Kikwete siyo safi! - yes I said it!

Kikwete siyo safi! - yes I said it!

Msee,
wewe mwenyewe hapo you can make a good presidential advisor bwana alaa, mbona wajiweka nyuma!!!!.

Swali la kujiuliza Rais anafuata ushauri wa washauri wake walioajiriwa kwa kazi hiyo ama anafuata ushauri wa 'wafadhili' wake?
 
1+1=2 au zaidi. Msemo huo huonekana kweli kwenye network, member moja wa JF akipeleka ujumbe kwa watu 5 na wao wakapeleka kwa watu watano zaidi etc. WTZ wote wataelewa huu wizi wa mchana kweupe ambao Mafisadi wanatucheka ujinga lakini anayecheka hivi sasa ajiangalie maana anaweza kuwa wa mwisho kulia kwamba kuna mchezo mbaya umetendeka wakati yeye halioni hilo hivi sasa.

Barrick na kundi lao wanafahamu kwamba time is out right now, wanajaribu ku-serve ngoma lakini waswahili walisema maji yakimwagika hayazoleki.
 
Mimi ninaamini kuwa CCM ikiondolewa mafisadi itakuwa chama kizuri tu. Sidhani kama kuwatetea ni suluhisho hapa. Kina Butiku wameanza na baada ya muda wanaccm wengi watajuwa kuwa chama kimeshatekwa siku nyingi na watadai mabadiliko.

Asante.
 
1+1=2 au zaidi. Msemo huo huonekana kweli kwenye network, member moja wa JF akipeleka ujumbe kwa watu 5 na wao wakapeleka kwa watu watano zaidi etc. WTZ wote wataelewa huu wizi wa mchana kweupe ambao Mafisadi wanatucheka ujinga lakini anayecheka hivi sasa ajiangalie maana anaweza kuwa wa mwisho kulia kwamba kuna mchezo mbaya umetendeka wakati yeye halioni hilo hivi sasa.

Barrick na kundi lao wanafahamu kwamba time is out right now, wanajaribu ku-serve ngoma lakini waswahili walisema maji yakimwagika hayazoleki.

This is what I have been saying too. The time is right now. Subira subira wakati jamaa wanasaini mikataba ya miaka 50 tutajikuta wote tumeuzwa!

Thanks Dua
 
Hapo chini ni qoute kifungu cha maneno cha Rumsfeld, former US DOD Secretary. Kazi kwako je JK si safi au laa!!??

"Reports that say that something hasn't happened are always interesting to me, because as we know, there are known knowns; there are things we know we know. We also know there are known unknowns; that is to say we know there are some things we do not know. But there are also unknown unknowns -- the ones we don't know we don't know."
 
Watu wamezoea sana status quo na hawakubali kuona nchi inavyobadilika haraka hivi

Ni kwa sababu sisi wananchi tumezoea kuwapa hiyo status quo,na time and time again tume-prove kuwa hatuna uwezo wa kutofautisha au kuelewwa our power kwenye kupiga kura,

Hakuna anayejivisha status quo, iula tunawapa kwa kura zetu, sasa tuwaelimishe wananchi kuwa tulikosea kwenye uchaguzi uliopita, sasa ni wakati wa kufanya toifauti,

Lakini kwanza tukubali makosa, maana ndio ustaarabu na ndiyo first step kwenye process ya reforms au re-hab, au?
 
Ni kwa sababu sisi wananchi tumezoea kuwapa hiyo status quo,na time and time again tume-prove kuwa hatuna uwezo wa kutofautisha au kuelewwa our power kwenye kupiga kura,

Hakuna anayejivisha status quo, iula tunawapa kwa kura zetu, sasa tuwaelimishe wananchi kuwa tulikosea kwenye uchaguzi uliopita, sasa ni wakati wa kufanya toifauti,

Lakini kwanza tukubali makosa, maana ndio ustaarabu na ndiyo first step kwenye process ya reforms au re-hab, au?

Kama kweli unasema kuwa tukubali makosa hapa lakini kwenye post zingine unasema kuwa Kikwete ni safi wakati ni prezida na ndio amewachagua hao kina Karamagi na Mramba then nitajua vipi msimamo wako.

Kuambiwa makosa na kukubali ndio kinaendelea hapa ila mkuu wewe unasema kuwa kumsema Kikwete ni unazi wa kichama! Kikwete ameoza na hata mimi nimeshauri kuwa waliompigia kura kuanzia ccm hadi general election wanahitaji kufanyiwa mental evaluation!

