Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
Kumbe!yap ni kweli mzee Kikwete ana utu.
kwa kuongezea mke wa Gerald ni mtoto wa mzee Mohamed,huyu mzee Mohamed alikua ni mstaafu wale jamaa wa K-nyama.
na mie nilikuepo pale msibani na nimeguswa na msiba huu sana...Jamani habari wanajf, ukweli Rais Mstaafu Dkt. Kikwete ni kiongozi wa kipekee Sana tangu nianze kuwafahamu viongozi wengine. Ni kiongozi anayeguswa na matatizo ya watu moja kwa moja hasa misiba, na matukio ya kijamii. Mhe. Kikwete hajawahi kusikia Msiba kwa watu ambao unafikika akashindwa kufika. Ni Kiongozi aliyejishusha kuliko. Nani kiongozi Kama Dkt. Kikwete. Ubarikiwe Sana Mhe. Tumuombe Sana huyu kiongozi wetu Mstaafu. Leo nimemuona kwenye Msiba wa mke wa mtangazaji Gerald Hando. Viva Dkt. Kikwete.
Trust me ungekuwa na status kama ya mzee JK unajiona kekina mie nilikuepo pale msibani na nimeguswa na msiba huu sana...
, Je, sistahili Baraka kama hizo unazomuombea JK, na sistahili kuombewa pia kama JK?
JK ni kiongozi, ameguswa na hujihusisha ktkt matukio mbalimbali katika Jamii mathalani misiba....
Pia mie ni kiongozi ninaeguswa na kujihusisha na matukio miongoni mwa Jamii kama vile misiba nastahili Baraka, maombi na kutambulika pia au unaonaje [emoji205]
mitusi napokea pia....
yaani mimi niwe keki? hiyo no, hapana siwezi kubali 🐒Trust me ungekuwa na status kama ya mzee JK unajiona keki
Kama muungwana angemchinjia shosti yake Lowasa bahariJamani habari wanajf, ukweli Rais Mstaafu Dkt. Kikwete ni kiongozi wa kipekee Sana tangu nianze kuwafahamu viongozi wengine. Ni kiongozi anayeguswa na matatizo ya watu moja kwa moja hasa misiba, na matukio ya kijamii. Mhe. Kikwete hajawahi kusikia Msiba kwa watu ambao unafikika akashindwa kufika. Ni Kiongozi aliyejishusha kuliko. Nani kiongozi Kama Dkt. Kikwete. Ubarikiwe Sana Mhe. Tumuombe Sana huyu kiongozi wetu Mstaafu. Leo nimemuona kwenye Msiba wa mke wa mtangazaji Gerald Hando. Viva Dkt. Kikwete.
mkuu wewe pia unastahili pongezi hakika una moyo wa utu.na mie nilikuepo pale msibani na nimeguswa na msiba huu sana...
, Je, sistahili Baraka kama hizo unazomuombea JK, na sistahili kuombewa pia kama JK?
JK ni kiongozi, ameguswa na hujihusisha ktkt matukio mbalimbali katika Jamii mathalani misiba....
Pia mie ni kiongozi ninaeguswa na kujihusisha na matukio miongoni mwa Jamii kama vile misiba nastahili Baraka, maombi na kutambulika pia au unaonaje 🐒
mitusi napokea pia....
Mkuu, unastahili mara 100 ya yule mzee. Yule mzee namuonaga ni Mnafiki mkubwa.na mie nilikuepo pale msibani na nimeguswa na msiba huu sana...
, Je, sistahili Baraka kama hizo unazomuombea JK, na sistahili kuombewa pia kama JK?
JK ni kiongozi, ameguswa na hujihusisha ktkt matukio mbalimbali katika Jamii mathalani misiba....
Pia mie ni kiongozi ninaeguswa na kujihusisha na matukio miongoni mwa Jamii kama vile misiba nastahili Baraka, maombi na kutambulika pia au unaonaje
mitusi napokea pia....
Haswaaa mkuu
Ni kweli, mzee Kikwete ni mtu muungwana sana. Nasubiri kitabu chake nione alizaliwa na kukulia katika mazingira gani. Mimi huwa naamini tabia za mtu zinauhusiano mkubwa na aina ya familia aliyokulia.
Inawezekana nawe una moyo kama wake ila yeye ni Kiongozi anayejukikana pakubwa.na mie nilikuepo pale msibani na nimeguswa na msiba huu sana...
, Je, sistahili Baraka kama hizo unazomuombea JK, na sistahili kuombewa pia kama JK?
JK ni kiongozi, ameguswa na hujihusisha ktkt matukio mbalimbali katika Jamii mathalani misiba....
Pia mie ni kiongozi ninaeguswa na kujihusisha na matukio miongoni mwa Jamii kama vile misiba nastahili Baraka, maombi na kutambulika pia au unaonaje [emoji205]
mitusi napokea pia....
Ma Don wa Mafia wale Mafioso Capo di Tutti Capi lazima wawe hivyo.Kuna mshua moja alikua jirani hapa mtaani alikua mtu poa sana ni mtu anayeguswa na matatizo ya watu hasa misiba yuko sikukuu atapita nyumba za wahitaji na kutoa kama ni pesa atawapa zawadi atatoa pia ila siku amekuja kukamatwa pale kwa kufanya biashara ya dawa za kulevya hakuna aliyeamini kila jirani alimtetea lakini ndo ilibaki hivyo
Hahahaha wanaformula tamu sana ya maishaMa Don wa Mafia wale Mafioso Capo di Tutti Capi lazima wawe hivyo.
Wako active sana kanisani, wanasaidia sana jamii.
Lakini kwenye u Mafia sada...
Unamjua mtu anaitwa Rugemalira?Hahahaha wanaformula tamu sana ya maisha