Emanuel Makofia
JF-Expert Member
- Jan 5, 2010
- 3,832
- 635
Hapo ndipo utaelewa ni kwanini Afrika ni Afrika, na kila iitwapo leo umasikini unaongezeka kama moto uwakao kati ya nyasi kavu. Haya mahojiano yatakuwa ya historia kote Duniani.How come maswali na majibu ya asubuhi na sasa yanafanana????????????
kweli mkwereeeeeeeeee
wera weraaaa
Kisha anakiri eti kuna watu wachache walikua wana mtafaruku wa kimaslahi katika hili swala. Je amelimalizaje hilo swala??? Aliwachekea tu kisha akabadili mfumo??Anakiri udhaifu kushuhulikia vitambulisho vya taifa