Kikwete mbona Magufuli alipofariki dunia hukumuelezea kirefu kama kwa Membe?

Unapaswa kushangaa kwamba JPM hakuwa rafiki wa JK lakini JK alimpa u waziri na baadaye kuruhusu hata awe rais! Kama Kikwete ana chuki na JPM basi kosa ni la JPM sio la JK. Unaelewa?
Una uhakika urais wa JPM ulihidhinishwa na JK?
 
Yusuf Makamba ataijutia sana kauli yake ya KUFURU!



Mbona aliposema Magufuli atabatiza kwa moto wapinzani walililipuka kwa shangwe na vigelegele?

Mlipokuwa mnacheka kuna waTZ wengine walikuwa disappointed much vile vile.

Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu huwa mchungu.

Ukiwa mlafi usiwe mchoyo [emoji108]

Mnataka aongee yale mnayopenda kusikia tu?
 
Miaka mingi ilani za ccm mwandishi mkuu alikuwa Kingunge Ngombale Mwiru.
 
Huyo kiwete mwenyewe anakufa lini? Tunasubiri kwa hamu sana



Ila nyie naona kama mnazidi saingine aisee?!

Kweli unaweza kuwaza na kuandika hayo? [emoji848]

Huu Uhuru unataka kuvuka mipaka sasa halafu mko ingilia kati mnasema hakuna demokrasia?

Amekusea nini wewe binafsi bana wa watu?

Nyie tumuogope Mwenyezi Mungu.!
 
Nashukuru kwa maoni yako, haya nijibu sasa anakufa lini Kiwete? Tunasubiri hilo shangwe
 
Hajui kesho yake,amezoea kukenua kinywa,ngoja tuone kwenye huu msiba kama atakenua kinywa kama alivyofanya kwa mzee Nkapa



Yale ni majaliwa yake, ndivyo alivyo hawezi kununa Na kukunja ndita kama IGP fulani wa zamani!

Tena ana bahati na ndio maana hazeheki na kuchoka.

Kisaikolojia ukiweza kutabasamu na kucheka muda wote hata afya yako inakuwa njema muda wote.

Mueleweni tu wala si kwa ubaya .

Mimi ningejaliwa karama ya JK ya kutabasamu na kucheka muda mwingi ningeshukuru sana!
 
Muda mwalimu yeye aendelee kukenua tu, binocular vision
 
Have you taken into account the context in which Mzee Makamba uttered those words? Context matters in order to get the right interpretation.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…