Jamani hii radio ctamani hata kuickia tena haina usawa hta kdg but km wao wanaukumbatia mbuyu cc 2nauzunguka ngoja waone trh31
IQ zao zimepeleaSubiri jioni uone fungakazi ya majuha wawili ktk kipindi chao cha pwagu na pwaguzi ......Jahazi, mmoja anatwanga mwingine anapepeta...LOL
Wanahabari wetu: G. Hando, Babra Hassan, Gea Habib, Dina Marios, Gadna Habash, Punga Kibonde, Diva,Yvone Kamuntu, Violeth Mzindakaya, Marine Hassan, na wengineo. Ni msiba mkubwa kwenye tasnia ya Habari.Clouds haina waandishi ina maMC njaa(Kibonde) na maDJ wa kipaimara,kitchen parties(Hando)
Mkuu punguza hasira, rais wetu anaumwa either stress au mojo sijui??Hez a joker!! hizi Machinga complex ahh ahh eh teh teh teh ni Karumehii teh teh teh!! tutajenga nyingi tuu na kila wilaya tutajenga mbili mbili! kule......, kule......, etc!! Damn!! this guy is NOT gettin it! huh!?? Let me ask him Mr President how much and how long you spent to build and handing over the so called 1 Machinga complex??? so last 5 years umejenga Machinga Complex Rait! next 5 years! hizo zote utaziweza baba???????? yarkkk!! Wacha kudanganya wananchi! those days are gone!
naona kama jk alipiga glasi kadha za piwa kabla ya kuingia kwenye mahojiano, maana anababaika sana katika kuongea, sijui ana matatizo huyu?
madogo yana nafuuuuuuuuuuuuuuuuuuuhahah!haha!!!!!
makubwa aya!!!!!!!
sijui ni kwa nini wenzetu hawa hawataki kutafuta elimu. Au ni mazoea ya kuchekesha watu ktk sherehe sasa wanadhani kila sehemu ni vichekesho. Leo wametoa simu ya uongo na hiyo ndo ingewasaidia kupata maswali ya maana.
lakini pia mkuu wa clouds, lazima ajifunze kupanga watu wake. Huwezi ukampa kijana wa miaka 30 kumuhoji mkuu wa nchi wa miaka 60. Labda kama kaona rais ana tabia za umri huo.
ni jambo la kuiga tu. Waangalie wazoefu bbc, voa ili waone umri na elimu ya wanaowahoji ma-rais wa nchi.
mc anamuhoji rais juu ya mambo ya kisiasa!!!!!!!!!!!!!!
Clouds haina waandishi ina maMC njaa(Kibonde) na maDJ wa kipaimara,kitchen parties(Hando)
Tatizo kubwa lenu CHADEMA hapa JF ni kwamba mnavuruga kwa makusudi mijadala ya wagombea wengine, kuanzia Prof. Lipumba jana na leo JK.
Acheni wanaotaka kupashwa habari wapate na kisha ndio tujadiliane na kuchambua.
Mnachofanya sasa ni kuwanyima Watanzania wenzenu uwezo wa kujua viongozi wengine wanasema nini.
Mnajifanya mnamsaidia Dr. Slaa ila ukweli ni kwamba mnaudhi watu wengi ambao ni neutral na matokeo yake watamnyima huyo Dr. Slaa wenu.
Demokrasia mnayoililia inahitaji uvumilivu na kusikia hoja za pande zote na wala sio matusi tu kila saa.
Mkuu
Ntawezaje kuwa mpole huku Rais wangu huyo anayoyaongea ni kama vile huwa hawana watu wa mipango miji na mgawanyo wa Funds huko mikoani jamani ukiangalia rasilimali nyingi za Taifa zatokea Kanda ya ziwa ambako huko ndiko kulitakiwa kuwe baraaaa kupita mikoa mingine ukicheki Shinyanga utalia, nenda Kahama ndio usiseme, Rudi Nyamongo - Tarime wacha bwana maendeleo ni zero tuu neda Arusha nako ndiko kila siku kukicha leo wanaambiwa JIJI mara kesho wanaambiwa vigezo havijitoshelezi sasa ni nini seriklai imejipanga,
Serikali inapo kuza maendeleo inatakiwa ijipange na kuangali future ya wananchi na vizazi vilivyopo na vijavyo itakuwaje. na ndio maana nikasema au kushauri sera ya Majimbo irudi muone kama Dar watu watakaaa watu wote utawaona Arusha au Mwanza