Kikwete: Pamoja na kushindana sana na Mkapa 95 hakunigongagonga nipotee, alisimama nami

Tatizo la wanaogongwa gongwa Sasa ni kuendelea kujifurukutisha seriously kutokezea juu katikati ya term held, hakuna binadamu yeyote mwenye akili timamu na endelevu anaweza ruhusu huo ujinga.

Che Nkapa alipoanza Urais wake, alikuwa na maneno na matendo ya kuhalalisha na kulazimisha UMINYWAJI wa haki hivyo hivyo.
Akaharibu kwingi sana; LAKINI moyoni mwake alikujayatambua makosa yake akayajutia na KUTUBU.
Yapo mengi ya kujifunza kwake ili kujiepusha kurudia makosa yaleyale, kwa faida ya wa TZ na TAIFA zima kwa ujumla.
Kwani wahenga walisema ; ".........wenye busara hukubali kujifunza .......... kupitia makosa ya wenzao......." . AMEN
 
Eti ni kweli Benjamin mkapa hajawahi kufanya mahojiano na vyombo vya habari yaani waandishi wa habari wa huku bongo
 
Mkapa ni Rais mzuri kama wengine, alijenga nidhamu kwenye serikali na kupunguza mfumuko wa bei!!

Mkapa aliondoa pesa nyingi kwenye mzunguko ili kuwatesa raia na kutaka wamtukuze kama ilivyo hulka ya baadhi ya watu wafupi! Mkapa aliharibu kabisa uchumi kupitia uwekezaji wa kukurupuka na hili ameandika mwenyewe anakiri kwenye kitabu chake!! kuna madai ya ufisadi pia yanamhusu kujimilikisha migodi sijui , huko serikalini wanamjua! Mkapa alikuwa mwizi wa mali ya umma kama wezi wengine tu!! lets call a spade a spade!!

ila Mkapa alichangia kufanya nchi kuwa masikini kupitia sera ya ujamaa, huyu alikuwa mjamaa kama Nyerere na Mkulu, i doubt if these excellencies understood/ understand what is ujamaa maana hata wazungu hawakuelewa falsafa ya Nyerere iliyofanya tubaki maskini hadi leo badala ya kuandika socialism wazungu waliacha ibaki Ujamaa!!

Mkapa Ni katika genge la viongozi lile lenye mawazo ya kikoloni mimi ninaloamini ni kikwazo cha maendeleo na litakwisha in 30 years na nchi hii itahamia CAPITALISM and english from chekechea to university na kupaa kiuchumi!!

Mkapa Ni mbaguzi wa kidini wa wazi na muumini wa mfumo kristo manake hata Waziri Mkuu aliweka mkristo mwenzake bila aibu kwa miaka kumi yote Mr Zero , Sumaye!

Mkapa hakuwahi kuwa kiongozi bali mtawala kama Karl Peters (mkono wa damu) mwenye dharau kubwa kwa waandishi wa habari weusi na raia wake aliowaita ‘Malofa’ kwa kuwa alijua kuongea English kwa ufasaha!!

bongo ina mkosi sana ni nchi imeongozwa na watawala wengi kiongozi wa bongo tangu tupate uhuru ni mmoja tu Mkwere japo Magu ni mixed ( mtawala 50/50kiongozi) , Mkwere mtukane tani yako hana habari!!

By the way huyu mkoloni mweusi Mkapa amekufa kwa ugonjwa gani? tuambieni wanaojua. kwanini hawasemi Mkapa amekufa kwa kitu gani??? halafu kuna bumbuwazi watu wote wanakwepa kuzungumzia au basi hata kuuliza Mkapa kama kwa nini??

I am very sorry to repeat that common people na malofa hawakuweza kumsogelea Mkapa akiwa hai sasa watapita uwanjani kwake kwa misusuru na kumsimanga na kumwambia nyoo, kafiri mkubwa ulituona malofa amka sasa hapo ulipolala we si mbabe! wengine watasema kafiri mwingine kaenda!! wengine watasema Mzee now you are nothing and soon you will become manure!!

HII mambo ya wakristo haifai mtu akifa Kulazwa kwenye masanduku na kuanikwa kila mtu hata wasiokujua wakuone umekwisha umebadilika rangi kuwa kahawia na kuanza kuoza na kutoa harufu ya ajabu yafaa kuwa fundisho kwa viongozi wa juu waliobaki kutenda mema kwa nchi kama Magu maana na wao wataanikwa kama huyu labda wafe na Korona!!

mimi ni muslim nafurahi nikifa sitaanikwa kama hawa viongozi makafiri wanakandamiza waislam kwa mfumo kristo na kuishia kuanikwa uwanjani kama huyu, manake binadamu wengine wenye raha na utukufu na itifaki duniani huwa hawataki kufa sasa roho zao hutolewa kwa minyororo na ziraili sasa hufa kwa shida na kuiacha sura kubakia ya kutisha baada ya roho kutoka! haya Mkapa kapata nini sasa ameiacha dunia iliyomtukuza amekwenda mbele ya Allah na dhambi za kudhulumu waislam haki zao , kwa imani ya kiislam hukumu yake anayo Allah, kulu nafsi dhaalikatul maut.