Hata hivyo bado nakubali kuwa kuna mengi hapa tunakubaliana kuliko tunayotofautiana. Asante!
 
Ni kwa sababu sisi wananchi tumezoea kuwapa hiyo status quo,na time and time again tume-prove kuwa hatuna uwezo wa kutofautisha au kuelewwa our power kwenye kupiga kura,

Hakuna anayejivisha status quo, iula tunawapa kwa kura zetu, sasa tuwaelimishe wananchi kuwa tulikosea kwenye uchaguzi uliopita, sasa ni wakati wa kufanya toifauti,

Lakini kwanza tukubali makosa, maana ndio ustaarabu na ndiyo first step kwenye process ya reforms au re-hab, au?

Big in capitol letters,YES!!!Tatizo ni wananchi, vijijini na mijini hawana xposure na/au elimu ya kutosha juu ya serikali yao na yale yanayojiri. Wajua kama Kenya, watu wengi wapo xposed so haiwi a up hill battle kama Tanzania, tia elimu vichwani mwa watanzania, then win majority of sits bungeni na mwisho kabisa ndio kuchukua ikulu....lakini sio kukurupuka tu, next time sisiemu wataweka mtu mbovu kuliko JK hapo ndio mtasema afwadhali ya kikwete. Wananchi wa Tzania ni JOKE!!.
 
Je Jakaya Mrisho Kikwete si safi? Mie pia nadhani jibu ni yes!!


"There's another way to phrase that and that is that the absence of evidence is not the evidence of absence. It is basically saying the same thing in a different way. Simply because you do not have evidence that something does exist does not mean that you have evidence that it doesn't exist."
 
