Anyisile Obheli
JF-Expert Member
- Dec 13, 2009
- 3,400
- 320
Rais ni lazima we mtu ambaye hapuuzii masuala mazito na hayafanyi kuwa ni ya kijinga. Kwa mtu kuwa mpinzani hakuifanyi hoja yake kuwa "kelele". Leo hii wana CCM wenzake wanazungumza wazi kuhusu tuhuma hizi na kudai kuwa wanaotuhumiwa (akiwemo yeye mwenyewe) wajibu siyo suala la kupuuzia!
Leo hii watu wakihoji mazingira ya kusainiwa mkataba huo kwanini hiyo iitwe kelele!
Vinginevyo, Rais Kikwete atakuwa ni Rais wa kwanza kutawala kwa mhula mmoja!!
Naona sasa wakati umefikia wa mimi kubadili jina....maana hii misamiati yenu mnayotumia neno/jina "nyani" saa ingine hunipa shinikizo...
tumeshaongea sana... our problem is systemic! and to clear this problem it needs more than maneno au a few new faces kwenye utendaji... we need to review or constitution, our conducts, restructure bunge na structure nzima ya serikali. inawezekana kabisa baada ya haya ndio tukasema president ni msafi au la
looking at the current system, kila rais atakayekuja atakua anatoka kwenye kundi dogo ambalo liko kwenye power, so dont expect any changes na pia kumlaumu JK alone may not be useful kwani he is just one in over 2000 people riding high in our country leadership hierarchy
....a nation of 40+ million people is being dragged en masse by 5 leeches!