johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
;mmhKwa hiyo Mkapa ugonjwa wake unahusiana na tumbo kumsumbua..
Meko n member he?Rais mstaafu Kikwete amesema jambo ambalo wengi hawalijui ni kwamba mwaka 1988 yeye alipelekwa wilaya ya Masasi kuwa Katibu wa CCM na alimkuta mzee Mkapa akiwa ni mbunge.
Kikwete anasema walikuwa marafiki wa kweli hata mwaka 1995 yeye ( Kikwete) alipoburutwa kugombea urais bado alikuwa anamuunga mkono mzee Mkapa kama chaguo sahihi la wakati huo.
Kikwete anasema anamshukuru mzee Mkapa pamoja na ukweli kuwa walishindana kwenye urais lakini hakutana kumpoteza kisiasa bali alimteua kushika wizara nyeti ya Mambo ya nje kwa kipindi cha miaka na kumuwezesha kutimiza ndoto yake ya kuwa Rais katika muda muafaka yaani 2005.
Chanzo: BBC Dira ya Dunia!
Sawa mkuu!Pia ongezea, "Tulikuwa tunazungumza kuhusu Uchaguzi na CCM yetu.... ingawa nilivyokuwa naongea nae akasema Tumbo ndio linamsumbua kidogo" Mh Kikwete alivyokuwa akihojiwa na Zuhura Yunus wa BBC.
Kwa mujibu wa JK!Kwa hiyo Mkapa ugonjwa wake unahusiana na tumbo kumsumbua..
Pia ongezea, "Tulikuwa tunazungumza kuhusu Uchaguzi na CCM yetu.... ingawa nilivyokuwa naongea nae akasema Tumbo ndio linamsumbua kidogo" Mh Kikwete alivyokuwa akihojiwa na Zuhura Yunus wa BBC.
Ongeza sauti mpaka MWANANZILA akusikieRais mstaafu Kikwete amesema jambo ambalo wengi hawalijui ni kwamba mwaka 1988 yeye alipelekwa wilaya ya Masasi kuwa Katibu wa CCM na alimkuta mzee Mkapa akiwa ni mbunge.
Kikwete anasema walikuwa marafiki wa kweli hata mwaka 1995 yeye ( Kikwete) alipoburutwa kugombea urais bado alikuwa anamuunga mkono mzee Mkapa kama chaguo sahihi la wakati huo.
Kikwete anasema anamshukuru mzee Mkapa pamoja na ukweli kuwa walishindana kwenye urais lakini hakutana kumpoteza kisiasa bali alimteua kushika wizara nyeti ya Mambo ya nje kwa kipindi cha miaka na kumuwezesha kutimiza ndoto yake ya kuwa Rais katika muda muafaka yaani 2005.
Chanzo: BBC Dira ya Dunia!
Kwa hiyo Mkapa ugonjwa wake unahusiana na tumbo kumsumbua..
Bwana kampenda zaidi. R.I.PPia ongezea, "Tulikuwa tunazungumza kuhusu Uchaguzi na CCM yetu.... ingawa nilivyokuwa naongea nae akasema Tumbo ndio linamsumbua kidogo" Mh Kikwete alivyokuwa akihojiwa na Zuhura Yunus wa BBC.
Hili ni dongo la kiana kwa Mkulu kwa njinsi alivyo mgongagonga Camilius na hata kutaka kumpoteza kabisa ktk ulingo wa kisiasa. Hii ndiyo hekima itokanayo na watu wenye uelewa mpana wa mambo ya kidiplomasia na uhusiano wa kimataifa.Rais mstaafu Kikwete amesema jambo ambalo wengi hawalijui ni kwamba mwaka 1988 yeye alipelekwa wilaya ya Masasi kuwa Katibu wa CCM na alimkuta mzee Mkapa akiwa ni mbunge.
Kikwete anasema walikuwa marafiki wa kweli hata mwaka 1995 yeye ( Kikwete) alipoburutwa kugombea urais bado alikuwa anamuunga mkono mzee Mkapa kama chaguo sahihi la wakati huo.
Kikwete anasema anamshukuru mzee Mkapa pamoja na ukweli kuwa walishindana kwenye urais lakini hakutaka kumpoteza kisiasa bali alimteua kushika wizara nyeti ya Mambo ya nje kwa kipindi cha miaka 10 na kumuwezesha kutimiza ndoto yake ya kuwa Rais katika muda muafaka yaani 2005.
Chanzo: BBC Dira ya Dunia!
Usituhamishe- watu wanaongea mambo ya maana wewe unaleta u Camilius wako- si amekuja huko kwenu ACT-WazalendoHili ni dongo la kiana kwa Mkulu kwa njinsi alivyo mgongagonga Camilius na hata kutaka kumpoteza kabisa ktk ulingo wa kisiasa. Hii ndiyo hekima itokanayo na watu wenye uelewa mpana wa mambo ya kidiplomasia na uhusiano wa kimataifa.