Kikwete siyo safi! - yes I said it!

Kikwete siyo safi! - yes I said it!

paka hawezi kumhukumu paka mwenziye kwa kesi ya panya
zaidi watafanya njama zingine za kumfanya kitoweo
mtu safi kamwe hawezi kufanana na uchafu,

jk ni haramu kama haramu zingine, vipi leo asimame kando
na kuweza hukumu mti ambao naye kakalia kuti lake?
atauzungumziaje ubaya wa chakula alichoshiriki kukipika?

ni vigumu kumkuta mbuzi katika ya kundi la Simba akijaribu
kuwaonya na kuwashutumu juu ya kuwaonea digidigi,

hivyo naye ni hatari kwa ubadhirifu na uizi wa mali za umma,

tuwe macho na majasiri wa kukemea uovu na uchafu ndani ya jamii
 
tumeshaongea sana... our problem is systemic! and to clear this problem it needs more than maneno au a few new faces kwenye utendaji... we need to review or constitution, our conducts, restructure bunge na structure nzima ya serikali. inawezekana kabisa baada ya haya ndio tukasema president ni msafi au la

looking at the current system, kila rais atakayekuja atakua anatoka kwenye kundi dogo ambalo liko kwenye power, so dont expect any changes na pia kumlaumu JK alone may not be useful kwani he is just one in over 2000 people riding high in our country leadership hierarchy
 
Kumbe hii ni issue kabisa ! Lakini hawa watu wana roho ngumu kweli kweli --!!
 
Je, ni waTZ wangapi wanalijua hili?
ama ndio sisi tu wa mujini ndo tunapata nafasi nafasi japo ya kusoma hizi threads etc,amba ni asilimia chache sana.
natumai habari hizi zikiwafikia hata wale wavijijini na kuzielewa ipasavyo natumai tutapata viongozi walio bora zaidi na kuondokana na wehu huu wa chagua chama na si chagua mtu kwa maendeleo.

Bravoo MMk
 
Rais ni lazima we mtu ambaye hapuuzii masuala mazito na hayafanyi kuwa ni ya kijinga. Kwa mtu kuwa mpinzani hakuifanyi hoja yake kuwa "kelele". Leo hii wana CCM wenzake wanazungumza wazi kuhusu tuhuma hizi na kudai kuwa wanaotuhumiwa (akiwemo yeye mwenyewe) wajibu siyo suala la kupuuzia!

Leo hii watu wakihoji mazingira ya kusainiwa mkataba huo kwanini hiyo iitwe kelele!

Vinginevyo, Rais Kikwete atakuwa ni Rais wa kwanza kutawala kwa mhula mmoja!!

MKJJ, pamoja na kuita hiyo ni KELELE, yeye anapenda sana kusema hiviiii.........MIMI RAISI BWANA!!!
Haya habari ndo hiyo!
 
Mwanakijiji, hayo uliyoyasema yana ukweli kabisa na hayapingiki labda kwa atakayeamua kuwa kipofu wa ukweli!!
 
Two Canadian companies, Barrick Gold Corporation and Tanzania Royalty Exploration (TRE) Corporation, control over 50 percent of Tanzania's gold projects. Barrick owns three of the seven major gold mining projects in Tanzania; TRE controls over 60 percent of the mining rights in the mineral rich area of Lake Victoria. These and other foreign corporations have made windfall profits out of the more than $2 billion earned in gold exports in the past decade when tax exemptions were de rigueur. (See NewsNotes, May-June 2008.)

Huyo ndiye James Synclair, swahibaye JK
 
ebwana hiyo ni njema sana sasa tatizo la ss wadanganyika tukipewa vishati na vimbege kidogo tunasahau.ww uliwona wale wazee wa karimjee?wale utawaambia nn kuhusu CCM wanaweza wakakuapiza.Vijana tuamke huu ndio wakati wetu wa kuikomboa nchi yetu
 
Mmenitia hasira sana, unajua nilikuwa najiuliza huyu ni mtu wa aina gani hafanyi kazi hata ! haonekani kama kiongozi? sijui kazubaaa au nisemeje kumbe ana yake. Mob psychology inatuumiza na tunaojua ni wachache sana maana toka 2005 nilikuwa najiuliza watu wanampenda huyu amewahi kufanya nini cha ajabu utakuta hamna. Mimi sijilaumu maana sikumpa kula yangu na mwaka huu mimi na familia yangu woote hatumpi kula na nitawaambia na marafiki tusimpe kula. Wana JF waambieni wana familia wenu, ndugu zenu na marafiki/jirani wasimpe kula jamaa amaetharibia nchi huyu. Na wana JF ambao hamjajiandikisha nendeni mkajiandikishe weekend ili tusimpe kula.
 
