mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Sidhani kama Kubenea amekurupuka !Kwanini ombi la kwanza isiwe kumtaka Kubenea athibitishe madai yake,halafu kama hana ushahidi ndio aombe radhi?kwanini wakimbilie kuombwa radhi tu?
Huenda amepenyezewa za chini ya kapeti ! Tusubiri tuone !