ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,048
- 6,199
Tatizo la wanaogongwa gongwa Sasa ni kuendelea kujifurukutisha seriously kutokezea juu katikati ya term held, hakuna binadamu yeyote mwenye akili timamu na endelevu anaweza ruhusu huo ujinga.
Sentensi kama hiii huwafanya walio hai kuendeleza ujinga wakitegemea wakifa mtakuwa sympathy na familia zao kuwaombea wakale raha mbinguni.Marehemu anatakiwa asimangwe kiainaaina hadi waliobaki wachungulie vioo kukagua sura zao.Bwana kampenda zaidi. R.I.P
Takataka.Mkapa ni Rais mzuri kama wengine, alijenga nidhamu kwenye serikali na kupunguza mfumuko wa bei!!
Mkapa aliondoa pesa nyingi kwenye mzunguko ili kuwatesa raia na kutaka wamtukuze kama ilivyo hulka ya baadhi ya watu wafupi! Mkapa aliharibu kabisa uchumi kupitia uwekezaji wa kukurupuka na hili ameandika mwenyewe anakiri kwenye kitabu chake!! kuna madai ya ufisadi pia yanamhusu kujimilikisha migodi sijui , huko serikalini wanamjua! Mkapa alikuwa mwizi wa mali ya umma kama wezi wengine tu!! lets call a spade a spade!!
ila Mkapa alichangia kufanya nchi kuwa masikini kupitia sera ya ujamaa, huyu alikuwa mjamaa kama Nyerere na Mkulu, i doubt if these excellencies understood/ understand what is ujamaa maana hata wazungu hawakuelewa falsafa ya Nyerere iliyofanya tubaki maskini hadi leo badala ya kuandika socialism wazungu waliacha ibaki Ujamaa!!
Mkapa Ni katika genge la viongozi lile lenye mawazo ya kikoloni mimi ninaloamini ni kikwazo cha maendeleo na litakwisha in 30 years na nchi hii itahamia CAPITALISM and english from chekechea to university na kupaa kiuchumi!!
Mkapa Ni mbaguzi wa kidini wa wazi na muumini wa mfumo kristo manake hata Waziri Mkuu aliweka mkristo mwenzake bila aibu kwa miaka kumi yote Mr Zero , Sumaye!
Mkapa hakuwahi kuwa kiongozi bali mtawala kama Karl Peters (mkono wa damu) mwenye dharau kubwa kwa waandishi wa habari weusi na raia wake aliowaita ‘Malofa’ kwa kuwa alijua kuongea English kwa ufasaha!!
bongo ina mkosi sana ni nchi imeongozwa na watawala wengi kiongozi wa bongo tangu tupate uhuru ni mmoja tu Mkwere japo Magu ni mixed ( mtawala 50/50kiongozi) , Mkwere mtukane tani yako hana habari!!
By the way huyu mkoloni mweusi Mkapa amekufa kwa ugonjwa gani? tuambieni wanaojua. kwanini hawasemi Mkapa amekufa kwa kitu gani??? halafu kuna bumbuwazi watu wote wanakwepa kuzungumzia au basi hata kuuliza Mkapa kama kwa nini??
I am very sorry to repeat that common people na malofa hawakuweza kumsogelea Mkapa akiwa hai sasa watapita uwanjani kwake kwa misusuru na kumsimanga na kumwambia nyoo, kafiri mkubwa ulituona malofa amka sasa hapo ulipolala we si mbabe! wengine watasema kafiri mwingine kaenda!! wengine watasema Mzee now you are nothing and soon you will become manure!!
HII mambo ya wakristo haifai mtu akifa Kulazwa kwenye masanduku na kuanikwa kila mtu hata wasiokujua wakuone umekwisha umebadilika rangi kuwa kahawia na kuanza kuoza na kutoa harufu ya ajabu yafaa kuwa fundisho kwa viongozi wa juu waliobaki kutenda mema kwa nchi kama Magu maana na wao wataanikwa kama huyu labda wafe na Korona!!
mimi ni muslim nafurahi nikifa sitaanikwa kama hawa viongozi makafiri wanakandamiza waislam kwa mfumo kristo na kuishia kuanikwa uwanjani kama huyu, manake binadamu wengine wenye raha na utukufu na itifaki duniani huwa hawataki kufa sasa roho zao hutolewa kwa minyororo na ziraili sasa hufa kwa shida na kuiacha sura kubakia ya kutisha baada ya roho kutoka! haya Mkapa kapata nini sasa ameiacha dunia iliyomtukuza amekwenda mbele ya Allah na dhambi za kudhulumu waislam haki zao , kwa imani ya kiislam hukumu yake anayo Allah, kulu nafsi dhaalikatul maut.
