Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani hao wazee watarudije makwao kwa usafiri gani usiku huu?
eeee hadithi au hotuba au...naomba nieleweshwe kinachoendelea
Ni AIBU RAIS HAJUI HATA PATO LA SERIKALI LINAITWA JINA GANI. MRAHABA, MHABARA..POOR KIKWETE.
umesahau wanaongea na mgombea wa CCM, na mnatujua kwa uwezo wetu wa kifedha
Na ya e-governance wakati mpaka sasa kuna government officials hawajui hata computer inawashiwa wapi pamoja na kuwa imekuwepo mezani kwake for years.........kazi zote anafanya secretary:hippie:Nimecheka ile ya E medicine jamani hospitali zinashindwa hata gloves syringe hata pamba na gauze hazipo anasema mtu yuko north caroline harafu anadirect operation huku mi nadhani awaomde samahani madaktari wetu anataka kusema hawana uwezo awape vifaa aone watakavyofanya
Kinana kaduwaa haelewi kwanini kakubali kazi ya kumkapenia huyu jamaa, anamuaibisha
akili hizi ndio anguko la upinzani nchini, hizi ndio issue mnazoweza ku discuss kwenye draft