Kikwete na Kinana wamtaka Kubenea na MwanaHalisi Kuomba Radhi kwa madai ya kuwalipa wanaopinga Mkataba wa Bandari

Kwanini ombi la kwanza isiwe kumtaka Kubenea athibitishe madai yake,halafu kama hana ushahidi ndio aombe radhi?kwanini wakimbilie kuombwa radhi tu?
Sidhani kama Kubenea amekurupuka !
Huenda amepenyezewa za chini ya kapeti ! Tusubiri tuone !
 
Hawa ndiyo wenye nchi. Kitendo cha Kubenea kuwagusa hawa maswahiba ni kulipata la kulitafuta.
Ni kweli kuwa Kinana anachuma fedha nyingi kwenye bandari kwani ana sehemu yake ya kuweka mzigo ambayo bandari wanaitumia na kumlipa. Sijui ni kisasi gani lakini ni fedha nyingi na inayoingia kiulaini kabisa. Lakini kitu cha kutafakari ni hiki: Watu hawakatai mwekezaji kwenye bandari bali wanakataa vifungu vya mkataba.
 
Tutajie mmoja kwny ukoo wenu mwenye robo ya CV za hawa watu
Kwenye ukoo wake kutokuwa na mtu mwenye sifa kama hizo ndiyo kunawafanya wawe watu wazuri? Wabongo hoja zetu huwa ni za kijinga kweli kweli! Ndiyo maana unakuta profesa mzima akienda kwenye mahakama za nje anakuwa kama mzee wa kijijini kihoja.
 

ni kweli kabisa nimeona marafiki zake kikwete aliokuwa nao awamu ya 4 wengi wamepewa cheo ilele au zaidi ya ile mfano omary issa mwenyekiti wa bodi ya tanesco na wengine wengi
 
HII HUIJUI

Baki hapo hapo endelea kuwa chawa wa binadamu mwenzio

Nishasema hawana lolote hao
Acha kujifariji, Wale kina Kinana na Jakaya sio level zako wala z ukoo wako

unajifanya eti kuwashauri sijui watumie busara sijui hekima โ€ฆhawahitaji ushauri wa kapuku wameajiri watu rasmi professional wa kuwashauri kwny kila eneo

hawahitaji Volunteer wa kuwashauri
 
Kwanza sijui kwa nini najibizana na mtu kama wewe mwenye low IQ

Nenda kawalambe miguu maana unaweka kwenye level ambazo hawapo

Ni wa kawaida sana narudia

๐Ÿ˜•๐Ÿ˜๐Ÿ˜•๐Ÿ˜๐Ÿ˜•๐Ÿ˜๐Ÿ˜•๐Ÿ˜๐Ÿ˜•๐Ÿ˜๐Ÿ˜•๐Ÿ˜
 
Haya yote yanawakuta kwa sababu ni wastaafu wasiotaka kustaafu, baado wanashikilia remote kwenye series yetu ya Isindingo!
 
Hiyo Tanganyika haimtambui Kikwete kuwa ni mmoja wa marais wastaafu?.

Hii hoja ya kutaka kujitenga inapoteza mashiko na haina uhai wa kudumu, imejengwa kwenye msingi wa chuki dhidi ya baadhi ya wanasiasa na viongozi.

Uzuri ni kwamba hii nchi ipo chini ya ulinzi wa Mungu tangu tarehe tisa desemba, miaka 62 iliyopita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