Kikwete mbona Magufuli alipofariki dunia hukumuelezea kirefu kama kwa Membe?

Hacha kuisafisha aliye isema akuwa na maana hii yako yeye alimainisha wanao kufa ni wabaya akataja adi wazuri walio hai angalia klip hiyo mpaka mwisho.
 
Ni kweli katiririka sana kumbe ilikuwa ni zuga tu kumwengua alikuwa anajua anachokifanya
 
Belinda jacob una mdomo mzuri kwenye iyo avatar. Nikipata fursa naweza kukunyonya violently hadi nikaushe kinywa chako.

Badilisha iyo avatar faster. Acheni kututamanisha na kutuweka majaribuni wakati huu wa msiba wa taifa.
Mimi natamani kukunyonya mnduku.

Mufti lion mafutaaa.
 
Kumlipia mtu mahari sio jambo dogo! Ukaribu huo wa Kikwete na Musiba ulitokana na nini?
Mzee JK ni mtu wa watu, Musiba kipindi hicho alikuwa Chanel ten pale ,akamfuata JK akamueleza shida Basi mzee akamsaidia.
 
Shindalo lijalo hutapata kura kijana, umeanza kuonesha upopoma waziwazi.

Kikwete na Magu wapitie changamoto gani pamoja ilhali hawakua na ukaribu kama wa Jakaya na Membe.
 
Ni kweli wazuri hawafi kwa maana ya wema hawafi.

Mtu ukiwa mwema siku zote watu watakumbuka mema yako na duniani imani nyingi zinahimiza watu kuwa wema ili iwe akiba kwao huko waendako na hapa duniani.

Watu wameshasahau ule msemo wa "Wema hauozi"?

Asante kwa ufafanuzi mzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…