Wanabodi,
Shukran sana kwa mawazo mchanganyiko ambayo yote yamekuwa na lengo moja kubwa...KUPATA JIBU la matatizo ya Mdanganyika. Hakuna dawa inayoweza kutibu mgonjwa ikiwa mgonjwa mwenyewe hajaamini kuwa ni mgonjwa.
Nadhani taratibu mnakuja ktk usemi wangu wa miaka yote kuwa UTUMWA ni virus mmoja mbaya sana na ni genetic. Bado wananchi tunaendelea kutawaliwa na viongozi wetu ambao hawaoni aibu wala taabu kutawala kwani ndio lilikuwa lengo la viongozi wengi toka tupate uhuru...
Swali la Kitila linahusu utumwa huu wa mawazo ambao siku zote unatufanya kuwa wanyenyekevu kwa Mtawala tukiogopa ama kuhofia nguvu ya dola. Utumwa ambao ulitufanya tuamini kuwa minofu ya nyama nzuri ni ya kiongozi iwe baba, mjomba ama mgeni rasmi haiwezi kuliwa na mtu mwingine zaidi. Hata kunawa mikono kunatangulia na daraja la mtu ktk familia na huu tukauita ustaarabu wa mwafrika. Juu ya madaraja haya ya kifamilia bado rangi nyeupe ilisimama juu zaidi na hata mtoto mdogo aliweza mtangulia baba kunawa mikono kwa heshima kubwa akiambiwa nawa wewe mgeni!.
Utakuta watu kumi wakitawala maelfu ya watumwa na kati ya hawa watumwa hupatikana Manyapala na askari ambao huwa makatili kuliko mkoloni mwenyewe.
Haya ndio maisha tulikuwa nayo toka vizazi vyetu na hadi leo tunaendekeza maisha yale hata baada ya kuwa na tofauti ya rangi ya mtawala. Imekuwa mbinde kwa wanamapinduzi wengi kuweza kueneza message dhidi ya Uvivu huu wa kufikiri. Nakumbuka Mkapa alituita sisi wavivu wa kufikiri na kwa bahati mbaya tulishindwa kukaa na kutafakari maneno yale badala yake tulishikwa na hasira kisha tukajenga chuki. Was Mkapa wrong? hapana hata kidogo ila ktk Politics na kama kiongozi kweli he was out of the line kwa sababu alitumia maneno yale ktk hoja ambazo zilikuwa muhimu kwetu. Yet haiwezi kubadilisha ukweli kwamba sisi ni wavivu wa kufikiri na ndio maana hadi leo wapo watu wanaounga mkono matendo ya kina Mkapa na viongozi wengine mafisadi.. Tulipomchagua JK ama Mkapa ni wadanganyika gani waliweza kufikiria uwezo wa viongozi hawa na kutaka kuyajua mapungufu yao?.. hakuna! tuliwachagu wote kwa sababu tulielekezwa na wale tuliokuwa tukiamini kwamba wao ndio kazi yao kufikiria.
Majibu ya Karamagi kwa bunge letu kuwa jukumu ya kuipitia mikataba sio kazi yao ni dhahiri inaonyesha wazi kuwa kuna baadhi ya watu wateule ambao ni kazi yao kufikiri. Viongozi wetu ni reflection yetu sisi na ndio maana wapo wengi humu wanaamini kabisa kuwa hata akija nani ktk madaraka lazima ataiba tu na sababu kubwa ni kwamba tunafahamu kuwa wizi tu ndio njia pekee ya ku break huu ukanda wa umaskini. Viongozi wetu hawana tofauti they think the same na kwa bahati wao wamepata nafasi hizo!...Ajabu, we stand to differ while we believe it's the only way out!
Sote kwa pamoja tumezifunga bongo zetu kufikiri na uvivu umechukua nafasi kubwa kiasi kwamba tutaendelea kusifia fisadi yeyote kama alivyosema Kitila kwa mshangao wa tabia hiyo..
Ni ktk msemo ule wa - Ujanja ni kupata!..Ukipata utaondokana na Utumwa UTUMWA= UMASIKINI (wa akili na mali).
Hii ndio ndoto ya kila mwafrika na haina somo kwani bongo zimeshalala kufikiria zaidi ya hapo. haya ndio maradhi ya utumwa kwa hiyo tunapowalaumu wazungu, waarabu na kadhalika inabidi watu mfahamu tunatokea wapi!.. Hivi sasa ni Wadanganyika wachache sana wanaofahamu UKOLONI na madhara yake kiasi kwamba neno mkoloni limetafsirika kama kutawaliwa na mzungu, mwarabu ama rangi nyingine yoyote ile isopokuwa mweusi. na wapo wanaochukia wakisaga meno wanaposikia mtawala mtu mweusi akiitwa mkoloni bila kujali maana halisi ya neno hili.
Sisi wananchi Wadanganyika kama sio waafrika wote huchagua viongozi wanaofanana na hulka yetu sisi wenyewe. Hulka ambayo imetokana na Umaskini wa kufikirii na ndio maana ELIMU kwa mtu mweusi ilikuwa ni elimu ya kujua kusoma na kuandika ktk lugha yao, hatukuhitajika kufikiri toka mkoloni kwani hiyo haikuwa kazi yetu.
Nitarudia kusema kizazi hiki kinanipa tumaini kubwa sana na pengine ktk miaka 10 ijayo wadanganyika wanaweza toka ktk lindi hili la elimu ya kusoma na kuandika. Watafungua bongo zao na kuanza kufikiri bila kumtegemea mtu mweupe.. hadi hapo tutaendelea kuwa watumwa na ndio maana hakuna haja ya Kushangaa kwa nini wananchi aslimia 80 walimchagua JK ama Mkapa kuwa rais. kazi ya kufikiri ilikuwa sii yao ila ya baadhi viongozi ambao kwa uzoba wetu tuliwaona wako karibu na mzungu kwa sababu hawa watawala weusi wamesoma Ulaya ama makuzi yao yalikuwa karibu na wazungu...na huwezi kupata hesabu kubwa ya Manyapala hawa isipokuwa toka chama tawala - CCM.
 
Kama kweli unasema kuwa tukubali makosa hapa lakini kwenye post zingine unasema kuwa Kikwete ni safi wakati ni prezida na ndio amewachagua hao kina Karamagi na Mramba then nitajua vipi msimamo wako.

