Kikwete: Pamoja na kushindana sana na Mkapa 95 hakunigongagonga nipotee, alisimama nami

Kamnanga tena mzee baba[emoji23]
 
Hili ni dongo la kiana kwa Mkulu kwa njinsi alivyo mgongagonga Camilius na hata kutaka kumpoteza kabisa ktk ulingo wa kisiasa. Hii ndiyo hekima itokanayo na watu wenye uelewa mpana wa mambo ya kidiplomasia na uhusiano wa kimataifa.
Kwani Magufuli alipambana na Membe?,
Membe aliumana na Lowassa na wote walipigwa chini .
Mbaya zaidi Membe hajamkubali Magufuli,anamuhujumu ,unategemea Magufuli achekecheke ?
Mbona Jakaya alimmaliza Lowassa?,hilo hamlioni?
 
January Makamba !!!!
 
Magufuli AMEWAFURUSHA washindani wake wote mahiri na tishio aliotinga nao kwenye ile tano bora Mkuu.
 
Kwanza ule uchaguzi wa 1995, hakushinda.
huyu mkwere yeye 2005, alishinda halafu 2010 hakushinda.

Hii nchi mchezo wa kuwa na marais ambao hawakushinda uchaguzi yalianza na huyu mkapa, kabla ya yapo mwinyi na nyerere walikuwa wanavishinda vivuli, sababu walikuwa wanagombea kura against vivuli vyao.

hawa marais hawa kama Jiwe ambao wameingia madarakani kwa hila wana hulka ya kuwa na tabia ya ukorofi sababu hawajui adui yao ni nani.
 
Hili ni dongo la kiana kwa Mkulu kwa njinsi alivyo mgongagonga Camilius na hata kutaka kumpoteza kabisa ktk ulingo wa kisiasa. Hii ndiyo hekima itokanayo na watu wenye uelewa mpana wa mambo ya kidiplomasia na uhusiano wa kimataifa.
Wewe hujui Kikwete akiwa waziri wa mambo ya nje kuna watu walienda kumchongea kwa Mkapa,ilibidi Kikwete aende kulia kwa Mzee Mkapa
 
Baada ya kutogongwa gongwa, yeye alifanya nini kwa wapinzani wake? Ni mkapa huyu aliyewahi kuzomewa barabarani na waliojiita wana-mtandao. Ni mkapa huyu aliyeshindwa kabisa kuhudhuria makusanyiko ya kitaifa kwa kuzomewa. Ni mkapa huyu aliyeitwa mahakamani kutoa ushahidi wa tuhuma za wizi wa balozi Mahalu. Tusipende kujipendekeza kwa marehemu.
 
Tatizo la wanaogongwa gongwa Sasa ni kuendelea kujifurukutisha seriously kutokezea juu katikati ya term held, hakuna binadamu yeyote mwenye akili timamu na endelevu anaweza ruhusu huo ujinga.
Mwambie ashindane na JIWE aone kama atapewa staha ya kuto kugongwa gongwa, kama aliopewa na Mkapa.
 
2003 Nec iliyofanyika Znz lilipikwa zengwe la kumnyofoa Jakaya… Philip alitoka kichwa chini baada ya Mkapa kuwachana live wafitini

Nataman Jk asiweke sana Diplomasia kwny kitabu chake aoneshe mabonde na Makorongo ya Kisiasa aliyopitia 1995-2005 na namna alivyosaidiwa na Mkapa ikiwemo report ya kina Paul Sozigwa iliyojaa fitna na husda…
Wewe hujui Kikwete akiwa waziri wa mambo ya nje kuna watu walienda kumchongea kwa Mkapa,ilibidi Kikwete aende kulia kwa Mzee Mkapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…