MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Unamjua mtu anaitwa Rugemalira?
Akitembea anatembea na rozari ile ya Roman Catholic huku anasali kashikilia rozari.
Aligawa pesa kama Mansa Musa. Mpaka wenzake wakamuambia punguza kaka, utashusha chini thamani ya pesa na kuharibu viwango rasmi ya hongo vinavyoeleweka.
Ule mzigo wa ESCROW ulishusha sana thamani ya pesa ya Tanzania dhidi ya dola, nilikuwa PCCB mwaka 2014 na kigogo mmoja akanipa tafiti zilizofanywa. Sasa bwana, wana habari walivyomfuata Bishop Kilaini kuuliza kwanini alipokea pesa za Rugemalira, akasema mbona hizi ni kidogo, kwamba Rugemalira hutoa mamilioni ya fedha kama sadaka. Don ambaye ni Stingy hapa TZ ni Andrea wa Bariadi.