Mramba na Karamagi, ni viongozi waliochaguliwa na wananchi kwanza ndipo baadaye wakachaguliwa na rais, asiyekuwa na experience ya urais, kumsaidia kuongoza, ndio maana leo ni viongozi,

Mramba, so far sielewi makosa yake, kwangu ni mmoja wa viongozi wetu safi, mana kwenye last awamu akiwa waziri wa fedha, haikutokea hata mara moja wafanyakazi wa serikali tukakosa mshahara, sasa hivi imekuwa kawaida tu kukaa miezi hata mitatu bila mshahara,

Karamagi, kesi iko mikononi mwa vyombo vinavyohusika, lakini ushahidi uliokwisha patikana unaonyesha so far kuwa hafai, hilo sina tatizo kulikubali kwa sababu nimeuona na ninao mktaba wa Buzwagi, sasa kilichobaki ni uamuzi wa rais, ambaye ameshasema kuwa anahitaji muda, mimi niko radhi kumpa huo muda, kwa sababu nimesema kuwa urais sio lelemama, Mkapa alifanya haraka haraka, sisi wananchi tukaishia kuwalipa mapesa kibao watu waliofokuzwa kwa mbio mbio hizo za Mob Justice, na ndio yaliyokuwa matokeo ya kifo cha Kombe, ambako pia wananchi tumewalipa mapesa kibao, sababu ni kurupu kurupu,

Hukumu yangu kwa serikali ya sasa, ni in-general, kutokana na upepo unaoendelea sasa hivi hasa baada ya kuona viongozi wakizomewa na wananchi, to that extent yes something is not right, na lazima the buck should stop at the president's door,

Lakini in just 23 months in the office, ambayo hajawahi kuishika in the past, kama mwananchi makini ni lazima niwe makini kabla ya kumhukumu, kama ni ufisadi sina sababu maana mkuu ni masikini hana kitu sio siri, sasa ufisadi utakuwa umemsaidia nini kama bado ni masikini?

Otherwise, ninaivuta subira maana siku zote huvuta heri, na pia ninakuwa mwangalifu na agenda za vyama vya siasa pia, hapa forum, including CCM yenyewe!

Ahsante Bibie!
 
Mkuu FMES, huyo JK si emakuwa kwenye system muda mrefu tu, kubadilika kwua Rais ni kitu kikubwa sana linapokuja suala la kiutendaji kama kumwondoa waziri.I mean kumwajibisha? U ndo kusema baada ya miezi 23 bado anajihisi kuwa waziri wa mambo ya nje, ndo maana hatumwoni ndani ya kaya, hiyo subira ndo tumsubiri amalize kwanza 'mafaili' ya wizara ya mambo ya nje, au mkuu, unamaanisha labd aitabidi tumpe mihuri asafiri nayo, kama alivofanya karamagai, si inawezekana pia akatia sahihi na mihuri huko huko wizarani?
 
Mkuu wangu heshima mbele,

Ukweli ni kwamba tumejionea wenyewe mkuu akihangaika tu na kampeni, hata baada ya kuupata urais, mambo ya kutembelea wizara, na kwenda kujitambulisha nje, mbona rais mpya wa France hajaja kujitambulisha au kwenda USA, au hata UK tu kujitambulisha?

Mkuu ninakusikia, lakini urais sio lelemama, kweli waliulilia sasa wameupata, na wanakiona cha moto, lakini kuna a sad fact between the lines, nayo ni we are in this mess together, yaani viongozi, wananchi, mpaka taifa zima kwa ujumla,

Nani wa kumlaumu? Tusinyoosheane vidole, tubebe lawama tujipange upya, tupange mikakati, tuweke dhana za exactly what we want in our president na mawaziri wake, na hasa what we want in sisi wananchi na contribution yetu itakuwa ni nini kwenye our dream system, kwanza tubadili katiba,

kuwatoa tu walioko sasa na kuingiza wengine, Kenya na Ukraine, wametufundisha kuwa sio dawa!

Otherwise nimekusikia mkuu point yako kuwa when enough is going to be enough!
 
Mramba, so far sielewi makosa yake, kwangu ni mmoja wa viongozi wetu safi, mana kwenye last awamu akiwa waziri wa fedha, haikutokea hata mara moja wafanyakazi wa serikali tukakosa mshahara, sasa hivi imekuwa kawaida tu kukaa miezi hata mitatu bila mshahara,

Naomba kutofautiana nawe Mkuu.

Huyu Mramba hana usafi wowote ule. Ufisadi wote uliotoke mwisho wa term ya kwanza na term ya pili ya Mkapa naye anahusika direct or inderct, kwasababu alikuwa boss wa Hazina. Pesa walizochota CCM kwa ajili ya uchaguzi yeye ndiye aliyekuwa akizitoa.

