Kikwete (Rais Mstaafu) ni Muungwana kuliko, mwenye huruma na utu uliopitiliza

Mkuu hii simulizi inatufunza kitu. Ipo siku ataingia Yohana mwingine pale ofisi kuu atawatapisha watu pesa ya DP World.
Tunaombea sana, nchi ikiwa haina mtu imara inakoswa kuheshimika ndani na nje ya mipaka
 
Yule Muhaya alizidisha sifa sasa.
Anahonga hadi maaskofu?
 
Nchi hii inahitaji uongozi imara na thabiti na si uongozi wa kuuma na kupuliza kama wa JK. Yule mzee hakuwa na hayuko kwa maslahi ya nchi yaani yeye ni maslahi yake binafsi na watu wake. Kaiibia nchi na kuitia hasara sana.
 
Kikwete!!!kweli tunamjua!

Aliiba na wenzake hata masikini wa chini alijitahidi wizi ukawafikia!

Matajiri waliowengi was Sasa na wenye unafuu was maisha ni matokeo ya utawala wake!

Maisha Bora kwa kila mtanzania!!

Namuombea walau auone umri wa mwinyi senior!!
 
Kikwete ni msanii tu, hana lolote. Hakuna rais mnafiki kama yeye
 
Kama umetumwa kamwambie aliyekutuma atuondolee hii kero ya foleni ya Kibaha Vigwaza. Uwezo huo anao.
 
hahahaa mh! napita tu, me napenda movie za mauaji na ujasusi
 
Mswahili ameishi maisha ya changanyikeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…