misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 14,244
- 10,073
Una uhakika urais wa JPM ulihidhinishwa na JK?Unapaswa kushangaa kwamba JPM hakuwa rafiki wa JK lakini JK alimpa u waziri na baadaye kuruhusu hata awe rais! Kama Kikwete ana chuki na JPM basi kosa ni la JPM sio la JK. Unaelewa?