Halafu, wafanyakazi wa serikali kupewa mishahara yao ni wajibu wa muajiri na ni haki ya muajiriwa. Kwahiyo, hichi siyo kigezo cha kusema Mramba ni safi. Mramba angekuwa safi angemkaripia mwanae wa ardhi, aliyekuwa mke mwenza na mme mwenza Mkapa waache kuchota mapesa ya walala hoi. Angekuwa mtu safi angejiuzulu, lakini mpaka leo yupo kwenye serikali na anatesa na mafisadi.

Kwahiyo, Mramba naye ni fisadi.
 
tz devil,
so unasema kwamba...if it cries like a duck and walks like a duck,then it is a duck!! right?.
 
1.
Naomba kutofautiana nawe Mkuu.

Huyu Mramba hana usafi wowote ule. Ufisadi wote uliotoke mwisho wa term ya kwanza na term ya pili ya Mkapa naye anahusika direct or inderct, kwasababu alikuwa boss wa Hazina. Pesa walizochota CCM kwa ajili ya uchaguzi yeye ndiye aliyekuwa akizitoa.

Heshima mbele mkuu, walichota exactly hela ngapi? Maana tayari tumeambiwa kuwa wakaguzi wa serikali, wamebainisha kuwa kuna hela ambazo hazina accountability, zimepotea huko Ikulu, je hizi hawakuziona au zilitolewa mahali mkuu?

2.
Halafu, wafanyakazi wa serikali kupewa mishahara yao ni wajibu wa muajiri na ni haki ya muajiriwa. Kwahiyo, hichi siyo kigezo cha kusema Mramba ni safi.

Kwa hiyo the fact kwamba sasa hatupati mshahara kwa miezi hata miwili mpaka mitatu, unaionaje nayop ni haki ya serikali au muajiri? This has nothing to do na usafi wa Mramba, bali uwezo wake kikazi,

3.
Mramba angekuwa safi angemkaripia mwanae wa ardhi, aliyekuwa mke mwenza na mme mwenza Mkapa waache kuchota mapesa ya walala hoi. Angekuwa mtu safi angejiuzulu, lakini mpaka leo yupo kwenye serikali na anatesa na mafisadi.

Yeye hakuiba, ila alikuwa akishinikizwa na marafiki wa mstaafu, na ninaamini kuwa hata kwenye orordha ya mafisadi hayumo au? unless kama una ushahidi zaidi ya huu wa mke na mume mwenza!


4.
Kwahiyo, Mramba naye ni fisadi.

Nijuavyo ni kwamba yeye hayumo kwenye orodha, lakini kama you know him better siwezi kukubishia mkuu, maana siko hapa kutetea uozo, wala kuwa mnazi, lakini ninakusikia pia mkuu kuwa kufanya kazi na fisadi bila wasi wasi kunaweza kumfanya na yeye akawa fisadi pia!,

yaani Guilty by association, I mean fair analysis!, lakini not enough legal facts!

Ahsante Mkuu
 
Msee,
wewe mwenyewe hapo you can make a good presidential advisor bwana alaa, mbona wajiweka nyuma!!!!.

Wasee wanataka watu wa kupiga deal, wakati mimi nataka Maendeleo, ndio maana nasema , hawako serious.
Wako watanzania wengi tu ambao wanapenda maendeleo ya kweli, lakini wenzetu ndio hivyo wanapenda kukumbatia wabadhirifu, na wafadhili.
 
Mkuu wangu hao watu wa chuo, si ndio waliotuambia kwenye polls kuwa Muungwana, anakubalika kuliko wote, na ata-make a good president, kweli mkuu untaka tuongozwe na kina Prof. Mkandalla?

Urais siku zote ni learning on the job, unless uwe kwenye nchi kama USA, ambako kuna CIA, State Department, FBI, Congress, Judicial, ambao kazi yao ni pmaoja na kuiangalaia executive branch inafanya nini kila siku, lakini bongo inabidi wakampigie magoti Kigoda, ndio maana Muungwana majuzi alikuwa mklai kweli aliposikia kuwa Makamba, alikuwa akimpiga vita Kigoda kwa jina lake,

Kwenye kampeni za urais uliyopita, tuliambiwa na wananchi wengi kuwa tunataka vijana, haya vijana ndio wanaoongoza sasa hivi, sasa tukubali tu kuwa tulikosea, maana ukweli ni kwamba hatujawahi kuwa na serikali ya wasomi kama this time na vijana pia, lakini angalia yaliyotukuta, maana yake ni moja tu nayo ni kwamba kuanzia wananchi wa Tanzania, yaani sisi hatuelewi cha kufanya inapokuja kwenye uongozi, sasa wote turudi tujipange upya tuangalie tulikosea wapi, badala ya kuwalaumu tu walioko, maana kama ni Mlimani, Prof. Mbilinyi aliyekula hela za minofu ya samaki alitoke wapi Mkuu? Prof. Malima alitokea wapi?




