Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natamani ninge ikopi hii thread nimpatie kila mtanzania aisome na aielewe na hakika hakuna atakaye mpa kura jk,
kwenye toleo la jumatano nitapanua kidogo hoja hii kuwa "kikwete naye si safi - yes i said it!"
Natamani ninge ikopi hii thread nimpatie kila mtanzania aisome na aielewe na hakika hakuna atakaye mpa kura jk,
We need a President like Levy Mwanawasa hapa. Aliweza kumwondolea kinga short chasis Chiluba ili ashtakiwe. Alifanya hivyo kwa sababu kuu mbili. Kwanza alikuwa jasiri na pili yeye binafsi alikuwa msafi. Kiongozi yoyote anayekosa moja au sifa zote hizo hawezi kuchukua hatua. Ni dhahiri kwa taarifa za wilileaks Kikwete hawezi kumchukulia hatua Mkapa. Mkapa naye hakufanya hivyo kwa Mwinyi licha ya ripoti ya Warioba kuonyesha dhahiri madudu yake. Ni utamaduni unajengwa kidogo kidogo. Rais anakuja, anaiba na anayefuata anasita kuchukua hatua.
Tunajua hawafanyi hivyo kwa kuwa wao wenyewe si waadilifu. Utapigaje kelele ya mwizi wakati wewe mwenyewe ni mwizi? Lakini pia tunajua atatokea rais ama wa CCM au upinzani atakuwa msafi na ujasiri wa kutosha kuchukua hatua. ndio wakati Tanzania itaweza kuanza kupiga hatua tena kwenda mbele maana kwa sasa tunarudi nyuma. GOD BLESS Tanzania!
we bado nyani tu pambaf saaako.......................JK sio safi kabisaaaaaaaNaona sasa wakati umefikia wa mimi kubadili jina....maana hii misamiati yenu mnayotumia neno/jina "nyani" saa ingine hunipa shinikizo...