prof Lipumba ni Elimu bora kwa kila mtanzania, Afya bora kwa kila mtanzania, Makazi bora, Fursa sawa, Haki kwa jamii, Ongezeko la pato la taifa likiambatana na uwekezaji bora na matumizi bora ya rasilimali za Taifa, Amani na utulivu wa kweli na siyo wa maneno matupu na kadhalika wa kadha.

Maendeleo kwa mujibu wa Jakaya Kikwete ni ongezeko la foleni Dar es Salaam, Ongezeko la nyumba mbovu na zilizo nje ya mpangilio wa mipango miji ambazo siku za usoni zitakuja kubomolewa tu na wananchi watakosa maali pa kuishi kama ilivyotokea kurasini, tabata dampo na kwingineko.

Maendeleo kwa mujibu wa Kikwete ni kurudia ahadi zile zile alizotoa mwalimu nyerere miaka 50 iliyopita za kuiunganisha nchi kwa barabara...ahadi ambazo zitaendelea kutolewa miaka 50 ijayo kama CCM itapewa ridhaa kwa sababu barabara ni zilezile sikuzote, zinatengenezwa kwa viwango duni kwa sababu ya ufisadi mpaka zinaharibika na kurudi katika hali ya vumbi, ikipita miaka 20 ahadi zinatolewa kisha zinajengwa tena kwa kiwango cha lami na unaambiwa ni barabara mpya. 'CCM virtuos Circle of undeveloping Tanzania'.

Naomba nisipoteze muda wenu na wangu wakuu wana JF maana upuuzi wa Jakaya Kikwete na Serikali yake ya chama cha makafiri CCM unajulikana.

USICHAGUE CHAMA CHA MASHETANI CCM. CHAGUA CHADEMA(Muungano) NA CUF(Zanzibar-Seif) ULIKOMBOE TAIFA LAKO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Yaani waandishi wetu wanashindwa kuuliza maswali ya msingi,rushwa,ufisadi,wanauliza mambo ya barabara za dar,mambo ya kumuliza diwani,nimeuzunika sana.
Hao unaowaita waandishi ni akina nani?
 
Ama kweli simba akizidiwa hula majani....! Mdahalo huu kwa CCM na JK sio kama majani kwa simba? Kwani mmeshasahau kauli na msimamo wa CCM kuhusu mdahalo? Kuwa lazima makubaliano juu ya maswali ya kuuliza na watu wa kuuliza yawekwe mapema....! Mmesahau hata tabia yao ya uchakachuaji? Mimi naamini lazima mdahalo huo uchakachuliwe kwa kuwaandaa watu na maswali ya kuulizwa...! Bado pia nashangaa kuwa iweje leo wanataka kuwasikiliza wananchi wakati walisema wao wanajua wananchi wanahitaji nini? Vinginevyo, mimi nawashauri wana CCM wasidhubutu hata kuingia kwenye mdahalo huo maana watazidi kujimaliza...! Wasijilinganishe na Dr. Slaa na CHADEMA au Prof. Lipumba na CUF....!
 

Eboo--ukishagawa nchi kwenye majimbo, that means they are divided kikabila (geographically). Swali ni kwamba, how can you maintain uTanzania katika mazingira haya? Ukiangalia sana katika resources allocation kutoka central government, and distribution of resources from the haves to the have nots.

Mpiganaji wenu hakufikiria suala la umoja na mshikamano katika majimbo. If you can figure that one out without having disgruntled majimbo--then go ahead.
 
Mhhh sijaambulia chochote zaidi ya yeye kuzungumzia vitu amabvyo kwangu mimi havina tija na wala havinisaidii na kwa ujumla havimsaidii mtanzania yoyote yule
 

Kwa kweli sijui kama analitambua hilo kuna vitu vya msingi amabvyo alikuwa anapaswa atueleze kama mambo amabayo ameongea hapo ndio leo ataenda kuongea na waandishi wa habari basi nadiriki kusema he's not convincing at all
 
Naona kama JK alipiga glasi kadha za piwa kabla ya kuingia kwenye mahojiano, maana anababaika sana katika kuongea, sijui ana matatizo huyu?
 
Duuuuuh huyu jamaa ataenda mpaka kwenye Leo Tena na Part ile ya HEKAHEKA.:rip: CCM
 
Mmemsahau na mwingine Maggid mpaka kichefuchefu, kinana analijua hilo ndo mana wamemkubalia kama wana gut wangeenda Nkrumah hall wakakutane na wanazuoni waliobobea!
 
Inawezekana kabisa wamepangiwa,
Kwani wakati wa dr Slaa, Babra alitoa email,no za simu za mezani na kiganjani,twiter nk mbona leo katoa only line moja na ina maana ni swali lile moja tu lilitumwa.shem on them na sisitu lao@@@@@@@@@@@@@@@@@@@
 
Hivi kweli clouds,ujanja wote, leo mmenywea? mnauliza maswali ambayo alipaswa kuuliza marehem bibi yangu ambaye hakubahatika hata ile elimu ya mkoloni!!!.Tuwatofautisheje sasa na illiterates?
 
:bowl: Kikwete kahojiwa na watangazaji sio waandish
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…