Elections 2010 Kikwete on ITV, maswali na majibu toka kwake

Elections 2010 Kikwete on ITV, maswali na majibu toka kwake

Mtu katajwa kuwa ni professor na makofi yakapigwa vitukooooo! kwa hiyo kila akitajwa prof Lipumba yapigwe makofi
 
wamarekani, wamarekan! Neurosurgeons!! Naona wanapalilia Uranium yetu. Haya we kibaraka huyo.
 
sasa mbona story zimezidi sioni cha maana anachoongea.wamejaza vizee vinasinzia
 
Ni AIBU RAIS HAJUI HATA PATO LA SERIKALI LINAITWA JINA GANI. MRAHABA, MHABARA..POOR KIKWETE.
 
Kinana kaduwaa haelewi kwanini kakubali kazi ya kumkapenia huyu jamaa, anamuaibisha
 
Usoni kwa kinana inaonekana Kama anasema "nilipotea njia, JK ni bidhaa ya kichina china"
 
Hivi wangapi humu mlimshangilia na kumpigia vigeregere huyu jamaa mwaka 2005 na sasa mmemgeuzia kibao? Sielewi kabisa kwa sababu jamaa siku zote ni kilaza na baadhi mnakuwa kama mmegundua jamaa ni kilaza ktk miaka 5 iliyopita

Ni unafiki tuu, hakuna jipya.
 
Jamaa ni misada tu anaongelea, hana sera, tunataka pesa zetu zifanye ya huduma. Jamaa ni kilaza kweli. Haoni aibu kusema eti kutibu mafisadi dollar milion saba. Sasa sisi walala hoi tutafanya nini na ndo tunalipa kodi. It is sad
 
Back
Top Bottom