Kwahiyo vyuo vyote vimejengwa na Magu?
Hospitali zote zimejengwa na Magu?
Mashule yote yamejengwa na Magu?
Barabara na madaraja yote yamejengwa na Magu?
Mitambo na mabwawa yanayozalisha umeme hivi sasa yamejengwa na Magu?!
Unajua huwa napata mashaka sana na uelewa wa Wafuasi wa Magu!
Let's assume una elimu ya Chuo Kikuu!!
Now, ni infrastructure ipi iliyojengwa na JPM iliyowezesha wewe kuwa na elimu ya chuo ya kikuu, na kwamba, kama siyo hiyo infrastructure, huenda usingekuwa na hiyo elimu?
Nakuuliza kwa sababu kama unajaribu kutuaminisha pasipo na JPM hapawezi kufanyika kitu basi bila shaka hata wewe elimu yako YOTE imewezekana kutokana na misingi iliyojengwa na JPM!
Wengi wamejitwika upofu wa akili.
Magu alifanya aliyoweza kuyafanya, lakini ukweli ni machache sana ukilinganisha na ambayo tayari yalikuwa yamefanyika. Mema yale aliyoyafanya hayabezwi lakini si kweli kwamba alifanya maajabu.
Vyuo vikuu
Nyerere - UDSM, SOKOINE, MZUMBE
Mwinyi - 0
Mkapa - 0
Kikwete - UDOM
JPM - 0
Hospitals Kubwa
Nyerere - Muhimbili
Mwinyi - 0
Mkapa - 0
Kikwete - Taasisi ya Moyo, Mloganzila, Mkapa hospital
JPM - 0
Mabwawa ya Umeme
Nyerere - Kidatu, Mtera
Mwinyi - Kihansi
Mkapa - 0
Kikwete - 0
JPM/Samia - Nyerere
Barabara Ndefu za lami
Nyerere - Dar to Kaprimposhi
Mwinyi - 0
Mkapa - Dar to Kibiti
Kikwete - Dar to Mafinga, Chalinze to Arusha, Moro to Mwanza, Mwanza to Bukoba, Dodoma to Iringa, Kahama to Nyakanazi, Songea to Masasi, Kibiti to Mtwara, Tunduma to Sumbawanga
JPM - nyingi barabara fupi na za mijini.
Reli
Nyerere - Uhuru
Mwinyi - 0
Mkapa - 0
Kikwete - 0
JPM/Samia - SGR
Ndege
Nyerere - 13 brand new jet engine
Mwinyi - 0
Mkapa - 0
Kikwete - 0
JPM -8, 3 jet engines, 5 pangaboi
Madaraja makubwa
Nyerere - 0
Mwinyi - 0
Mkapa - Umoja
Kikwete - Tanzanite
JPM/Samia - Busisi
Viwanda
Nyerere - vingi sana
Mwinyi - 0
Mkapa - 0
Kikwete - 0
JPM - 0
Lakini Mkapa ndiye aliyejenga uchumi wa kisasa na kutengeneza mifumo mbalimbali ya kiuchumi, hata kuwa ndiye Rais pekee Tanzania kuiacha hazina ikiwa imenona wakati yeye aliingia ikulu, hazina ikiwa haina chochote, ikiwa na madeni lundo, kiasi cha nchi kutokopesheka. Mengi aliyoyafanya Kikwete msjngi wake uliachwa na Mkapa.