Niliwauliza kuhusu mawaziri wa JK nanndio hilo analiuliza Kibonde(Clouds FM) na rais ajae ni yupi Hilo kidogo ni swali tena la kijanja i can say na linatakiwa kujibiwa kwa kina sana
Umeona eee! Badala ya kuboresha uchumi watu wakawa na uwezo wa kufanya mambo ya nguvu yeye anafikiria spoon feeding na town influx kwa kuvutia watu kuja mijini. Ole wetu hali ikiwaendea vibaya ni roba za mbao tu!
Serikali ijayo kutumia zaidi teknolojia sio kuiweka serikali iwe adilifu ,wajibikaji na isiyofuja raslimali jamani baba wee mbona unatuzuga na kutugeuza sisi madondocha
Duh huyu jamaa analipia madeni ya mashirika yaliyochakachuliwa na washirika wake bila kusema amewachukulia hatua gani? Ila amelisahau shirika la wanafunzi tuliosoma vyuo vikuu tunamwomba nasi atulipie madeni yetu bodi ya mikopo ili na wadogo zetu wakopeshwagee etii eeh!
jamani huyu ndie RAIS wa nchi yenu, anae jisifia kwa kuboresha maisha ya mtanzania alie maskini na anae tarajia nafuu kwa kupata maisha ya baadae kuwa mazuri...
1. rais ni msanii..
2. hana competence katika kujitetea kama rais wa nchi
3. majibu yake hayana umakini na anaonesha kutojiandaa kutetea taifa letu
4. anatoa story badala yakuelezea kinacho takiwa na watanzania
Mamii hata mie nimeshangaa yale yaleee ya ...tunaangalia mahitaji ya vulnerable groups lakini pia hatuwezi kuyaweka kando mahitaji ya watoto yatima na watu wenye ulemavu lol