Mkuu wangu Invicible,

Heshima mbele, unayosema ni kweli kabisaa, lakini bado hatuja-address matatizo yetu ya character, kutokana na kutokuwa na maadili ya uongozi, ambayo yataanzia kwenye level ya sisi wananchi pia kuwa na maadili ya kijamii, otherwise sisi wananchi haya mabadiliko hayatatusaidia kitu, bali viongozi wachache, maana hata kuanzishwa kwa vyma vingi walionufaika ni kina Mreema na Mtei, sio sisi wananchi, bila wanachi kuamshwa tutaishia kama Visiwani, wananchi wanamuaminia Seif tuu, mpaka sasa amenunuliwa hawaelewi cha kufanya maana kila kitu kilikuwa Seif tu,

Kama tusipokazana kuwaamsha wananchi, hata yanayoendelea sasa yataishia kuwanufaisha wachache tu, na sisi tutaendelea kupiga kelele tu hapa!

Lakini heshima kwa maneno yako mazito mkuu!

Msee,
wewe mwenyewe hapo you can make a good presidential advisor bwana alaa, mbona wajiweka nyuma!!!!.

...dah, Mkuu FMES hapo umekata mzizi wa fitna kikweli kweli, ama kweli 'mtoto akilia wembe mpe', mnh!!!

Tukizungumzia wataalamu wa Chuo hatumanishi maswahiba, au hata kama ni swahiba anaweka uswahiba pembeni na kuamua kufanya kazi.
Katika wasomi kwenye Baraza hili angalau Prof Magembe ndio nimemuona anajitahidi, wengine ni kama wasindikizajin na wengine Umri na utendaji wao uliopita si wakuridhisha.
Ukiachia Mwakyusa na Mwandosya
Kwahiyo yeye kama ana macho, masikio, na akili na anashindwa kutumia hivyo vitu positively, tumuelewaje?
Maana ma Prof/Dk wengine ndio hivyo they can not stand the test of time na Board za Elimu ya Juu.
 
Heshima mbele mkuu, walichota exactly hela ngapi? Maana tayari tumeambiwa kuwa wakaguzi wa serikali, wamebainisha kuwa kuna hela ambazo hazina accountability, zimepotea huko Ikulu, je hizi hawakuziona au zilitolewa mahali mkuu?

Lah, mkuu hapa naona unanirudisha kule kule kwa akina Mkapa, "leteni ushahidi." hii lugha ya kifisadi...it is so reminiscent, so déjà vu.

Kwa hiyo the fact kwamba sasa hatupati mshahara kwa miezi hata miwili mpaka mitatu, unaionaje nayo ni haki ya serikali au muajiri? This has nothing to do na usafi wa Mramba, bali uwezo wake kikazi.

Hampati mishahara ni ether serikali haina pesa au uzembe wa HR/Payroll Dept. Kama serikali haina pesa inamaa tunapoambiwa kuwa kuna ufanisi katika ukusanyaji wa kodi tunadanganywa. Kama pesa zipo basi ni uzembe wa HR/Payroll Dept., Fire them. Sioni sayansi yoyote iliyotumika hapa kwani kuna system in place. Kwahiyo huyu muheshimiwa hakuja na innovative way yoyote ya ufanisi. Kama aliacha utaratibu wowote ambao uliongeza ufanisi ungeendelezwa. Unajua tulivyo wagumu wa kubadilika na tunavyo penda copy and paste.

Yeye hakuiba, ila alikuwa akishinikizwa na marafiki wa mstaafu, na ninaamini kuwa hata kwenye orordha ya mafisadi hayumo au? unless kama una ushahidi zaidi ya huu wa mke na mume mwenza!.

Kutokuwa kwenye orodha ya mafisadi it dosen't mean one is not a fisadi. Fisadi inamaana halisi, na matendo ya huyu mzee does fit the classic definition of ufisadi.

Mkuu, suluhu hapa ni kuondoa generation (the old school) nzima na sera zao za kuomba omba ili tujipange upya.
 
Back
Top Bottom