Nduka
JF-Expert Member
- Dec 3, 2008
- 8,553
- 2,380
kwanini wasiwawezeshe Tanzania Heart Institute? Yule mchaga kajitahidi mwenyewe lakini wanamfumbia macho.
oooohooo!!! u hav made ur point Mangi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwanini wasiwawezeshe Tanzania Heart Institute? Yule mchaga kajitahidi mwenyewe lakini wanamfumbia macho.
hapana, ni rais anayemaliza muda wakeNdio rais wetu huyo
Jamani hao wazee watarudije makwao kwa usafiri gani usiku huu?
Hivi wangapi humu mlimshangilia na kumpigia vigeregere huyu jamaa mwaka 2005 na sasa mmemgeuzia kibao? Sielewi kabisa kwa sababu jamaa siku zote ni kilaza na baadhi mnakuwa kama mmegundua jamaa ni kilaza ktk miaka 5 iliyopita
Wanaaibishana haoKinana kaduwaa haelewi kwanini kakubali kazi ya kumkapenia huyu jamaa, anamuaibisha