Kikwete mbona Magufuli alipofariki dunia hukumuelezea kirefu kama kwa Membe?

Kikwete mbona Magufuli alipofariki dunia hukumuelezea kirefu kama kwa Membe?

Huo msemo una maana kubwa sana kwa mwenye kuuelewa, kwa ufupi maana ya huo msemo ni kuwa mtu mzuri anafariki, hafi, kwa maana legacy yake haifi, inaendelea kubaki hai.

Legacy ya mtu siyo majengo au mali alizoacha, ni mema yepi aliyoyaacha ambayo yanadumu.

Lugha zina utamu wake.
Hacha kuisafisha aliye isema akuwa na maana hii yako yeye alimainisha wanao kufa ni wabaya akataja adi wazuri walio hai angalia klip hiyo mpaka mwisho.
 
Katika Mkeka wako nimetafakari mara mbili mbili hasa pale Ulipoandika nanukuu...."Mimi (Wewe) na Marehemu Membe kwa nyakati tofauti mlipitia Changamoto (Misukosuko) ya Kimaisha ila mkapeana moyo".... mwisho wa Kukunukuu.

Binafsi kama GENTAMYCINE imenibidi nianze kutafuta kama kuna Mkeka wako wowote ule uliuandika pale Rais wa Awamu ya Tano Dk. John Pombe Joseph Magufuli alipofariki dunia tarehe 17 Machi, 2021 ila sijaupata hadi hivi sasa.

Hata hivyo Pole sana Kaka Mtu JMK.
Ni kweli katiririka sana kumbe ilikuwa ni zuga tu kumwengua alikuwa anajua anachokifanya
 
Belinda jacob una mdomo mzuri kwenye iyo avatar. Nikipata fursa naweza kukunyonya violently hadi nikaushe kinywa chako.

Badilisha iyo avatar faster. Acheni kututamanisha na kutuweka majaribuni wakati huu wa msiba wa taifa.
Mimi natamani kukunyonya mnduku.

Mufti lion mafutaaa.
 
Shindalo lijalo hutapata kura kijana, umeanza kuonesha upopoma waziwazi.

Kikwete na Magu wapitie changamoto gani pamoja ilhali hawakua na ukaribu kama wa Jakaya na Membe.
 
Huo msemo una maana kubwa sana kwa mwenye kuuelewa, kwa ufupi maana ya huo msemo ni kuwa mtu mzuri anafariki, hafi, kwa maana legacy yake haifi, inaendelea kubaki hai.

Legacy ya mtu siyo majengo au mali alizoacha, ni mema yepi aliyoyaacha ambayo yanadumu.

Lugha zina utamu wake.
Ni kweli wazuri hawafi kwa maana ya wema hawafi.

Mtu ukiwa mwema siku zote watu watakumbuka mema yako na duniani imani nyingi zinahimiza watu kuwa wema ili iwe akiba kwao huko waendako na hapa duniani.

Watu wameshasahau ule msemo wa "Wema hauozi"?

Asante kwa ufafanuzi mzuri.
 
Back
Top Bottom