I am building up a new tradition mtu mwenye mamlaka ya umma akifa kama hivi raia tusifiche machafu yao tuwatukane wafu hawa kwa kila baya walilofanya kwa raia masikini ili viongozi walio hai waone wafu wanatukanwa nao watutundee haki manake kifo na kuanikwa uwanjani watu wapite kuwakagua havikwepeki!!

Mungu amuweke Mkapa mahali panapomstahili!!
Takataka.
 
Che Nkapa alipoanza Urais wake, alikuwa na maneno na matendo ya kuhalalisha na kulazimisha UMINYWAJI wa haki hivyo hivyo.
Akaharibu kwingi sana; LAKINI moyoni mwake alikujayatambua makosa yake akayajutia na KUTUBU.
Yapo mengi ya kujifunza kwake ili kujiepusha kurudia makosa yaleyale, kwa faida ya wa TZ na TAIFA zima kwa ujumla.
Kwani wahenga walisema ; ".........wenye busara hukubali kujifunza .......... kupitia makosa ya wenzao......." . AMEN
Ogopa sana watu wanaokutana na shetani kwanza, halafu wanajidai kumuona Mungu baadaye.
 
Kikwete mtu wa pwani.na watu wa pwani wanamaneno yao ya tafsida.
 
Maskini Mkapa sijui alikula nini mpaka akawa anamlalamikia JK tumbo kumuuma!!!
 
Rais mstaafu Kikwete amesema jambo ambalo wengi hawalijui ni kwamba mwaka 1988 yeye alipelekwa wilaya ya Masasi kuwa Katibu wa CCM na alimkuta mzee Mkapa akiwa ni mbunge.

Kikwete anasema walikuwa marafiki wa kweli hata mwaka 1995 yeye ( Kikwete) alipoburutwa kugombea urais bado alikuwa anamuunga mkono mzee Mkapa kama chaguo sahihi la wakati huo.

Kikwete anasema anamshukuru mzee Mkapa pamoja na ukweli kuwa walishindana kwenye urais lakini hakutaka kumpoteza kisiasa bali alimteua kushika wizara nyeti ya Mambo ya nje kwa kipindi cha miaka 10 na kumuwezesha kutimiza ndoto yake ya kuwa Rais katika muda muafaka yaani 2005.

Chanzo: BBC Dira ya Dunia!

1595675856249.png
1595676061459.png
 
Mkapa ni Rais mzuri kama wengine, alijenga nidhamu kwenye serikali na kupunguza mfumuko wa bei!!

Mkapa aliondoa pesa nyingi kwenye mzunguko ili kuwatesa raia na kutaka wamtukuze kama ilivyo hulka ya baadhi ya watu wafupi! Mkapa aliharibu kabisa uchumi kupitia uwekezaji wa kukurupuka na hili ameandika mwenyewe anakiri kwenye kitabu chake!! kuna madai ya ufisadi pia yanamhusu kujimilikisha migodi sijui , huko serikalini wanamjua! Mkapa alikuwa mwizi wa mali ya umma kama wezi wengine tu!! lets call a spade a spade!!

ila Mkapa alichangia kufanya nchi kuwa masikini kupitia sera ya ujamaa, huyu alikuwa mjamaa kama Nyerere na Mkulu, i doubt if these excellencies understood/ understand what is ujamaa maana hata wazungu hawakuelewa falsafa ya Nyerere iliyofanya tubaki maskini hadi leo badala ya kuandika socialism wazungu waliacha ibaki Ujamaa!!

Mkapa Ni katika genge la viongozi lile lenye mawazo ya kikoloni mimi ninaloamini ni kikwazo cha maendeleo na litakwisha in 30 years na nchi hii itahamia CAPITALISM and english from chekechea to university na kupaa kiuchumi!!

Mkapa Ni mbaguzi wa kidini wa wazi na muumini wa mfumo kristo manake hata Waziri Mkuu aliweka mkristo mwenzake bila aibu kwa miaka kumi yote Mr Zero , Sumaye!

Mkapa hakuwahi kuwa kiongozi bali mtawala kama Karl Peters (mkono wa damu) mwenye dharau kubwa kwa waandishi wa habari weusi na raia wake aliowaita ‘Malofa’ kwa kuwa alijua kuongea English kwa ufasaha!!

bongo ina mkosi sana ni nchi imeongozwa na watawala wengi kiongozi wa bongo tangu tupate uhuru ni mmoja tu Mkwere japo Magu ni mixed ( mtawala 50/50kiongozi) , Mkwere mtukane tani yako hana habari!!

