Anyisile Obheli
JF-Expert Member
- Dec 13, 2009
- 3,400
- 320
paka hawezi kumhukumu paka mwenziye kwa kesi ya panya
zaidi watafanya njama zingine za kumfanya kitoweo
mtu safi kamwe hawezi kufanana na uchafu,
jk ni haramu kama haramu zingine, vipi leo asimame kando
na kuweza hukumu mti ambao naye kakalia kuti lake?
atauzungumziaje ubaya wa chakula alichoshiriki kukipika?
ni vigumu kumkuta mbuzi katika ya kundi la Simba akijaribu
kuwaonya na kuwashutumu juu ya kuwaonea digidigi,
hivyo naye ni hatari kwa ubadhirifu na uizi wa mali za umma,
tuwe macho na majasiri wa kukemea uovu na uchafu ndani ya jamii