Naionea huruma sana tanganyika,watu wameteswa na njaa makusudi ili akili zidumae na kweli zimedumaa.ndg wana jf nandani asilimia kubwa yenu mpo mjini kama kuna wavijijini ni wachache sana ,mimi nawahakikishieni vijijini kazi ipo.mimi naishi kijijini kilomita 45 kutoka makao makuu ya mkoa na wilaya.ukiongea vibaya kuhusu mr presdaa unaweza ukuaamka asubuhi ukajikuta umelala nje. Hotuba ya wazee wadarisalama niliicheki hapahapa bush walikuwa wanashangilia ile mbaya baada ya hapo mtu anakujia na kukuomba msaada watoto watalala njaa,ajabu iliyo je ? Ukimwuliza kwa nini watoto walale njaa anasema hahakuna pesa mazao yamekauka .serikali je anakuambia haina hela .unajua mbunge wako analipwa sh ngapi? Hakuelewi .hao ndio watanzania karibu milioni 35.kwa nini wasipate ushindi wa kishindo? Kama tunataka kuikomboa nchi yetu wana jf tuna kazi nzito ya kufanya,kuna gharama kuikomboa nchi. Kutoka kwa wakoloni ilikuwa rahisi kuliko sasa kwa sababu wakoloni walikuwa nakwao pakukimbilia sasa hawa wakoloni ndugu hawana pa kwenda watatumia gharama zote ,lakini nawahakikishieni hawata shinda na natamani kuushuhudia mwisho wao ningali hai.wapo wtz waliojitolea hata uhai ili waikomboe nchi hata ccm wapo tuwaunge mkono twende vijijini tukaelimishe uma kwanza.mwaka huu mafisadi watashinda kwa staili ileile lakini naamini baada ya kishindo tutashuhudia sarakasi za mwisho ngoma imeshalia sana inasubiri kupasuka.aluta kontinua
 
Naona sasa wakati umefikia wa mimi kubadili jina....maana hii misamiati yenu mnayotumia neno/jina "nyani" saa ingine hunipa shinikizo...

usibadili bana...we vumilia tu kiongozi hawakusemi wewe..hahaaaaaaa
 
hakika Mwanakijiji, narudia yale uliyoyasema Kikwete si safi.
 
Tatizo la nchi wana JF nI WANANCHI KUWA VIPOFU WA NINI KINACHOENDELEA NCHINI MWAO hasa vijijini ambapo kwa umasikini uliopo sio huduma za internet tu hata vyombo vya habari kama radio na magazeti hawavipati.Mi mwenyewe naishi kijijini lakini wananchi hawaelewi A wala BE wanabaki kusubiri pombe,tshirts,vilemba, kanga,pilao na pesa uchwara za nyumba kwa nyumba.

KWELI UNAMPA MTU MIAKA MITANO ATAFUNE RAHA MPAKA MWISHO KW PILAO NA ELFU KUMI Mwanakijiji na wengine we have along way to go for our liberation.:target:

Tunahitaji mapinduzi ya kifikra tena haraka kabla hatujaumia zaidi:angry:😛ainkiller:
 
tumeshaongea sana... our problem is systemic! and to clear this problem it needs more than maneno au a few new faces kwenye utendaji... we need to review or constitution, our conducts, restructure bunge na structure nzima ya serikali. inawezekana kabisa baada ya haya ndio tukasema president ni msafi au la

looking at the current system, kila rais atakayekuja atakua anatoka kwenye kundi dogo ambalo liko kwenye power, so dont expect any changes na pia kumlaumu JK alone may not be useful kwani he is just one in over 2000 people riding high in our country leadership hierarchy

2000? Aren't you being a bit generous? I think it is more like 5, with another 10 surrounding that inner core and the rest, numbering less than 100 are just lining up in orbits around that central nucleus like electrons!!

2000 is too generous....a nation of 40+ million people is being dragged en masse by 5 leeches!
 
hata wewe sio safi pia kwani kule karibu ya banda la uani kwenye choo cha kienyeji unafanyaje kule?
 
tumeshaongea sana... our problem is systemic! and to clear this problem it needs more than maneno au a few new faces kwenye utendaji... we need to review or constitution, our conducts, restructure bunge na structure nzima ya serikali. inawezekana kabisa baada ya haya ndio tukasema president ni msafi au la

I agree with you, What we do is always talk, talk, and talk, the question is , "What do we do to change the situation?"
 
WA NDUGU MASANJA THIS IS NOT TIME TO JOKE BE SERIOUS!!! HAH! We unafikiri hapa tumekuja ku joke? Nyie ndo mliopewa shati na kofia eh!
 
Back
Top Bottom