Kikwete: Pamoja na kushindana sana na Mkapa 95 hakunigongagonga nipotee, alisimama nami

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Rais mstaafu Kikwete amesema jambo ambalo wengi hawalijui ni kwamba mwaka 1988 yeye alipelekwa wilaya ya Masasi kuwa Katibu wa CCM na alimkuta mzee Mkapa akiwa ni mbunge.

Kikwete anasema walikuwa marafiki wa kweli hata mwaka 1995 yeye ( Kikwete) alipoburutwa kugombea urais bado alikuwa anamuunga mkono mzee Mkapa kama chaguo sahihi la wakati huo.

Kikwete anasema anamshukuru mzee Mkapa pamoja na ukweli kuwa walishindana kwenye urais lakini hakutaka kumpoteza kisiasa bali alimteua kushika wizara nyeti ya Mambo ya nje kwa kipindi cha miaka 10 na kumuwezesha kutimiza ndoto yake ya kuwa Rais katika muda muafaka yaani 2005.

Chanzo: BBC Dira ya Dunia!

Kikwete anasema anamshukuru mzee Mkapa pamoja na ukweli kuwa walishindana kwenye urais lakini hakutana kumpoteza kisiasa bali alimteua kushika wizara nyeti ya Mambo ya nje kwa kipindi cha miaka na kumuwezesha kutimiza ndoto yake ya kuwa Rais katika muda muafaka yaani 2005.

Chanzo: BBC Dira ya Dunia!

Meko n member he?
 
Uzuri wenyewe Mh Hayati Mkapa kakiri kwenye kitabu chake kuwa alifanyia kazi mambo aliyokuwa anashauriwa wakati ule akituongoza kama Rais. Ina maana asilaumiwe kama yako mapungufu. Hata la mrithi wake ni wazi alishauriwa.
 
Pia ongezea, "Tulikuwa tunazungumza kuhusu Uchaguzi na CCM yetu.... ingawa nilivyokuwa naongea nae akasema Tumbo ndio linamsumbua kidogo" Mh Kikwete alivyokuwa akihojiwa na Zuhura Yunus wa BBC.
Sawa mkuu!
 
Rais mstaafu Kikwete amesema jambo ambalo wengi hawalijui ni kwamba mwaka 1988 yeye alipelekwa wilaya ya Masasi kuwa Katibu wa CCM na alimkuta mzee Mkapa akiwa ni mbunge.

Kikwete anasema walikuwa marafiki wa kweli hata mwaka 1995 yeye ( Kikwete) alipoburutwa kugombea urais bado alikuwa anamuunga mkono mzee Mkapa kama chaguo sahihi la wakati huo.

Kikwete anasema anamshukuru mzee Mkapa pamoja na ukweli kuwa walishindana kwenye urais lakini hakutana kumpoteza kisiasa bali alimteua kushika wizara nyeti ya Mambo ya nje kwa kipindi cha miaka na kumuwezesha kutimiza ndoto yake ya kuwa Rais katika muda muafaka yaani 2005.

Chanzo: BBC Dira ya Dunia!

Ongeza sauti mpaka MWANANZILA akusikie
 
Marehemu hasemwi vibaya ila katika kitabu chake ametutenga sie wajumbe wa darasa la saba ile lugha aliyotumia mule sio rafiki kwetu
 
Rais mstaafu Kikwete amesema jambo ambalo wengi hawalijui ni kwamba mwaka 1988 yeye alipelekwa wilaya ya Masasi kuwa Katibu wa CCM na alimkuta mzee Mkapa akiwa ni mbunge.

Kikwete anasema walikuwa marafiki wa kweli hata mwaka 1995 yeye ( Kikwete) alipoburutwa kugombea urais bado alikuwa anamuunga mkono mzee Mkapa kama chaguo sahihi la wakati huo.

Kikwete anasema anamshukuru mzee Mkapa pamoja na ukweli kuwa walishindana kwenye urais lakini hakutaka kumpoteza kisiasa bali alimteua kushika wizara nyeti ya Mambo ya nje kwa kipindi cha miaka 10 na kumuwezesha kutimiza ndoto yake ya kuwa Rais katika muda muafaka yaani 2005.

Chanzo: BBC Dira ya Dunia!

Hili ni dongo la kiana kwa Mkulu kwa njinsi alivyo mgongagonga Camilius na hata kutaka kumpoteza kabisa ktk ulingo wa kisiasa. Hii ndiyo hekima itokanayo na watu wenye uelewa mpana wa mambo ya kidiplomasia na uhusiano wa kimataifa.
 
Usituhamishe- watu wanaongea mambo ya maana wewe unaleta u Camilius wako- si amekuja huko kwenu ACT-Wazalendo
 
Back
Top Bottom