na nimekwisha waambia hao mods, nitawajibu wote wanao nitukana, na nitakuwa mstaarabu kwa wote wenye heshima zao.
Hali desa huoni hilo daftari anasoma? hajiamini kabisa.... hata kwenye kiti hatulii....:rip:hali desa lakini jamaa is not serious at all :evil:
Hivi swali la Redet au Synovate lilikuwa ni Msingi sana jamani?
makofi mbona kama ya kinafiki?
kila akisema anaangalia chini. Body language za waatu wengi ni kwamba mdahalo uishe. Makamba na msekwa wanatetemeka tu