By the way huyu mkoloni mweusi Mkapa amekufa kwa ugonjwa gani? tuambieni wanaojua. kwanini hawasemi Mkapa amekufa kwa kitu gani??? halafu kuna bumbuwazi watu wote wanakwepa kuzungumzia au basi hata kuuliza Mkapa kama kwa nini??

I am very sorry to repeat that common people na malofa hawakuweza kumsogelea Mkapa akiwa hai sasa watapita uwanjani kwake kwa misusuru na kumsimanga na kumwambia nyoo, kafiri mkubwa ulituona malofa amka sasa hapo ulipolala we si mbabe! wengine watasema kafiri mwingine kaenda!! wengine watasema Mzee now you are nothing and soon you will become manure!!

HII mambo ya wakristo haifai mtu akifa Kulazwa kwenye masanduku na kuanikwa kila mtu hata wasiokujua wakuone umekwisha umebadilika rangi kuwa kahawia na kuanza kuoza na kutoa harufu ya ajabu yafaa kuwa fundisho kwa viongozi wa juu waliobaki kutenda mema kwa nchi kama Magu maana na wao wataanikwa kama huyu labda wafe na Korona!!

mimi ni muslim nafurahi nikifa sitaanikwa kama hawa viongozi makafiri wanakandamiza waislam kwa mfumo kristo na kuishia kuanikwa uwanjani kama huyu, manake binadamu wengine wenye raha na utukufu na itifaki duniani huwa hawataki kufa sasa roho zao hutolewa kwa minyororo na ziraili sasa hufa kwa shida na kuiacha sura kubakia ya kutisha baada ya roho kutoka! haya Mkapa kapata nini sasa ameiacha dunia iliyomtukuza amekwenda mbele ya Allah na dhambi za kudhulumu waislam haki zao , kwa imani ya kiislam hukumu yake anayo Allah, kulu nafsi dhaalikatul maut.

I am building up a new tradition mtu mwenye mamlaka ya umma akifa kama hivi raia tusifiche machafu yao tuwatukane wafu hawa kwa kila baya walilofanya kwa raia masikini ili viongozi walio hai waone wafu wanatukanwa nao watutundee haki manake kifo na kuanikwa uwanjani watu wapite kuwakagua havikwepeki!!

Mungu amuweke Mkapa mahali panapomstahili!!
Nimekuripoti
 
Muda wa kusubiria novichok ifanye kazi huku akimpigisha stori!ulienda vizuri!!!"Tangu sasa hadi oktoba lolote laweza kutokea" In NINUKE'S VOICE!!!!!!!
 
Kwani Membe kaondoka CCM kwa kupenda?
Kapenda ndiyo kwa sababu anatamani urais na kwenye CCM nafasi hiyo imeshajazwa hadi 2025,kwa hiyo kwa sababu anataka urais kaondoka kwa hiari yake kwenda ambako anaweza kutimiza ndoto yake hiyo.
 
Jiwe ana mengi ya kujifunza hapa kuhusiana na yeye na BCM.
Rais mstaafu Kikwete amesema jambo ambalo wengi hawalijui ni kwamba mwaka 1988 yeye alipelekwa wilaya ya Masasi kuwa Katibu wa CCM na alimkuta mzee Mkapa akiwa ni mbunge.

Kikwete anasema walikuwa marafiki wa kweli hata mwaka 1995 yeye ( Kikwete) alipoburutwa kugombea urais bado alikuwa anamuunga mkono mzee Mkapa kama chaguo sahihi la wakati huo.

Kikwete anasema anamshukuru mzee Mkapa pamoja na ukweli kuwa walishindana kwenye urais lakini hakutaka kumpoteza kisiasa bali alimteua kushika wizara nyeti ya Mambo ya nje kwa kipindi cha miaka 10 na kumuwezesha kutimiza ndoto yake ya kuwa Rais katika muda muafaka yaani 2005.

Chanzo: BBC Dira ya Dunia!

Meko n member he?
Mkapa was a gentleman
Hili ni dongo la kiana kwa Mkulu kwa njinsi alivyo mgongagonga Camilius na hata kutaka kumpoteza kabisa ktk ulingo wa kisiasa. Hii ndiyo hekima itokanayo na watu wenye uelewa mpana wa mambo ya kidiplomasia na uhusiano wa kimataifa.
 
Kikwete anatupa the human side of BWM away from politics.
 
Kapenda ndiyo kwa sababu anatamani urais na kwenye CCM nafasi hiyo imeshajazwa hadi 2025,kwa hiyo kwa sababu anataka urais kaondoka kwa hiari yake kwenda ambako anaweza kutimiza ndoto yake hiyo.
Kasome kitabu cha Che Nkapa wahitaji kuelewa na kuwaelewesha wengine huko Lumumba.
 
JK analia na JM aliepikwa kusukwa kama yeye JK ili aje awe President 2025 halioni hilo maana amegongwa gongwa sana anaogopabatapotea !! System iliwa groom JM , Madelu na wengine ........naona mkuu hamtaki huyu kijana wa Twitter..... JK inamuuma
 
Back
Top Bottom