I am building up a new tradition mtu mwenye mamlaka ya umma akifa kama hivi raia tusifiche machafu yao tuwatukane wafu hawa kwa kila baya walilofanya kwa raia masikini ili viongozi walio hai waone wafu wanatukanwa nao watutundee haki manake kifo na kuanikwa uwanjani watu wapite kuwakagua havikwepeki!!
Mungu amuweke Mkapa mahali panapomstahili!!
Wajumbe siyo watu, wacha mtengwe!Marehemu hasemwi vibaya ila katika kitabu chake ametutenga sie wajumbe wa darasa la saba ile lugha aliyotumia mule sio rafiki kwetu
Ogopa sana watu wanaokutana na shetani kwanza, halafu wanajidai kumuona Mungu baadaye.Che Nkapa alipoanza Urais wake, alikuwa na maneno na matendo ya kuhalalisha na kulazimisha UMINYWAJI wa haki hivyo hivyo.
Akaharibu kwingi sana; LAKINI moyoni mwake alikujayatambua makosa yake akayajutia na KUTUBU.
Yapo mengi ya kujifunza kwake ili kujiepusha kurudia makosa yaleyale, kwa faida ya wa TZ na TAIFA zima kwa ujumla.
Kwani wahenga walisema ; ".........wenye busara hukubali kujifunza .......... kupitia makosa ya wenzao......." . AMEN
Kama Yesu wa Burigi?Ogopa sana watu wanaokutana na shetani kwanza, halafu wanajidai kumuona Mungu baadaye.
Huyo ndiye mzee wa msoga.Kamnanga tena mzee baba[emoji23]
Rais mstaafu Kikwete amesema jambo ambalo wengi hawalijui ni kwamba mwaka 1988 yeye alipelekwa wilaya ya Masasi kuwa Katibu wa CCM na alimkuta mzee Mkapa akiwa ni mbunge.
Kikwete anasema walikuwa marafiki wa kweli hata mwaka 1995 yeye ( Kikwete) alipoburutwa kugombea urais bado alikuwa anamuunga mkono mzee Mkapa kama chaguo sahihi la wakati huo.
Kikwete anasema anamshukuru mzee Mkapa pamoja na ukweli kuwa walishindana kwenye urais lakini hakutaka kumpoteza kisiasa bali alimteua kushika wizara nyeti ya Mambo ya nje kwa kipindi cha miaka 10 na kumuwezesha kutimiza ndoto yake ya kuwa Rais katika muda muafaka yaani 2005.
Chanzo: BBC Dira ya Dunia!
NimekuripotiMkapa ni Rais mzuri kama wengine, alijenga nidhamu kwenye serikali na kupunguza mfumuko wa bei!!
Mkapa aliondoa pesa nyingi kwenye mzunguko ili kuwatesa raia na kutaka wamtukuze kama ilivyo hulka ya baadhi ya watu wafupi! Mkapa aliharibu kabisa uchumi kupitia uwekezaji wa kukurupuka na hili ameandika mwenyewe anakiri kwenye kitabu chake!! kuna madai ya ufisadi pia yanamhusu kujimilikisha migodi sijui , huko serikalini wanamjua! Mkapa alikuwa mwizi wa mali ya umma kama wezi wengine tu!! lets call a spade a spade!!
ila Mkapa alichangia kufanya nchi kuwa masikini kupitia sera ya ujamaa, huyu alikuwa mjamaa kama Nyerere na Mkulu, i doubt if these excellencies understood/ understand what is ujamaa maana hata wazungu hawakuelewa falsafa ya Nyerere iliyofanya tubaki maskini hadi leo badala ya kuandika socialism wazungu waliacha ibaki Ujamaa!!
Mkapa Ni katika genge la viongozi lile lenye mawazo ya kikoloni mimi ninaloamini ni kikwazo cha maendeleo na litakwisha in 30 years na nchi hii itahamia CAPITALISM and english from chekechea to university na kupaa kiuchumi!!
Mkapa Ni mbaguzi wa kidini wa wazi na muumini wa mfumo kristo manake hata Waziri Mkuu aliweka mkristo mwenzake bila aibu kwa miaka kumi yote Mr Zero , Sumaye!
Mkapa hakuwahi kuwa kiongozi bali mtawala kama Karl Peters (mkono wa damu) mwenye dharau kubwa kwa waandishi wa habari weusi na raia wake aliowaita ‘Malofa’ kwa kuwa alijua kuongea English kwa ufasaha!!
bongo ina mkosi sana ni nchi imeongozwa na watawala wengi kiongozi wa bongo tangu tupate uhuru ni mmoja tu Mkwere japo Magu ni mixed ( mtawala 50/50kiongozi) , Mkwere mtukane tani yako hana habari!!
