Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mie nilitamani kufanya hivyo ndo maana ni-change channel kwenda supersport, jamaa hajatundea haki kabisa watzKinana haamini macho yake... he is dumbstruck...anatamani ardhi ipasuke.. anatamani hata amnyang'anye mic....
Wauza vocha, waosha magari nk..Ahadi hewa. Kazi milioni moja zilioenda wapi?
Vumilia aibu ni ya taifa. manake huyo ndo anakaa Magogoni, na hii coverage kubwa alopewa inaonekana hata nje ya nchi; sijui wanatutizama vipi? Watu wakifikiria aina ya maswali yaliyoulizwa na majibu yanayotolewa; aibu ni kubwa mno.