Elections 2010 Kikwete Live on Power Breakfast (Clouds FM)

ati anasema atajenga sylicon valley yetu.....yaani huyu jamaa sijui vip aisee....wataalam kashindwa kuwa retain hawana ajira za maana wanakimbia nchi.....huyu mtu jamani mbona anaongea kama anaongea na mtotoe riziwani..
 

Kuwa mpole jethro
 
Leo ndio siku aliyoisema Yahaya. Nasikia miziki laini tu

Sheikh ameshapindisha mambo, amesema alivyotabiri mtu atakufa, sio lazima iwe ile ya mtu kufa na kuzikwa, eti hata mtu kufa kisiasa kama yule naniii!!! aliyekuwa anataka kuchukua fomu ya uraisi wakati huleeeeeeeeee, kupitia chama chao, halafu akaamia chama fulani hivi ambacho hakikupata usajili, eti amekufa kisiasa, na yule wa NCCR eti alivyoanguka amesema ndo utabiri wake umeshatimia, kwa hiyo tusisubiri mtu kufa na kuzika. Tayari hawa wameshakufa kisiasa, lakini hajathubutu kusema ambayo mkwere huwa anaanguka mara kwa mara, hicho hakuongelea kabisa Eeeeeeeeeee sheikh ana mambo huyu
 
Jamani kumbe vyoo vile vya mabilioni kuna maabara?!! Maana JK si amejibu? Kwamba wapinzani hawajui ki2
 
Hii ni riwaya tu hamna kampeni wala mipango hapa. Im done with JK, naendelea na majukumu ya kujenga taifa. Bora tu mi nijitolee kujenga taifa japo mkuu wetu anauza sura tu pale magogoni
 
Amerudia tena ile kauli yake kwamba msongamano dar ni kwa sababu watu wengi maisha yameboreka na kuwa na magari
 
Nazidi kujiamini kwamba ntaitendea haki Tanzania kwa kutompa kura...
 
Nimeipenda 2saidie ht huku shy wapo maci4nga
 
Huyu jamaa pumba tupu, yaani simsomi kabisa kila nikityuni anavyojibu chenga tupu! Umedesa maswali lakini bado unapata kigugumizi kujieleza duh
 
bwa hahahaha mbona aibu anzidi kuumbuka aisee.....ati atajenga reli mpya isaka-rwanda na reli ya TAZARA....mpya kabisa digitali reli
 
:A S angry:Hiki kipindi nadhani sio live...kimerekodiwa mbona mawimbimawimbi kibao? no wonder hawataki watu wapige simu
 
Japani mpaka kupanda miti aaaaah
japani
marekani
china
kwani hii nchi ni nchi gani!
Raisi jk ni wa nchi gani????
 
It is very likely maana huyu jmaa hana utamaduni wa kuembrace free and open discussion! kwa kifupi ni mwoga kuliko kawaida!

Si alikuwa mwanajeshi huyu jamani!!!!! Kwani hata wanajeshi wanakuwaga waoga, na pia si nasikia huwa anamajaa wanaomlinda ambao sisi watu wa kawaida hatuwezi kumuona, mwanzoni Clouds ilikuwa inatangaza Mh. raisi jakaya mrisho kikwete, sasa hivi wamebadilisha na yeye wanasema mh. dk kikwete, si bure kweli anamkubali Dk. Mpiganaji Slaa. Si amwachie tu ikulu jamani
 
nipo kwenye basi hapa moroco watu wanamsikiliza na kuponda kua jamaa anaboa na kubabatiza
 
cha kusikitisha mambo mengi aliyo ahidi yako nje ya Ilani yao. Hata ukimuliza kwa mfano kwani nini hatuna kiwanda cha ndege dar lazima atakuwa na jibu. Hilo amekiri baada ya kuulizwa ahadi zake zikoje: Akajibu kwamba kuna ahadi zilizopo kwenye ilani na ahadi za papo kwa papo kulingana na wananchi wanachohitaji. ... huu ni utawala bila kipaumbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…