By the way huyu mkoloni mweusi Mkapa amekufa kwa ugonjwa gani? tuambieni wanaojua. kwanini hawasemi Mkapa amekufa kwa kitu gani??? halafu kuna bumbuwazi watu wote wanakwepa kuzungumzia au basi hata kuuliza Mkapa kama kwa nini??
I am very sorry to repeat that common people na malofa hawakuweza kumsogelea Mkapa akiwa hai sasa watapita uwanjani kwake kwa misusuru na kumsimanga na kumwambia nyoo, kafiri mkubwa ulituona malofa amka sasa hapo ulipolala we si mbabe! wengine watasema kafiri mwingine kaenda!! wengine watasema Mzee now you are nothing and soon you will become manure!!
HII mambo ya wakristo haifai mtu akifa Kulazwa kwenye masanduku na kuanikwa kila mtu hata wasiokujua wakuone umekwisha umebadilika rangi kuwa kahawia na kuanza kuoza na kutoa harufu ya ajabu yafaa kuwa fundisho kwa viongozi wa juu waliobaki kutenda mema kwa nchi kama Magu maana na wao wataanikwa kama huyu labda wafe na Korona!!
mimi ni muslim nafurahi nikifa sitaanikwa kama hawa viongozi makafiri wanakandamiza waislam kwa mfumo kristo na kuishia kuanikwa uwanjani kama huyu, manake binadamu wengine wenye raha na utukufu na itifaki duniani huwa hawataki kufa sasa roho zao hutolewa kwa minyororo na ziraili sasa hufa kwa shida na kuiacha sura kubakia ya kutisha baada ya roho kutoka! haya Mkapa kapata nini sasa ameiacha dunia iliyomtukuza amekwenda mbele ya Allah na dhambi za kudhulumu waislam haki zao , kwa imani ya kiislam hukumu yake anayo Allah, kulu nafsi dhaalikatul maut.
I am building up a new tradition mtu mwenye mamlaka ya umma akifa kama hivi raia tusifiche machafu yao tuwatukane wafu hawa kwa kila baya walilofanya kwa raia masikini ili viongozi walio hai waone wafu wanatukanwa nao watutundee haki manake kifo na kuanikwa uwanjani watu wapite kuwakagua havikwepeki!!
Mungu amuweke Mkapa mahali panapomstahili!!
JK anazungumzia 3 bora siyo 5 bora!January Makamba !!!!
Kapenda ndiyo kwa sababu anatamani urais na kwenye CCM nafasi hiyo imeshajazwa hadi 2025,kwa hiyo kwa sababu anataka urais kaondoka kwa hiari yake kwenda ambako anaweza kutimiza ndoto yake hiyo.Kwani Membe kaondoka CCM kwa kupenda?
Rais mstaafu Kikwete amesema jambo ambalo wengi hawalijui ni kwamba mwaka 1988 yeye alipelekwa wilaya ya Masasi kuwa Katibu wa CCM na alimkuta mzee Mkapa akiwa ni mbunge.
Kikwete anasema walikuwa marafiki wa kweli hata mwaka 1995 yeye ( Kikwete) alipoburutwa kugombea urais bado alikuwa anamuunga mkono mzee Mkapa kama chaguo sahihi la wakati huo.
Kikwete anasema anamshukuru mzee Mkapa pamoja na ukweli kuwa walishindana kwenye urais lakini hakutaka kumpoteza kisiasa bali alimteua kushika wizara nyeti ya Mambo ya nje kwa kipindi cha miaka 10 na kumuwezesha kutimiza ndoto yake ya kuwa Rais katika muda muafaka yaani 2005.
Chanzo: BBC Dira ya Dunia!
Meko n member he?
Mkapa was a gentleman
Hili ni dongo la kiana kwa Mkulu kwa njinsi alivyo mgongagonga Camilius na hata kutaka kumpoteza kabisa ktk ulingo wa kisiasa. Hii ndiyo hekima itokanayo na watu wenye uelewa mpana wa mambo ya kidiplomasia na uhusiano wa kimataifa.
Kasome kitabu cha Che Nkapa wahitaji kuelewa na kuwaelewesha wengine huko Lumumba.Kapenda ndiyo kwa sababu anatamani urais na kwenye CCM nafasi hiyo imeshajazwa hadi 2025,kwa hiyo kwa sababu anataka urais kaondoka kwa hiari yake kwenda ambako anaweza kutimiza ndoto yake hiyo.